Search results

  1. Mnhenwa Ndege

    The Hurricane Sounds

    The Hurricane Sounds performs every Friday at the East 24 Mikocheni from 9 pm to deity breaking mapogo of.
  2. Mnhenwa Ndege

    The Hurricane Sounds

    Performing at East 24 Mikocheni every Friday
  3. Mnhenwa Ndege

    Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

    Jumatatu iliyopita ila mauwaji yalifanywa tangu December, marehemu walidhani amepotea baada ya kumtafuta kila kona ikabidi wambane mganga maana ndio aliyeyoka naye nyumbani kwake. Jumatatu ndio kafunguka na kuelekeza alipouawa.
  4. Mnhenwa Ndege

    Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

    wapo ndani watuhumiwa kama sita hivi ila linasubiriwa tamko la police rasmi
  5. Mnhenwa Ndege

    Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

    kuna kastori hapo
  6. Mnhenwa Ndege

    Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

    Mauaji ya mama mmoja mbezi
  7. Mnhenwa Ndege

    Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

    Hilo si kweli, Kilichomfanya Arstrong awe kimya ni sababu alijua fika kuwa hakufika mwezini. Basi mtu ajaribu Saudia kubadili dini kule ndio kuna haki nadhani watashangilia kabisa.
  8. Mnhenwa Ndege

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Unakosea unaposema kuwa Dr Slaa hatakuwa the sixth president; kwanza ulitakiwa kusema fifth president maana kikwete kuwa rais awamu ya pili hakumaanishi kuwa yeye ni fifth president saa hii, anabakia kuwa the fourth president, pili wewe sio mawazo ya watanzania wote. What you need to do is sit...
  9. Mnhenwa Ndege

    Rekodi ya Ajali za JWTZ tangu mwaka 2007

    Accountability hakuna, kunatakiwa katika uendeshaji wa serikali kuwe na tradition ya consequence management. Jambo lenye uzito kama huu likitokea, mbali na kushughulikia maafa, pia kutafyutwe kiini cha uzembe au mapungufu na wahusika washughulikiwe. Kama hivyo ndivyo utakuwa utaratibu, basi...
  10. Mnhenwa Ndege

    Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

    Pengine ni kweli hakuna maafa huko jeshi, time will tell.
  11. Mnhenwa Ndege

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Hii kali kweli.
  12. Mnhenwa Ndege

    Elections 2010 Mdahalo wa urais kabla ya uchaguzi mkuu ni lazima

    Mimi naona vyama vyengine vingeendelea na mdahalo kama mwandishi alivyosema (mleta hoja). Kama vyama vyengine havitaki si lazima. Na kama hakuta kuwa na mdahalo wa kitaifa utakao andaliwa na vyama vilivyobaki basi hivyo vyama vitakuwa ni wasindikizaji na havistahili kushinda kwa kukosa ubunifu...
  13. Mnhenwa Ndege

    Employer kupekua NSSF ya mwajiriwa

    Vipi baba mbona sikuelewi, sasa balance yako ya NSSF itakuwaje confidencial kwa mwajiri wako wakati yeye ndiye anayepeleka hiyo michango huko NSSF. Na kama mwajiri wako ana rekodi nzuri anaweza kujua balance yako hata bila ya kuletewa hiyo statement. Mimi hucheki balance yangu ya NSSF kutoka...
  14. Mnhenwa Ndege

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    He who seeks equity should come with clean hands.
  15. Mnhenwa Ndege

    NY Taxi Driver Returns $21,000 Left In Cab

    This is a good one, i like it, God bless him.
  16. Mnhenwa Ndege

    Projectors mpya kwa bei rahisi

    bei ya projector ni gani?
  17. Mnhenwa Ndege

    'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'- Karume Jnr

    So happened to field Marshal John Okello?
  18. Mnhenwa Ndege

    Muzee wa Kiraracha choka mbaya ama?

    Yani this is very sad, wewe uliyeandika hii post unafurahia kuwa amechoka, is this fair? Why are we being hypocrites? vita dhidi ya ufisadi itaisha kwa this style of thinking? what message are you sending to Tanzanian?
  19. Mnhenwa Ndege

    Clouds FM yafagilia Walanguzi?

    hata mimi pia hapa nimeshindwa kuvumilia, hivi mtu kufanya uchambuzi mpaka awe na cv? What are we trying to create here. Do you mean to say those who dont have a good education background cannot make sound decision and analysis? Hebu tuwaangalie hao maprofesor wetu, mbona basi hawawezi hata...
  20. Mnhenwa Ndege

    Profile ya Dr Slaa

    Kuna vichwa gani hapo UDSM? wamegundua nini? what have they invented? what have they contributed towards technology in this world? wachana na hizi faculty za blah blah I mean contribution kwenye fani za engineering, computer science, medicine etc where results are tangible. What I see is...
Back
Top Bottom