Search results

  1. M

    CHADEMA TAFUTENI MCHAWI MWINGINE LAKINI SIO CUF. think twice.

    jumla madiwani wapo 14 ktik wilaya ya ILEMELA , na waliokuwa wanahaki ya kisheria ya kupiga kura ni 12, ambao ccm ni 5, cuf 1, cdm 6, na wawili walivuliwa uanachama ktk jumla ya wale 14. na inavotakiwa kisheria robo tatu ya madiwani yanamuwezesha diwani kushinda umayor au unaibu mayor...
  2. M

    CUF Arusha ngoma nzito, operation V4M yakwama

    hahahahaha hamtoamini tutakavoibomo CDM, hapa kazi tu kama mlizoez fujo subiri tuwaoneshe ustaarabu.
  3. M

    Chadema imedandia behewa la cuf!

    hahahahahahhahha mnatia aibu CDM kwani hamjui kuwa tuliwabeba sana?? kwani hamjui kuwa mliiga hadi rangi za bendera??/ mmesahau kuwa muafaka uliwauma sana kiasi kutuita CCM B??? halafu kweli wewe kilaza umesahau kuwa KIGOMA mlianza nyie NDOA??? then nikukumbushe kitu kaka sera ya serikali ya...
  4. M

    Chadema imedandia behewa la cuf!

    mmekamatika CDU a.k.a chadomo lol hamna hata pa kujitetea
  5. M

    Chadema imedandia behewa la cuf!

    duh hawa jamaa wanapend cheap politics sana
  6. M

    Chadema imedandia behewa la cuf!

    chadema imedandia behewa la cuf!
  7. M

    Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, uwanja wa CUF Jangwani

    Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, asiyebeba mwana aeleke jiwe siku ya tarehe 9/9/2012 katika viwanja vya Jangwani. Prof. LIPUMBA ataongoza mamilioni ya watanzania akielezea sera ya kugawana rasilimali zetu huku tukichangia pato la taifa. Karibuni mje msikilize namna...
  8. M

    Sensa 2012: Yanayojiri

    Jana wameonesha watu wa KWADELO wanalalamika maji wanayotumia wana changia na wanyama tena kuyapata inakubidi uamke saa 8 ya usiku ndo upate sasa sa nikiwa najiuliza hii ni miaka 50 toka nchi hii ipate uhuru na watu wa kwadelo mara zote wamekuwa wakihesabiwa je hilo la kukosekana kwa maji...
  9. M

    SENSA: Nini faida yake?

    SENSA inafaida gani kwa watu wa wilaya ya KONDOA? miaka 50 sasa hakuna High school, hakuna Hospitali, hakuna maji, hakuna Umeme,hakuna barabara n.k. Binafsi yangu sioni faida ya sensa, kama hata maji bado watu wanachota mtoni, highschool mpaka twende moshi, songea, mwanza nk. KAMA BUDGET YA...
  10. M

    Miezi mi3 kwa ATCL kujiendesha ni uendawazimu wa Mwakyembe

    MWAKYEMBE BADO TATIZO NI KUBWA WIZARA YAKO KUWA MAKINI NA KATIBU MKUU WAKO. Kwanza naendelea kusisitiza kuwa MR CHIZI hauhisiki na kuiingizia hasara billion 69 serikali ambazo ni pesa za kitanzania, kwa kuingia mkataba na ndege ya AB320 ijulikanayo kama AIRBUS ambayo ndege hii aliingia...
  11. M

    Mwakyembe bado tatizo ni kubwa wizara yako kuwa makini na katibu mkuu wako.

    Kwanza naendelea kusisitiza kuwa MR CHIZI hauhisiki na kuiingizia hasara billion 69 serikali ambazo ni pesa za kitanzania, kwa kuingia mkataba na ndege ya AB320 ijulikanayo kama AIRBUS ambayo ndege hii aliingia mkataba Mr MATAKA mwaka 2008. sasa Mr chizi hapo anahusika vipi??? Wakati Mr chizi...
  12. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    ninyi mlijenga makanisa kusini??? unajua siku zote hamuwezi kujenga nchi kwa chuki zenu wengi wenu mnajipambanua vile hamjui siasa na badala yake mnaonesha ***** wa akili zenu. jifunzeni siasa kwanza maana mnaonekana mmeanza jana tu. CUF DIRA YA MABADILIKO subirini kwenye viti vyenu hapo mlipo...
  13. M

    Mwenyekiti wa CUF, viongozi wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wahamia CHADEMA

    ritz siwezi kudanganya ukweli walikuwa na ziara ya siku 15 mpaka 17 lakini wamehitimisha na 7 tu kwa kuwa dr akazua jambo kwa MTATIRO eti ndio amesababisha hadi wananchi kupigwa mabomu huko tandahimba ndipo walipoanza kumpopoa mawe, na sio hapo tu tangu walipofika kila siku zomea tu, mpaka...
  14. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    woote ushabiki utawaponza waulizeni viongozi wenu wapo wapi??? wamesharejea na kwa kuwa wamepata wakati mgumu na pia kama nilivo waeleza kuhusu arusha TIME WILL TELL subirini hapo hapo mkiamini kuwa CUF will never win ARUSHA. keep on waiting.
  15. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    wanachama tumepata na hilo sio la kuficha, hiyo picha sio yangu na cdm wameipost subirini nitawaletea tuuuuuuu, soon ndio utaona drastic yake.
  16. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    hakuna aliesema 400 bali ni 40 hata namba pia hujui uwiiiiiiii, tatizo lenu mmezoea kila kitu media iwaletee, na hilo ni tatizo kubwa mnalo, tumefanya mikutano mingi waulize watoto a towm mjini na wamekiri kuwa walituona na kazi yetu imefanikiwa.
  17. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    hiyo yote ni namna ya kufikisha ujumbe nadhani umenielewa na umesomeka ujumbe na hapo huna hoja ndio maana unatafuta vijisababuuuuuuuuu, kuhusu pemba hiyo ndio itawamaliza nyie CDM kuhusu KIUMENI unaweza kuwa mwanaumelakini ukawa KHANITHI, bado haisaidii kitu kaeni mtafakari upya mje na sera za...
  18. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    mtake msitake subiri tuwaoneshe kazi za siasa sasa,hata ukijifanya unashaa ni wazi unatuelewa vizuri zaidi na pia kuhusu tulikaa wapi subiri utaona tulikaa wapi, kanisani au msikitini ndio utajua sasa.
  19. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    kaka ni kweli kabisa ila kaa ukihua kuwa CDM wao ndio waanzilishi wa kila shutuma na kuhakikisha CUF inapotea kabisa, kwanza tuliwaacha kwa muda mrefu sana sasa tumerudi kupambana inaonekana hawajui kazi ya chama chao tunataka kuoneshana misuli kwa hoja na si propaganda. sisi tumewalea nadhani...
  20. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    kama unabisha safari yao ni leo wamefunga mikutano yote huko tandahimba, nanuymbu na kusini kwa ujumla,waulize leo wapo wapi?? watakueleza tu.kuhusu arusha habari ndio hio mkuuuu VISION FOR CHANNGE.VUA GAMBA USIVAE GWANDA VAA DHAMIRA YA HAKI SAWA KWA WOTEEE.
Back
Top Bottom