Search results

  1. Mosee van Hotspur

    Serikali Yangu Kuu - 2015, Rais na Baraza lake la Mawaziri.

    Ha ha ha ha...... The comedy au.
  2. Mosee van Hotspur

    Mtatiro: Shutuma za Waziri Lukuvi kwa CUF ni za kipuuzi na hazina mashiko

    Kama mwazoni kuhusu kuvunja tume baada ya kumaliza kazi yake mliwasilisha kimaelezo na kusign, mbon kuhusu kuiruhusu iendelee kuwepo hamjatoa maelezo maoema na kusign documents? Nyie CUF wahuni, anachozungumzia lukuvi ni written document mlio itoa wenyewe, sasa now mnaleta maneno na siasa tena...
  3. Mosee van Hotspur

    Siasa tanzania

    Ndugu watanzania me nahisi tumefikia mahali kila mtu imani imemtoka, yan kila mtu anaamin mtu kua madarakani ni kwenda kuiba au kujitajirisha, hii dhana kwa watanzania jamani ni potofu, japo dalili zimeonekana sana kwa baadhi walio madarakani hasa hadi kupelekea baraza la mawaziri kuvulugwa...
Back
Top Bottom