Search results

  1. C

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    Siasa sio mbaya hata kidogo lakin katika nchi za kiafrika ususani tanzania siafa imekuwa kama bacteria wa maendeleo katika nchi yetu. Ni kweli kabisa kila ugonjwa huwa una chanzo chake na huwa watu wanatafuta tiba ya kupunguza au kuondoa ugonjwa huo..CCM imekuwa bacteria katika mambo mengi au...
  2. C

    Mahakama kuu yaahirisha kutoa uamuzi dhidi ya Zitto

    mkuuu unaweza kunipa sabau za kuailishwa kwa uamuzi wa dhidi ya zitto???
  3. C

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    daaaaaaaa kauli za ujasili kama hizi wangekuwa nazo viongoz wetu wa serikali tungefika mbali sana
  4. C

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    "MUKIMUONA MTU YEYOTE ANAPAKIMBILIA IKULU MUOGOPENI KAMA UKOMA..HAFAI" HOSIA WA BABA PLZ USIPUHUZWE....kikwete ALINGANGANIA URAIS TANGU AKIWA MDOGO AKAUSHNDWA MATOKEO YAKE AKAWA ANARUKA TU ANGAN KWA KODI ZA WANANCH NA KUTOA KAUL ZENYE MVUTO WA KISIASA KWA WANANCH "HUU NI UPEPO UTAPITA" sasa...
  5. C

    Napenda kujua!

    mwanamke kufika kwake kileleni nikupees,mimi demu wangu hua ananiambia baby mimi tayari nishapees basi na mimi nakojoa shuhuli inaisha tunasubiri next round.
Back
Top Bottom