Search results

  1. Kamakabuzi

    Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    Wote ni wale wale tu. Muulize hiyo mbolea ya ruzuku iko wapi?
  2. Kamakabuzi

    Rais Samia analalamikia wezi wapi wa pesa za Serikali? Aliowasamehe?

    Asante, ila hujanisaidia. Nataka niipate rasmi ili hoja zangu nizijenge katika msingi imara.
  3. Kamakabuzi

    Naomba kutofautiana na maelekezo ya Rais Samia kwamba Serikali itapunguza kukopa. Serikali ongezeni kukopa, nitaeleza sababu

    Sikubaliani na kauli hiyo kwamba walipa kodi hawazidi mil. 4. Watanzania wote wanalipa kodi sema wanaoikusanya na kuipeleka serikalini wanaweza kuwa hao mil4
  4. Kamakabuzi

    Rais Samia analalamikia wezi wapi wa pesa za Serikali? Aliowasamehe?

    Aliwasamehe lini? Kuna kauli rasmi ya kuwasamehe au maneno ya mtandao?
  5. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Define neno Nguvu kabla hamjaendelea kubishana. Inawezekana nyote mkawa sahihi au nyote mkawa si sahihi
  6. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Yaani unajikanganya mwenyewe (contradict) Una watoto wanane kwa heka mbili, watagawana robo robo nk maana yake utawaachia eneo dogo nao wataendelea kurithishana hilo hilo! Halafu unazungumzia wazungu kuhamia Afrika kwa kuwa ndipo kwenye nafasi. Kwa nini hao wa kwako wasichukue hilo eneo ambalo...
  7. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Halafu unajua matatizo wanayopata ya kupungua kwa population na sasa wanatafuta namna ya kuiongeza? Kuna clip kwenye thread hii hii- the decline of fertility rate in Europe. China wameacha sera yao ya kuza mtoto mmoja - una habarizhizo? KALAGABAHO
  8. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Hapo tatizo ni la wanaozaa au Hapo tatizo ni la wanaozaa au la viongozi? Lowasa aliona tatizo katika elimu ndipo akaazisha shule za kata, tena tangu mwanzo aliwaza zitoe elimu ya ufundi. Kama asingekomalia hilo leo watoto wangapi wangekuwa hawana elimu ya sekondari, wangeishia darasa la saba na...
  9. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    kwani haiwezekani? With commited leadership yanawezekana. Tafuta clip ya Lowassa aliyozungumzia kuanzishwa kwa sekondari za kata. Kama zisingeanzishwa wakati huo sasa tungekuwa wapi?
  10. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    wakati huo huo mnapounganisha nchi za Afrika mashariki mnasema mnapanua soko kwa kuwa nchi hizo zina idadi ya watu kadhaa (wengi). Maana yake wingi wa watu ndio ukubwa wa soko, sasa unapotaka kuwapunguza! Contradiction Extrovert uko sahihi kabisa
  11. Kamakabuzi

    Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwa NHIF Hospitali ya Rufaa Kanda Mbeya

    Bima maana yke unalipia in advance ili utakapougua utibiwe, sasa wanapoanza kulazimisha eti unapougua uwe na hela,JE KUNA MTU ANAJUA ATAUGUA LINI NA UGONJWA GANI? Halafu Bunge linapitisha?
  12. Kamakabuzi

    Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwa NHIF Hospitali ya Rufaa Kanda Mbeya

    Sawa kabisa, si unajua wao hawaugui malaria na hata wakiiugua wanamudu tiba yake. Ndiyo maana dawa za magonjwa ya matajiri wamezibakiza, halafu eti bima ya afya kwa wote. Waseme bima ya afya kwa matajiri, maskini hana bima.
  13. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Tatizo la kupungua halikuja naturally, ni mipango yao ya kupunguza uzazi, Kuwafunga kizazi watu wao, walifanya hivyo si kwa wanawake tu hata kwa wanaume (walifanywa mahanithi). Si kuwafunga tu, bali hata kushadadia ndoa za jinsia moja ni sehemu ya kupunguza uzazi. Leo wanahangaika. Tukikubali...
  14. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Kwa hiyo tunachohitaji siyo kupunguza uzazi, tunahitaji strong leadership, na bila hiyo hata watu wakapungua tatizo litakuwa lile lile
  15. Kamakabuzi

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Hawa wazungu ni wanafiki. Kwao kupungua kwa uzazi limeshakuwa tatizo kubwa sasa wanafikiria kuongeza vivutio ili akina mama wazae zaidi - lakini sheria zao zinawaumiza maana mama ndiye ana uamuzi wa kuzaa au la , azae wangapi na lini nk. Sikiliza kipindi hiki cha BBC February 22, 2024...
  16. Kamakabuzi

    Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    https://www.jamiiforums.com/threads/waafrika-uongozi-umetushinda-huo-ndo-ukweli-hatakama-hatuupendi.2183735/
  17. Kamakabuzi

    Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

    Dodoma ni mji wa kiserikali si mji wa kibiashara. Ukitaka biashara nenda Dar. Kunawakati eti Dodoma ilikusanya kodi kubwa kuliko dsm, dsm wakalumiwa kwa uzembe. Mimi nilisema hili tukio la uda mfupi tu soon dar itarejea kwnye sehemu yake. Kwa waliokwenda dodoma kufanya biashara walipaswa kujua...
  18. Kamakabuzi

    Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    Napenda nijue maisha halisi ya mleta mada. Je ameoa? Mkewe anafanya kazi? Kazi gani? Je familia yale ikoje?
  19. Kamakabuzi

    Naibu spika wa Bunge asema bodaboda wanakatisha tamaa kwa kutokuzingatia sheria za barabarani na kusababisha ajali na vifo,ataka wadhibitiwe kisheria

    Mimi naona polisi walipoacha kukimbizana na Bodabona ajali zilipungua. Naungana na hoja kuwa wapewe elimu ya usalama barabarani lakini wasifuatwe ovyo ovyo labda kwa makosa ya wazi kabisa kwa mfano mtu anabeba mbao zenye urefu wa futi 12, maana yake wakati wote yyuko anasababisha ajali...
Back
Top Bottom