Search results

  1. B

    Msaada jinsi ya kuandika notice kwa wapangaji

    ila yeye anataka kufahamu namna notice inavyoandikwa
  2. B

    Mambo ya uchawi unavyofanyika katika viungo vya uzazi someni

    Haya mambo kweli yapo na hakuna dawa Kali yenye uwezo Wa kupambana na uchawi isiyochanganywa na kiungo..na kiungo sii lazima kipatikane kwa MTU aliye hai.hapana hata kwa maiti kama Kule mochuar watu wanaenda kununua..kiukweli dunia hii INA siri kubwa sana ikiwekwa wazi kila MTU ataogopa
  3. B

    Elimu ya bure kuhusu uundaji na ubunifu wa vifaa vya kielectronics

    Kiukweli mwangili upo juu kwa sababu umeamua kuwa mbunifu hata mimi mwanzo wakati najifunza nilofokiri niwe mtu wa kurepeir lakini nilifikiri nikaona niwe.mtuu wa kuunda.. Vifaa..nikaanza kujifunza vitu muhimu..mpaka sada naweza kuunda vitu kadhaa..lakini kiukwwli kubuni mwenyewe siwezi...
  4. B

    Jifunze practical electronics Comparators(viling anishi)- part I

    safi sana mwangili..nimejifunza kitu hapo
  5. B

    Mwanzo wa meditation

    rakems tafadhali. nilipoteza cim Mbaya zaid. aliyeokota. naona anaitumia. hebu. niondoe alafu uniunge kwa no hiyo hapo juu
  6. B

    Mwanzo wa meditation

    niadd. ticha nilipoteza simu. 0787194602
  7. B

    Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra

    mkuu rakim utamkaji wake kwa urahisi hiv itakuwa sahihi kwa lugha nyepesi?....hebu pitia tunaanza hivi. iski,besi,eti,kieri,meki,loti,swari.
  8. B

    Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra

    mkuuu rakim hata kama mkuu pasco. Mimi bwana sasa nimerudi kijijini lango ni kuja kutambika kidogo.. Lakinai nikiwa huku kijijini nimeota nipo chooni,si unajua choo cha bush tundu la choo hapohapo na hilo ndio septic tank...... lakini gafla sijui kilichotokea nikajikuta shimo la choo lipo wazi...
  9. B

    Tanesco mtatuuwa na umeme

    Daah poleni sana tanesco hawana maana siku hiz na tatizo wanafanyia kazai mazoea na sii kufuata vipimo vinasemaje::
  10. B

    anaefahamu kuhusu sola panel iliyotengenezwa kwa mkaa.

    Leo kwenye kipindi cha teknoleo kinachorushwa na tbc walikuwa na jamaa waliotengeneza sola panel kwa kutumia mkaa na inafanya kazi. kama kuna anaefahamu kuhusu hilo tusaidiane hapa.
  11. B

    Msaada,transiformer za redio na sub woofers.

    sasa katika hizo tuns 300 za cecondary primary unakuwa umeweka tuns ngapi?
  12. B

    Yule anayetafsiri movie za kizungu kwa sauti ya Kiswahili anapotosha

    Kiukweli dj mark ni mwisho wa matatizo.. Kile ni kipaji..na kipaji kile hakifai kuiga..unaebisha hebu na wewe jaribu..
  13. B

    Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Wewe hujajua heshima ya mtu kuwa kwake kwa sisi wachaga heshima nyumba..bwana.. Mimi huku pori nimeangusha kitu.. Na pale kijijini naenda kuweka jengo..hiyo ndio heshima..na usiseme ml14 mtu atajenga nyumba ya aina gani..kumbuka mitindo ya ujenzi ipo mingi..
  14. B

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mimi mwenyewe nimefanya setting ya dish jana.. N.nikapata signal kubwa tuu nikablindi scan lakini hazishiki
  15. B

    Astra 2f @ 28'e,nilesat 7'w,eutelsat 16'e

    nimekuelekeza hapo juu .ukitaka amos5 17 lazima ugeuze dish na ukigeuza utakosa local chanel kama za ipp nk kwa sababu amos 5 local zilizopo free ni tbc,ch10.,kwanzatv, na zingine nyingi ambazo sio za hapa nchini......jibu la swali lako la pili... Ndio dishi la zuku linafaa kukamata amos5 17degree
  16. B

    Repairs,Designers na Wanafunzi wa Electronics na Electrical staffs hii i kwa ajiri yenu!

    Hayo mahesabu magumu kweli.. Mimi nilifundiswa na jamaa kufuma ila hakuna hesabu wala nini ni makadirio tuu. Tena kwa transifomer zingine. Kama za stabraiza nk tunaifumua tunaianza..tunapiga mf. Primary tuns 600..na sekondary tunakadiria mpaka yunapata volt tulizokuwa tunataka. Kama ni...
  17. B

    Astra 2f @ 28'e,nilesat 7'w,eutelsat 16'e

    kwa maelezo yako wewe umefikiri dish linabaki pale 64e jibu ni hapana ukishaamua kutafuta hizi nyuzi 20,17 na 16 lazima dish ulilokuwa unapata local chanel uligeuze au uongeze dish lingine na ugeuzie huku zinapopatikana zuku,azam nk.
  18. B

    Astra 2f @ 28'e,nilesat 7'w,eutelsat 16'e

    Kwanza ni kuitafuta amos17 kwa signal kubwa kabisa.baada ya hapo clockwise lnb yakotaratibu utaipata freq 10804/30000.. Mimi natumia dish ft6 na ku ya kawaida mimetega 20e,17e,16e kwa dish hilo moja
Back
Top Bottom