Search results

  1. Pope

    Hongera Maalim Seif / Lipumba lakini..

    Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza Viongozi wa CUF Maalim Seif na Ibrahim Lipumba kwa ushindi wao wa kishindo katika uchaguzi uliopita majuzi ndani ya chama hico. Binafsi nimeshtushwa na ushindi huo si kwamba nilitazamia waangushwe la hasha kwani kushinda kwa asilimia 98.6 kwa Lipumba na...
  2. Pope

    www.spotistarehe.blogspot.com

    Wadau karibuni kijiji kipya cha masuala ya Michezo na Burudani www.spotistarehe.blogspot.com Editor
  3. Pope

    Yameanza kuwatokea puani....

    BAE corruption investigation switches to Tanzania · Focus on £28m radar deal with East African state · SFO's new director due to take over this month * David Leigh and Rob Evans * The Guardian, * Saturday April 12 2008 * Article history About this article Close...
  4. Pope

    Balozi huyu Mpotoshaji!!

    BALOZI wa Uholanzi nchini, Bw. Karel van Kesteren, amewataka Watanzania kuachana na dhana kwamba watachimba utajiri kutoka ardhini kupitia sekta ya madini. Akizungumza kwenye ufunguzi wa kongamano la mwaka la wasomi na watafiti nchini lililoandaliwa na Taasisi ya Utafiti na Tathmini ya Sera...
  5. Pope

    Vigogo wa CCM waachishwa kazi kwa Ubadhirifu.

    HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) imewaachisha uongozi rasmi viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Taifa ambao ni Mwenyekiti Abiud Maregesi, makamu wake Ramadhan Nzori na aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu, Cosmas Hinju. Maregesi ameachishwa uongozi kutokana na ubadhirifu wa fedha za...
  6. Pope

    Changamoto kwa JF

    Makala Hii toka Raia Mwema ni ndefu lakini ni changamoto kwa JF, naomba muisome wadau....Kila mtu akitimiza wajibu wake tutafika. Muungano Mtakatifu: wabunge, wapiga-filimbi, waandishi Na Jenerali Ulimwengu March 2008. WAKUU wa chama-tawala walitaka kuufanya mfumo wa "vyama vingi" uwe ni...
  7. Pope

    Hoja zimeisha, Watu wataisha, Tutajadili nini tena?

    Ilinichukua Muda mrefu sana kuamua kujiunga nilikuwa nasita nikiona jinsi watu wanavyokata hoja kwa NGUVU ZA HOJA na kujibu hoja kwa hoja, na ndivyo nilivyopokelewa nilipotupa karata yangu ya kwanza tuu. Nikitoka kwenye mishe mishe nitaangalia Jambo Forum kwanza ndio niangalie kwingine...
  8. Pope

    Gadaffi: "Holly Bible is FAKE"!!

    Speaking at Nakivubo Stadium on Wednesday, where he led thousands of Muslims who celebrated the birth of Prophet Muhammed, Gadaffi asserted that the Bible was not the one revealed to Jesus and the Old Testament was not the one which Moses received from Allah. In the process of doctoring the...
  9. Pope

    Utaratibu huu ni wa kuigwa Kwa viongozi waadilifu!!

    Kuala Lumpur - Malaysia. Waziri Mkuu ambaye ndio kiongozi wa shughuli za kiserikali nchini Malaysia ameamuru mawaziri wote waliteuliwa hivi karibuni kuzitaja mali zao na zoezi hilo linatakiwa kukamilika kabla ya kikao cha kwanza cha Bunge Jumanne wiki ijayo 24 March 2008.Katika taarifa...
  10. Pope

    Wapinzani Chukue Viti vya Ubunge kwanza....

    kimtazamo naona wapinzani waachane na kumaliza nguvu kwenye kiti ch uraisi badala yake waongeze nguvu kwenye Ubunge. Naimani kuwa kama hivi vichwa vyote vya Upinzani CUF, NCCR, CHADEMA n.k vikiwa bungeni basi bunge litakuwa la changamoto na kuibana serikali kwa hoja na sio maneno nje ya...
  11. Pope

    Pole kwa yaliyokupata Kipenzi changu Jambo Forum

    "Sijui ni uoga wa serikali, sijui ni utashi wa kutotaka kukosolewa? sijui ni nini kilichopelekea serikali kufikia maamuzi ya Kiimla kama walivyofanya? Ningelikuwa Serikali kiukweli ningeitumia JF kupata source na kujua upande wa pili wa shilingi unasemaje kuhusu mimi kama sio nyimbo za...
Back
Top Bottom