Search results

  1. Pope

    Elections 2010 Magufuli CHATO na BULANDES Karagwe Chali!!!

    No Research No right to Speak!! Sasa tukiwa tunapeana habari za Nasikia ...... Nasikia !!! Hii Forum itaonekana ya Wababaishaji bure!! Pata uhakika, Pata Data tumbukiza humu kuwajuva wengine.
  2. Pope

    website designer

    Hallow am experienced Web/Graphic designer. Please contact me on piusmicky@yahoo.co.uk or text me +60176452510 We can discuss more Pius Director P-Informatics (T) Ltd and P-Informatics Sdn. Bhd
  3. Pope

    CRDB Visa Card: Utata wa matumizi yake mtandaoni

    Nilishangaa nilipowekewa pesa kwenye CRDB Account na mi nizichukue huku (MAlaysia) Nikajua kahela kenyewe ka ngama nakuwa naenda ATM kila ninapohitaji, zikatoka poa tuu baada ya kutoa mara mbili tatu naambiwa BAlance haitoshi mhhh nikashtuka Kuuliza nikaambiwa gharama ya kutumia hii card inakata...
  4. Pope

    Hongera Maalim Seif / Lipumba lakini..

    Sasa hapo ndipo maswali yanapokuja, simtetei Safari ila najaribu kufikira Je CUF hakuna wengine wa kuongoza hili JAhazi zaidi ya LIPUMBA NA SEIF? nafikiri kimsingi watu wameshajaribu kugombea zaidi ya mara 2 hata kama kura ziliibwa nafikiri ingeleta chachu kama wangewapisha watu wengine nao...
  5. Pope

    Hongera Maalim Seif / Lipumba lakini..

    Ndio maana nilidhani labda huyu angewezakuleta kaupinzani kidogo na kwa uzito alionao na kwa jinsi alivyojitolea kwenye chama kwa mtaji huu basi Maalim Seif na Lipumba watatawala mpaka ....
  6. Pope

    Hongera Maalim Seif / Lipumba lakini..

    Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza Viongozi wa CUF Maalim Seif na Ibrahim Lipumba kwa ushindi wao wa kishindo katika uchaguzi uliopita majuzi ndani ya chama hico. Binafsi nimeshtushwa na ushindi huo si kwamba nilitazamia waangushwe la hasha kwani kushinda kwa asilimia 98.6 kwa Lipumba na...
  7. Pope

    A trip of a lifetime: Sign the Petition to show your support!

    Sidhani kama kuna haja ya kuficha jina kwenye hili kwani nadhani hapa ndio umoja na auti ya wengi itasikika niambie kama nia ni kukusanya sahihi 100,000 kweli wataanza kuangalia Mwanakijiji ni nani na yuko wapi na anafanya nini? Sidhani sema la msingi ni hakikisho kuwa hazitatumika kinyume na...
  8. Pope

    Yanga vs Simba April 18 2010

    Yanga bwana!!! Ama kweli pashoka hapaingii kisu!! Kazi huko Msimboazi wallah kama mi Dalali leo naenda kulala Yautooo Guest maana wanaweza mchomea ndani wallah!!
  9. Pope

    Website ya 8th Leon H. Sullivan Summit (Tanzania) ina malware

    Wakati mwingine inategemeana na Coding zilizotumika kwenye site husika, hii Google imeundwa na mechanism ambayo inatambua baadhi ya "CODE" kama kirusi na hii inawekwa ili kuzuia kirusi cha aina yeyote na utaona kama ukitumia Yahoo inakubali Hawa wenye brouser au Database yao inazitambua hizo...
  10. Pope

    www.spotistarehe.blogspot.com

    Wadau karibuni kijiji kipya cha masuala ya Michezo na Burudani www.spotistarehe.blogspot.com Editor
  11. Pope

    Yameanza kuwatokea puani....

    Ohhh sikuiona kama ilishatumwa mi nimeiona Gazeti la Juzi!!
  12. Pope

    Yameanza kuwatokea puani....

    BAE corruption investigation switches to Tanzania · Focus on £28m radar deal with East African state · SFO's new director due to take over this month * David Leigh and Rob Evans * The Guardian, * Saturday April 12 2008 * Article history About this article Close...
  13. Pope

    Spika adai Kuchafuliwa Kisiasa

    Wakati mwingine unaweza kudhani unajisafisha kumbe ndio unajipaka kinyesi maana kwenye kujibu shutuma usipokuwa na busara za ziada utabaki kupayuka unawapa watu cha kusema!!
  14. Pope

    Spika adai Kuchafuliwa Kisiasa

    Bado wanamtandao wananguvu!!
  15. Pope

    Spika adai Kuchafuliwa Kisiasa

    Spika wa Bunge la Jamhuri Mh Samuel Sitta amedai kuchafuliwa jina kisiasa na kudai kuwa kwa sasa amejidhatiti kukabiliana na watu hao. "Ninalo ombi moja kwa hawa ndugu zangu, waache kuichafua familia yangu, kama kuna mtu aliyewaudhi ni mimi, na ninao uwezo wa kujibu mashambulizi...
  16. Pope

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Niliona kama Lecturer wangu ananikosea pale alipoongelea suala la Mauaji ya Albino na imani za uchawi na darasa zima kucheka, nilijisikia vibaya lakini sikuwa na budi ya kukaa kimya na Lecture ilipokwisha ilinilazimu kujibu maswali ya wanafunzi wenzangu wadadisi.... Leo naiona tena ndani ya...
  17. Pope

    Balozi huyu Mpotoshaji!!

    I suspect ulikuwa una skive darasa la Economics. Balozi yuko right 100 % and if you need to know why niulize nikupe somo Mheshimiwa sana si unijubu kwa hoja inawezekana kwenye Sekta ya Uchumi unaona zaidi ya upeo wa Macho yangu!! Mi tangu nianze ni "Zeros and Ones" tuu sasa nielimishe kwa...
  18. Pope

    Our eternal ambassadors

    I use to Trust Lusekelo sana na kwangu ni mmoja wa watu ambao nilikuwa napenda kusoma makala zao. But i think on this one, Mr Lusekelo alitakiwa ku control Temper yake!!! Naona aliandika kwa ghadhabu either kuna kilichomtokea au kuna namna. Binafsi nashawishiki hata kudhani labda hii makala...
  19. Pope

    Balozi huyu Mpotoshaji!!

    BALOZI wa Uholanzi nchini, Bw. Karel van Kesteren, amewataka Watanzania kuachana na dhana kwamba watachimba utajiri kutoka ardhini kupitia sekta ya madini. Akizungumza kwenye ufunguzi wa kongamano la mwaka la wasomi na watafiti nchini lililoandaliwa na Taasisi ya Utafiti na Tathmini ya Sera...
  20. Pope

    Vigogo wa CCM waachishwa kazi kwa Ubadhirifu.

    Sasa si usome habari yote ndio uchangie!! kwani ni lazima kuchangia angalia ni wangapi wame view na kuenda zao!? kuna tofauti ya kusimamishwa na kufukuzwa!! Acha kudandia gari kwa mbele!!
Back
Top Bottom