Search results

  1. K

    TANZIA: Maxence Melo amefiwa na baba yake Mzazi

    Poleni sana Maxence, familia na ndugu wote.
  2. K

    Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    Pumzika kwa amani Kenny. Poleni sana wafiwa wote.
  3. K

    Komla Dumor of BBC is no more

    Pumzika kwa amani Komla Dumor.
  4. K

    Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

    Mkuu, sina details za kila kampuni. Hiyo $20-25K ni reference kutoka makampuni ya simu, na hiyo scale ya CEOs/MDs. Wafanyakazi wa kawaida ni akina nani :) ? Kama member mmoja alivyoshauri ni vema kujua mishahara kutokana na industry, na ngazi kwa makampuni hayo. Kwa mfano kwenye makampuni ya...
  5. K

    Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

    Mkuu, hiyo $40k ni kwa mwezi au kwa mwaks. Nafahamu kwamba wakurugenzi (CEOs, MDs) wanalipwa kati ya $20, 000 na $25, 000 kwa mwezi na wanalipiwa gharama nyingine kama shule za watoto, bima, club memberships, n.k. Hiyo $40, 000 sidhani kama ni mshahara wa mwezi.
  6. K

    Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    Wish you quick recovery H.O.E
  7. K

    Hivi Jino moja la Tembo ni shingapi?

    Katika documentary moja ya BBC, ilidaiwa kwamba jozi moja ya meno inanunuliwa kati ya dola 3000 mpaka 5000 kutoka kwa wauzaji/majangili wa nchini. Jozi hiyo ikisafirishwa na kufika China inauzwa kwa dola 25,000.
  8. K

    Obama ana Hasira na Winnie?

    Msikilizeni Mandela mwenyewe alipofanya interview na BBC miaka michache iliyopita. BBC News - Nelson Mandela death: In his own words. Click kwenye video.
  9. K

    Wanajamvi nimeng'atwa na nyoka

    Pole sana Mkuu. Natumaini unaendelea vyema.
  10. K

    SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

    Kwa wale walio mbali na TV unaweza kuona kupitia live stream hapa Smart Partnership Global Dialogue 2013
  11. K

    Matokeo ya cpa may 2013 haya hapa!!!!!!!!

    CPA Results MAY 2013 CPA LIST MAY 2013 http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/CPA%20List.pdf Module F Results http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/moduleF.pdf Module E Results http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/moduleE.pdf Module D...
  12. K

    NBAA may 2013 Examination Results are Out!!!!!!!

    CPA Results MAY 2013 CPA LIST MAY 2013 http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/CPA%20List.pdf Module F Results http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/moduleF.pdf Module E Results http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/moduleE.pdf Module D...
  13. K

    Matokea ya NBAA May 2013 yamebandikwa Mchana huu !!!!!!

  14. K

    Matokea ya NBAA May 2013 yamebandikwa Mchana huu !!!!!!

    Link http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/CPA%20List.pdf
  15. K

    RAV4 yenye engine code 1AZ - Ushauri

    Engine hizi zinasumbua kwa mazingira ya kibongo kutokana na uhafiru wa ubora wa mafuta na ujuzi kidogo wa mafundi wetu tulionao. Ukinunua gari yenye engine 1AZ, siku ukitaka kuiuza utapata shida ya kupata mteja. Na hata kama ukimpata utauza kwa hasara. Hii ni kutokana na uzoefu wangu binafsi.
  16. K

    Maxence (baada ya ajali ya gari): Ahsante Mungu, ahsante watanzania!

    Poleni sana. Hakika Mungu ni mwema sana!
Back
Top Bottom