Search results

  1. G

    Nimepewa likizo ya bila malipo kisa Corona

    Duh na hali hii inachanganya. Pole
  2. G

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    We watoto wako wanasoma nchi gani? Au mpaka 2015 ndio unategemea wataanza shule?
  3. G

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Kupewa promo ni sehemu ya kesi au biashara
  4. G

    Maajabu ya Bunge la Tanzania , kura zinaharibika

    Mleta mada tuambie sehemu ambapo palishawahi kupigwa kura zikakosekana zilizoharibika. Hata ungewachukua maprofesa ukawambia wapige kura za kuharibika lazima ziwepo. Fanya kwanza uchunguzi kidogo nini chanzo cha kuharibika kwa kura kabla ya kuanza kumwaga lawama.
  5. G

    Bungeni: Waziri Membe aiponda taarifa ya Wenje aihusisha na JamiiForums

    ZITO ameendelea kuthibitisha asivyojua vitu. Spika amepiga swali lake chini. Ni aibu kwa mmbunge kama Zito kutokuelewa kuwa wanachopitisha hapo bungeni ni makisio na sio kitu halali. Ni aibu kumuomba Waziri wa fedha ajikomit kuwa atawapa wizara ya mambo ya nje fedha yote waliomba. Kama mtu...
  6. G

    MGOMO WA WAFANYAKAZI WOTE TAREHE 15.08.2012 Mgaya kufunguka

    Unajihami na nani? We nadhani nchi hii haikufai nenda somalia utaishi kwa raha mustarehe. Hakuna mwenye akili timamu anayeomba vurugu ndani ya nchi yake. Jaribu kutumia muda wako angalau wa nusu saa kuangalia taarifa za habari uone kinachoendelea nchi zenye vurugu
  7. G

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Nakushauri kuwa makini usije na wewe kufungiwa lakini. Chezea serikali wewe!!
  8. G

    Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

    Acha uchochezi. Hilo ombi lako sio la kizalendo nchi ikivurugwa hatuwezi kuanza upya. Fikiria vurugu na kuanza upya kama vina uhusiano
  9. G

    Kwenu Dr. W. Slaa, Zitto Kabwe, John Mnyika na viongozi wa Chadema mliopo JF

    Wahusika nadhani wametoka humu nadhani wakirudi watatupa majibu ya hizo hoja kama kweli wanajua wanachotaka kulifanyia taifa hili. Tuwasubiri warudi na majibu
  10. G

    Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    Acha uchochezi waweza kushitakiwa kwa kuwa mchochezi
  11. G

    Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    Hivi huyo Mukoba si yule yule wa mwaka 2007 au?
  12. G

    Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

    Upo serious kweli hujaliona tatizo liko wapi? Subiri muda wako ukifika utaliona
  13. G

    CV ya Juma Nkamia

    Jitokezeni kwenye kutoa mawazo yenu kwenye tume ya katiba ili tuwe na kiwango cha elimu kwa wabunge wetu otherwise tutaendelea kutukana humu na haitasaidia kitu.
  14. G

    CCM wamtaka Amaan Karume na wenzake kurejesha kadi

    Mengi yatajitokeza kipindi hiki tusubiri tu. Mungu ibariki Tanzania yetu na walaaniwe wabinafsi.
  15. G

    Tangazo: "chadema sasa yafutwa rasmi"

    Jumatatu leo lazima kaamka nazo nyingi hebu tumuache kwanza atafari na atoke upya labda ataeleweka
  16. G

    (Picha)Harusi ya Dr. W. Slaa (21.7.2012)

    Hivi kumbe hawa nao walienda kumbe!
  17. G

    Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

    Njoo na data za kujustify hiyo hoja yako vinginevyo ondoa
  18. G

    Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Nadhani kama kosa ni la Nchemba mngemuhukumu yeye sidhani hili kabila linastahili hizi shutuma.
  19. G

    Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Wangejuaje kama sio kama sasa wanavyomsikia michango yake bungeni na anachowafanyia kwa sasa. Kufanya kosa sio kosa kosa ni kurudia kosa.
Back
Top Bottom