Search results

  1. G

    Najuta( mawazo yako ni muhimu)

    bro maadam huyo dada hujamuoa na kwa uliyoeleza ni wazi hakuna maisha kati yenu, so usiishi kwa kumfurahisha yeye while wewe unaumia! Chukua maamuzi magumu mueleze ukweli wa hayo ucyoyapenda kwake then tell her z'truth huna future naye! Na huwez kumuacha Manka coz of yeye! Then Akikataa kubreack...
  2. G

    Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

    ni moto mkubwa xana aisee, umeanzia kwenye maduka ya vipodoz na unaendelea kusambaa ovyo. Vibaka wanaiba mali polic wanasambaza wa2 kwa mabomu, hali c shwari jaman. Ni vurugu mtafutano! MOTO WAZIDI KUWAKA KUSAMBAA
  3. G

    DEMU ALINITOSA LEO,ANANILILIA ,nisaidien wakuu.

    kaka umeongea point sana, ila tu kwa kuongezea hapo jamaa kama bado anahic ana mpenda, waende wakapime kama wako poa ampe nafac tena huku akitathmini tabia yake kipindi huyo dada anasoma!
  4. G

    Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

    heee nimeipenda hiyo, a wil try dat! Ila mi cdhani kama ni tatizo, kikubwa nyie mnaofanya hivyo iwe kwa roho nyeupe,kwa kupenda na sio kuiga wala kulazimishwa kufanya wakati nafc yako inachafuka!,.lol
  5. G

    hawa watoto wa simba ni wa ajabu!

    jamani hebu tuongee kuhusu hawa viongezi wetu wa kitanzania, vijana wa simba leo wameikung'uta mtibwa sugar 4_ 0,huku wakiinyesha soka la hali ya juu! Hivi kuna ulazima wa viongoz kama hawa kuendeleza ujuha wa kung'aninia wachezaji wa nje huku wakiacha vipaji kama hivi vikipotea!! Karibun...
Back
Top Bottom