Search results

  1. T

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Hili suala litaichafua nchi katika nyanja za kimataifa, maana budget zetu ni zaidi ya nusu tunawategemea wahisani.
  2. T

    ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

    Tanzania ya viwanda inakuja hapana shaka.
  3. T

    Bomoabomoa Kibamba yapigwa marufuku na Mahakama Kuu

    Maendeleo ni muhimu lakini wafuate taratibu zote za kisheria, na kama watu wanatakiwa kulipwa fidia walipwe kwa wakati muafaka...
  4. T

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Afrika itabakia kuwa Afrika milele, mpaka parapanda litakapolia.
  5. T

    Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Anahaki ya kuwaeleza wapiga kura wake yaliyo msibu, kama utakumbuka dar hakupewa nafasi ya kuongea.
  6. T

    Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Hahahah ndio siasa za kiafrika, mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
  7. T

    Uteuzi wa Kitila: Zitto asema Rais ameamua kuunganisha nchi kwa kufanya kazi na watu wote

    Hahahahah hapo tumejifunza kitu kikubwa sana wasemayo sio watendayo.
  8. T

    TABOA Wasitisha mgomo wa Mabasi baada ya kukubaliana na Waziri Mbarawa

    La msingi ni sheria kwa fuatwa na watu wa idara zote hakuna aliyekuwa juu ya sheria.
  9. T

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Mungu mwema na wenye wivu wajinyonge, Ukifunga mlango mmoja kuna sabini mingine inafunguliwa..
  10. T

    Mwenyekiti wa CCM Rufiji apigwa risasi na kufariki dunia

    Poleni wafiwa, kubwa ni kuwa subrah...
  11. T

    Waziri Mkuu apokea ripoti ya Kifo cha Faru John. Ni kweli Faru John alikufa

    DUH IWE SIKU YA MAOMBOLEZI...!!!
  12. T

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nyani ngabu hongera kwa kutuma historia ya miaka kumi iliyopita kwa wakongwe wa JF...
  13. T

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Duh ndio hivyo tena lakuvuta hilo halina ubani. Alisahau ule usemi muungwana akivuliwa nguo huchutama, sasa yeye amuamua kumkimbiza aliyemvua nguo hapo sasa....
Back
Top Bottom