Wewe hujakutana na mbwa wewe!! Harafu jua mbwa sio ukuta..mbwa wanasaidia kuku alert juu ya wezi au wavamizi sasa sio unalaa kama pono kisa nje kuna mbwa,.. pia tambua kuna mbwa na viumbwa. Km unataka kuona mbwa wa maana wa ulinzi hapa tanzania watafute @ King Dawgz
Usiihusishe Bangi kwenye mada zako za kipuuuzi, Nyambafu kabsa wewe!!! Mtoto wa kiume unakalia kufuatilia maisha ya watu... Harafu ulivyomjinga zaid unaingiza kitu muhimu km bangi kwenye upuuzi wako..
Hah hah hapana mkuu, huyu mbwa kweli anajeuri kiasi na zaid sifa ya ujeuri inampata kutoka na mwonekano wake... Ila ni mbwa rafiki sana kwa watu, hasa ukimsocialize angali mdogo, Mbwa huyu ni kwa ajili ya dog fighting hivyo si adui mkubwa kwa watu km wengi wanavyofikiri. Japo akiamua ameamua...
Usiwe una kurupuka kuweka comment kila uzi, uwe unasoma kwnza unaelewa, kwa akili yako unafikiri kila tangazo lazima liwe na bei? Elewa kwnza lengo la tangazo ndo ukurupuke kukoment..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipatie mbwa bora kwa ulinzi wa mali na familia yako. Mbwa wetu wanapatia mafunzo maalumu ya utii na ukali tangu wakiwa wadogo, kuanzia umri wa miezi mitatu.
Tunazo aina bora kwa ulinzi:
1) Germany Shepherd
2)Rottweilers
3)Boerboel
4)Pitbulls
Pia tunatoa ushauri juu ya ufugaji bora wa mbwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.