Search results

  1. cement

    Ni kweli kwamba hii nyimbo sio ya Jay Z-died in your arms tonight

    kwa maana katika album zake zote haipo na kwenye you tube wadau mbali mbali wanaponda na wengine kusifia? https://www.youtube.com/watch?v=GoFdw0owIO8
  2. cement

    Basi la Hood Mbeya to Arusha halifai litakuja kuua watu ndo serikali isikie

    Kimsingi hawa jamaa wana kibuli sana unapanda basi asubuhi 11 asubuhi unafika Arusha kesho yake saa 11 asubuhi au hata siku tatu njiani kweli? Trafik huwa wanakagua nini mwanzo wa safari mbona haya magari ni mabovu sana?? Mpaka yaje yaue watu ndio tutashtuka?
  3. cement

    TASWA na TBC muwe munaona hata aibu jamani loh!

    Jamani yaani hata aibu hawaoni kinachoendelea hapa hakielewekikl kabisa mnashindwa nn kujifunza kutoka ulaya??? Mbn ni vitu vya kawaida kabisa yaani hovyo hovyo tu ukumbi umepambwa kama wa kipaimara!!wanatoa tuzo hata hawaonyeshi ka screen hata ka nchi 14 kwamba wameshinda vipi hamnaaa!! Tbc...
  4. cement

    Maandamano Kimara Mwisho-Kushinikiza barabara ya Bonyokwa itengenezwe kuepusha usumbu

    kichwa cha Habari kinajieleza tunapata shida sana hasa tunaokaa Bonyokwa tunapita kwenye makazi ya watu ni shida tunasubiliana kwa muda mrefu sana wakati walioijenga huku mwanzo inapoanzia haikutengenezwa vzr plz pendekeza siku ambayo watu wote tutakuwa na nafasi tuanzamane kushinikiza hili...
  5. cement

    Dala dala na madereva wa mk9a wa Mbeya ni Tatizo kubwa

    Hapa mbeya ni balaa mji ni mzuri umekuwa sana ila tatizo lipo kwa watumiaji kifupi hakuna madereva naona wanaojifunza magari ni wengi bado leaner harafu walivyowabishi mpaka nashangaa mtu anamgonga wenzie na bado anakomaa kaonewa ahahahahaa,trafic pia tatizo hawakagui vzr madereva kichekesho...
  6. cement

    Namtafuta kaka yangu-Lugaba Kasubu Mlanda Wa Mwanza Igoma

    Wakuu namtafuta br wangu tumepotezana tangu 2009 mpaka leo ni msukuma wa sengerema lkn maisha yake yalikuwa Igoma Mwanza Kwa bibi yetu hakuna ndugu wala mtu yoyote mwenye taarifa zake kwamba yupo wapi mara ya mwisho alikuwa anaishi Dar kwa bro mikoa aoiyopendelea kuishi ni Arusha,Mwanza,Singida...
  7. cement

    Mzumbe Campas ya Mbeya New Maisha Club chuoni ya nn???

    Ni jambo la kushangaza sana nipo mbeya huku kikazi yaani ni balaa na aibu kwa chuo hiki kuwa na night club,ukipita usiku ni kama jolly club,meeda bar hapafai hata kwa bure nilikuwa nafanya assesment kama naweza kumleta mwanangu asome lkn nimeahilisha mazingira ya chuo hayafai kwa kweli ni kama...
  8. cement

    Dedication song ya Leo-TI feat Justin Timberlake Dead &Gone

    Duh wakuu leo karibia siku nziMa nimekuwa nasikiliza wimbo huu hakika ulinifanya nimchimbe muimbaji wa nyimbo hii Ti kwenye google kwanza nimekumbuka mbali sana hasa mashairi na chorus aliyoimba huyu Justin Timberlake hebu sikiliza kisha toa maoni yako http://m.youtube.com/watch?v=ujqQ6x2hASg
  9. cement

    william Mtitu vs Step Entertaiment Kimenuka sasa

    BILA STEPS INAWEZEKANA NA WILLIUM MTITUKwa muda mrefu nimekuwa nikiulizwa sababu ya kuamua kusambaza filamu zangu mwenyewe badala ya kuzipeleka kwa wasambazaji ambao nilikuwa nikifanya nao kazi kwa muda mrefu, yaani kampuni ya Steps Entertainment.Najua maswali yamekuwa mengi kwa kuwa kuna...
  10. cement

    Namtafuta-Lugaba Kasabuku Mlanda

    Ni kaka yangu amepotea mwaka wa sita sasa hakuna ndugu wala rafiki mwenye kujua alipo ni mwenyeji wa mwanza sengerema/Igoma tumemtafuta sana alikuwa anapenda kutembelea hasa singida,kahama,arusha na Dar es salaam Ni mweusi sio mrefu sana ni wastani ana mwili wa kawaida,miaka 39 ni msukuma kwa...
  11. cement

    Martin Robart Mwakitwange wa crown agency is no more

    duh kwa masikitiko makubwa uncle yetu kafariki dunia inasikitisha sana na kuuma amefia india hivi leo wanasafirisha kuelekea nyumbani mbeya kwa ajili ya mazishi mungu ailaze roho ya marehemu mahala peponi amen
  12. cement

    Ni sahihi kumuoa Binamu?

    Wakuu sitaki niseme mengi lakini lakini kifupi mhhh mambo yameharibika swali hilo linauzito sana kwenye kichwa cha habari nahitaji ufafanuzi sahihi kifupi me ndo nimemtoa huyo binti kila kitu chake alichopewa na mungu!!wenyeji wa mkoa wa kanda ya ziwa ndo mnahusika zaidi maana hili ni letu...
  13. cement

    Mara Clara whole series ntaipata wapi?????

    Wakuu hizi epsode zinaonyeshwa sana Star Tv nimekuwa nikimsikia wife akifatilia bila me kuielewa mpk aliponisimulia nimevutiwa sana na namna ilivyoandaliwa kuhusu hawa mabinti wawili wa kimasikini na tajiri!!!sasa basi naomba kujua ni wapi naweza pata full dvd ya hii story niwe nayo home coz ni...
  14. cement

    Historia ya Mwanamakuka

    Nimekuwa nikisikia sana hili jina Mwanamakuka anasifiwa sana na baadhi ya redia kama nembo ya wanawake wajasiriamali. Binafsi nimetafuta google sijapata hints zozote! Naomba mwenye kujua anifahamishe ni nani na mchango wape ni upi katika taifa hili maana nasikia sasa hivi kuna kuna tuzo...
  15. cement

    Muonekano mpya wa Gazeti la Mwananchi haupendezi

    Hili ni wazo langu maana leo nimepata tabu sana kulisoma na kuelewa na sijawaelewa ikifika weekend hasa jumamosi na jumapili inabidi niwahi mapema sana kupata nakala yangu moja cha kushangaza leo hadi jioni yamerundikana tu pale kwa dogo kisa wateja wanayaangalia tu muonekano ni mbovu japa...
  16. cement

    Msaada Yahoo Mail yangu haifunguki nisaidieni

    Heshima mbele wakuu nisaidieni namna ya kurecover mail yangu ya Yahoo mwaka 2009 nili update details sasa kwa bahati mbaya nimesahau nilijaza nn!nisaidieni kama kuna helpdest ya yahoo mail kama naweza wasiliana nao maana siwezi kuiacha hii email ina vitu vyangu vingi vya maana wakuu
  17. cement

    Inahitajika GX 110 haraka!!

    nahitaji kujua price engine type km mwaka gani condition in general ikoje?
  18. cement

    VUrugu Bungeni Wabunge wa CCM walianzisha 100%

    Wakati Mh Mnyika kaomba Taarifa kuna sauti zenye maneno haya zilisikika (tokeni nje),(tumeshawazoea) mara tokeni nje tumeshawazoea haoooooooooooo wanazomewa wabunge wa chadema hasa Mnyika aliyetaka kuongea Tunaomba bunge mtoe ufafanuzi vizuri kwa wananchi clip nzima ya bunge siku ile ya vurugu...
  19. cement

    Ku Log in ni taatizo wakuu toeni ufafanuzi wadau!

    Wakuu natumia file fox kwenye my laptop napata tatizo napotaka ku log in na sipati ujumbe kama nimekosea password au vp technical bench toeni ufafanuzi now nimerudi kwenye phone ambayo nimesha log in muda mrefu!
  20. cement

    Hili la Dawasco kufungua maji saa tisa usiku halikubaliki ni kunyanyasa watu

    Ni wiki inaenda ya tatu hii hatuna maji lakini kinachonisikitisha eti Dawasco wanafungulia maji kwenye mabomba usiku wa manane kweli kama sie tuliopanga tutawezaje pata taarifa kwamba maji yanatoka na kwa nn msifungulie mchana???? mnatunyanyasa na maji yenu ya mgao haya sasa hivi tunanunua dumu...
Back
Top Bottom