Hakuna shaka kwa hapa tulipofikia Lazima kuiamini serekali KIKAMILIFU!
Hao ACACIA sio wakuamini kabisa anyway kwanini wasijitetee ..! Kwa uharamia wa wazi kabisa wanaofanya.
Watanzania lazima kuwa wamoja na kushikana kwenye hii vita sio vita ndogo. Inabidi kuweka tofauti zetu zote kando na...
Asiwazingue ...
Anto kwa kimachame = Amshwa
Mbe = Mwanaume. Kwa kingereza ingekuwa = "He". kwa mwanamke = Mae = "SHE"
Kama salam ya asubuhi. ikimaanisha Umeamshwaje .. au Umeamkaje
Umeamshwaje mtu wa Kiume = Neantombe.
Umeamshaje mtu wa Kike = Neantomae.
Miezi michache iliyopita hakuna mtu angeweza kwa kutumia akili timamu kuja na analysis yenye kueleza kinachotokea kwenye siasa za Tanzania leo hii. Nani angeweza kuja na analysis ambayo ingemuweka Membe, Magufuli, Lowasa, Dr Slaa, Sumaye na Prof Lipumba Hapo walipo sasa.
Pia ni vigumu kabisa...
INDEED ...!!
I'm still insisting, there's great change about to unfold. The Liberal CCM (Lowassa, Mbowe and UKAWA group) are doing a very good assignment, swiftly pressurizing and forcing the Conservative CCM (Magufuli and the true reformers remain on there) to come to their sense, to work up ...
The Hypnotic Force of EL, what about that moment when he pulls off his mask .. OMG!!
No one will come near him. No one will alter a word from this power monger ... OMG, .. CDM what got in your gray matter ... ! But wait, theres a good side out of all this.
You look in all those pictures when...
Huyo Bw uliye mtaja jina hapo ni MTUME namuheshimu ndio maana Mimi sijaribu wala sidhubutu hata kumtaja jina.
Gundua kuwa Utume wake umebeba Nguvu hasi iliyotumika kuzika nguvu chanya ya uasisi wa Taifa hili. Enzi hizo waasisi wa Taifa walaifanya kazi kubwa kuasisi Taifa Chanya kabisa. Utaifa...
Hili ni kweli Kabisa.
Mabadiliko ya sasa ndani ya CCM .. kusema kweli wala hayawategemei wanadamu.
Ni more of "evolutionary" ... Lazima Kilichooza sasa kitumike kujenga kipya kwa manufaa ya wakulima na wafanyakazi.
Kitakaachoota na kushamiri kitatoa maua yeneye harufu nzuri sana ... kwa maana...
Mtizamo wako ni wa kupongezwa sana.
Nguvu Ya Kumkata MTU itatosha kukirejesha chama kwenye misingi na historia ya kale Kwenye usasa.
Na mgomjwa aliyenpona na kupata Afya aliyokuwa ameipoteza ... huwa makini na mzuri sana kuliko mtu mwenye afya amabaye hajawahi kuugua.
CCM itkayotokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.