Search results

  1. mdee junior

    Joyce Banda: I shall die for the land of Malawi!

    Mazungumzo ya amani pamoja na vielelezo tangu enzi za mjerumani na mwingereza ndivyo vitakavyoamua lakini sio vitisho: Kama ni vitisho wakamuulize NDULI, IDD AMIN dada! Teh teh teh hivi ni kwa nini walimuita dada?
  2. mdee junior

    M/kiti wa CUF Kibaha auwawa

    Hii ndo siasa ya Tanzania? Ccm mmeshajua kuwa 2015 hampo tena madarakani na hamtasikika tena ktk anga la siasa! Kama ni kweli ccm ndo waliofanya hayo mauaji, laani i juu yenu bora muanze kula sasa hivi maana hamtaviona tena. INAUMA SANA! I hate Politics
  3. mdee junior

    Watuhumiwa wa mauaji ya M/kiti USA-River CDM wakamatwa

    Sheria ichukue mkondo wake, Ni unyama ulioje! Watanzania tunaelekea wapi? hata kama sio siasa huu sio ubinadamu hata kidogo; damu yake na iwe juu ya vichwa vyenu popote muendapo na kibali kiondoke juu yenu kwa kila mtu aliye mbele yenu au nyuma yenu kama ilivyokuwa kwa Kaini! Mtaishia kuwa wa...
  4. mdee junior

    Rais aapisha tume ya Katiba!

    tanzania bila ccm inawezekana!
Back
Top Bottom