Search results

  1. A

    Taifa katika hatihati ya kurudi gizani!

    Itv wameripoti hali mbaya ya kina cha maji mtera wakati na mvua ndo izo zinakatika bwawa halijajaa. Maskini wabongo tutaendelea kuhofia umeme wa maji mpaka lini.
  2. A

    Waziri wa Nishati na Madini

    Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi...
Back
Top Bottom