Search results

  1. K

    Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Hivi' ni' kweli' Wamiliki wa Vituo vya Mafuta hawakuweza kununua EFDs mpaka wasaidiwe na Serikali!? Au ni mwendelezo wa utani' waliokuwa wamezoea kufanya awamu' zile' za kale. Hawajui ya kuwa; ya kale yamepita, na tazama Sasa yamekuwa Mapya'? Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  2. K

    Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Masahisho kidogo, maneno: laggage ya kistaarabu, yasomeke: lugha' ya kistaarabu. Sometimes Android dictionary inaharibu maneno yetu ya kiswahili kwa spell check. Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  3. K

    Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Nadhani tatizo kubwa zaidi hi kutaka ku- comment kwa' Kila thread hata Kama huna' uwezo wa kuelewa wazo kuu' liliwekwa kwa' mjadala. Sasa ikiwa huwezi kufuatilia hata taaarifa za habari za ndani' tu', utawezaje kuchangia mada' zinazopostiwa!? Na ni Nani atafanya kazi' ya kukusaidia' Maamuma'...
  4. K

    Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Kama huja isikia habari hii' usichangie. Sio lazima utoe maoni kwa' Kila hoja. Just assess your competencies and contribute appropriately. Bado nakutegemea dogo..... Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  5. K

    Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Wamiliki hawa' wamedai hawana fedha za kununua EFD machines Sent from my TECNO DP8D using JamiiForums mobile app
  6. K

    Utani' wa' Wamiliki wa Vituo" vya Mafuta juu ya matumizi ya EFD.

    Huyu Mwenyekiti wa TAPSEA analeta utani'. Wafanyabiashara ndogondogo wengi wakiwemo wenye' maduka madogomadogo kabisa wameweza kununua EFD machines. Sembuse wa' watembelea mashangingi!? Utani' mwingine hauna tija kwa' kweli'. Wewe' Mwenyekiti wa TAPSEA acha utani'. Watu wana" uchungu na Nchi...
  7. K

    Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

    Na Hawa PeaceCorps wanaosambazwa vijijini mwetu ni akina nani!?
  8. K

    Wapenda mabadiliko tuwe makini na wachambuzi wanaoeneza propaganda

    Wewe Mwenyewe ni CCM, nani asiyekujua
  9. K

    Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

    Ameshika nini mkononi? Mbona kama Bastola, kwani yeye ni Polisi? amevunja sheria
  10. K

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Akili ndogo kama yako popote pale ulipoiweka haitaweza kumwelewa Polepole. Hatuna namna ya kukusaidia
  11. K

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Wewe fikiri kama mtu mwenye Ubungo! Tuna angalia picha kubwa ya mwelekeo wa taifa letu, maswali ya Msigwa hayakuwa na content. Anadhani sisi hatujui alivyohujumu kondoo wake mpaka wakasambaratika? Anyameze tuzungumze maslahi mapana ya Taifa na Jinsi mafisadi wanaosafishwa wanavyoweza kuliokoa...
  12. K

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Huyo Mchungaji wenu sijui huwa ana mchunga nani. Huwa hana uwezo wa kuandaa hoja hata ungempa mwezi mzima Library. kama anatolewa kamasi na chiku abwao angeuwezaje mziki wa Polepole?
  13. K

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Msigwa hakujiandaa. Polepole ni kifaa na kielelezo cha Uzalendo.
  14. K

    Rais Kikwete amteua Wilson Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani

    Hivi huwa mnalala mchana? Au mmewezaje kuota kuwa uteuzi wa hawa Jamaa ni wa Muda Mfupi. Mtasubiri sana na hayo Makapi mliyokusanya.
  15. K

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Acha kumwonea Gerald, hawezi kuegemea Makapi. Msameheni bure jamani. Anajitambua
  16. K

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Is your Mum a Man? basi atakuwa shoga, mpe pole yeye.
  17. K

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Mkumbatie Mafisadi halafu muombe dua za Mwalimu! Mtakuwa hamko sawa. Muwaombe hao maaskofu wenu wa ukawa maharage wawaongoze kwenye sala ya toba, tena kama bado wana Upako wa Mungu
  18. K

    Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Weeee! WeeeH! Ishia hapohapo mwana wa Ibilisi wewe. Clouds kwa vigezo vyote imejipambanua kuwa ni Radio ya Watu. Hawatafanya kazi ya kutangaza vurugu mlizowafanyia wenye maduka kwenye barabara mlizopita. Hata sisi tusio na vyama tunasikiliza Clouds FM. Mkaoge kwanza kabla hamjaongea...
  19. K

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Eti ki-mchungaji kimoja uchwara hivi kinajipima msuli wa maarifa na Hamza Polepole. Hawezi aendelee na kazi yake ya kusafisha shombo za wala Rushwa. Kijana Taifa hili lina matarajio makubwa kutoka kwako. Usilegeze Msimamo.
Back
Top Bottom