Search results

  1. Frank Alfred

    Mchumba wa mpenzi wangu anataka kunilipa ili waendelee na taratibu za ndoa.

    Chukua mavumba kuliko kuondoka patupu,iyo itakusaidia kujipanga upya!
  2. Frank Alfred

    Mchumba wa mpenzi wangu anataka kunilipa ili waendelee na taratibu za ndoa.

    akamate mzigo asepe tu wakibadilisha mawazo patakuwa hapatoshi apo
  3. Frank Alfred

    Kibonde nakusubiria ukuu wa wiliya, aangukia pua, puu

    Ngoja akome maana amekuwa akitukela sna sisi wavaa magwanda,akafie mbali vyeo haviji kwa kujipendekeza kwa mtu!
  4. Frank Alfred

    Kima cha chini cha mshahara kuwa 180,000/=

    Hakuna kitu kinachoniuma kama hili swala! Tukumbuke kuwa 180 siokwamba unaondokanayo yote,inapaswa kukatwa; 10% penshen=18000 11% kodi zingine kama VAT n.k=19800 jumla makato ni=37800 ukitoa kwa 180000 inabaki 142200 kama take home! Hapa ameongezewa kiwango cha kukatwa kodi tu na sio...
  5. Frank Alfred

    Aliyetunga kitabu cha Kikwete matatani

    hawa ndiowasomo wakutupukaji! Badala yakuwaza mambo yamsingi unawaza kumsifia mtu,au ulitumwa???
  6. Frank Alfred

    sababu za millya kuhamia chadema

    waambie bwana maana wana ccm wamebaki kufukuza upepo tu,pplesssssssssss!
  7. Frank Alfred

    Hela za matibabu ya Sajuki zaibiwa

    hilo ndio swala la msingi! Lakini kuwazuhia watu kutumia huduma hizo sio rahisi!
  8. Frank Alfred

    Vocha za Airtel hazina ubora

    Tatizo wanalijua sana maana hata wao wameprove hilo ila viburi! Mpakawapigiwe kerere!
  9. Frank Alfred

    Kama Wewe ni Mwanachama wa NSSF, PPF, PSPF... Soma Hapa!!!

    Hoooo! God......!! Tunusuru nahilijanga maana naona sasa nchi inauzwa kimyakimya! Hii inakokwenda hapaeleweki,mi naona watu wamemuweka Mungu kando yatupasa kufunga na kusali sana!
  10. Frank Alfred

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    watanzania unapolaum huajiliwa wa wenzetu kwanza jiulize kuwa pindi unapoomba kazi unalenga nini! Na je unavigezo? Tusiwe watu wakulaumu kilajambo!
  11. Frank Alfred

    Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

    Jamii nzima inapaswa kufumbua macho na kutoka ktk usingizi mzito ulio tugubika! Inatupasa tupingane na usingizi huo uliojaa ufisadi na kufungua ukurasa mpya wa mapinduzi kwa vijana,kwani wimbo wa wazee wetu walioimba kuwa vijana taifa lakesho,ndio sisi kwani siku imefika yakuwaonesha kuwa jana...
Back
Top Bottom