Search results

  1. Ze Pro-Money

    Dream League Soccer 2020 special thread

    Kuna anaelijua humu?
  2. Ze Pro-Money

    Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

    UDSM hatuna watu kama ww! ww unaonesha hata O-Level hujamaliza.. alaf sio lazima uandike kiingereza ili uonekane msomi maana kila ulipoandika kiingereza umekosea! Jikubali na kubali mahali ulipo.. UDSM sio peponi ni chuo kama vyuo vingne jitihada zako tu ndizo zitakupeleka hapo! Soma
  3. Ze Pro-Money

    Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

    Unamaana gan hapo mkuu? Sociology ni wambea au?
  4. Ze Pro-Money

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Nyie ongeleeni UDOM na hivyo vyuo vingne mkitaka kulinganisha na UDSM mtaleta mabishano yasiyo ya lazima! msiamishe mada iliyoletwa hapo juu!
  5. Ze Pro-Money

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Sasa habari za UDSM zimeingiaje hapa?
  6. Ze Pro-Money

    Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

    Ukishaingia chuo utaweza lijibu hlo swali, kwa sasa huwez pata jibu kwa sababu hata upeo wako bado ni wa level ya sekondari.
  7. Ze Pro-Money

    Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

    Kumbe ndio maana anaongea ujinga wake hapa! mawazo yake tu ya kisekondari sekondari
  8. Ze Pro-Money

    Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

    Sap na Disco zipo nyingi kwa sabab chuo hakitak mchezo kinataka wanafunz wanaojituma na wanaojitambua na wanaoweza kukiwakilisha chuo vyema wawapo nje ya chuo.. wanafunz weng wa ckuiz tunafany mchezo na chuo na ndio maana haya yanatokea! Binafsi sioni tatizo hapo zaidi zaidi naona wewe unataka...
  9. Ze Pro-Money

    Degree ya socialogy

    1. Ni SOCIOLOGY and not SOCIALOGY. 2. Nina waswas kidogo na ulichokiandika kama ni ukwel kwa7b hakuna mwanafunz anaejielewa akaulizia kuhusu ajira akiwa mwaka wa mwisho wa masomo na kama ni kweli basi kaka yako sio mfano wa kuigwa.. 3. Ushindani wa ajira ni mgumu kidogo unaposoma course hyo...
  10. Ze Pro-Money

    Vote 4 diamond, jaydee, ben paul... Afrimma awards 2014

    African Music Magazine Awards (AFRIMA) imetoa nominees wanaowania tuzo mbalimbali barani Africa! Kwa upande wa Tanzania wasanii waliochaguliwa ni pamoja na Diamond Platnumz (5 categories), Lady J-Dee (1), Mpoto (1) , Ben Paul (1) na Shedy clever (1). piga kura kupitia link hii...
  11. Ze Pro-Money

    Andika kwa swahili: 12000 na 10002

    Nakubaliana na wewe
  12. Ze Pro-Money

    Migomo Vyuo Vikuu Tanzania...

    Mnapoambiwa msome UDSM mnajifanya wabishi.. mtapga pasi ndefu mpaka mkome.. mgomo huanzia Mlimani ndio vyuo vngne vnafuata na kwa kugundua hilo HESLB wakawaisha mapemaa boom kwa wanachuo wa UDSM ili kukwepa mgomo! Poleni sana kwa kweli
  13. Ze Pro-Money

    Dah! Nimepewa cha mbavu

    Kwan kutongoza hiv hiv huwez mpaka umtongozee kweny cm mkuu?
  14. Ze Pro-Money

    Walimu wakimbia shule kwa kubakwa na wanafunzi

    hebu tumia akili wewe, usilete uchama kwenye majanga ya kitaifa. Ndo nyie mnaochochea mgawanyiko wa watu kichama, kwaiyo ulivyosema hivyo unataka ccm ndo waende kutatua hilo tatizo? Ukiambiwa mabadiliko yanaanzia kwako ni katika maendeleo kwa ujumla sio katika kisiasa tu? Mnaturudisha nyuma na...
  15. Ze Pro-Money

    Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    Nadhani hujanielewa!
  16. Ze Pro-Money

    Asymetrical chest....

    Ahsante mkuu. Lakini nataka kufahamu kama tatizo hili ni la kawaida au la, kwa sababu sijapata kusikia likizungumziwa sana!
  17. Ze Pro-Money

    Asymetrical chest....

    Kuwa na kifua chenye ukubwa tofauti (yani upande mmoja wa kifua ni mkubwa kuliko mwingine) Nini chanzo chake na je kuna tiba yake? Msaada tafadhali!
  18. Ze Pro-Money

    Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    Jaman nyie watu wa udom msiwe mnaropoka, UDSM na udom haviwezi kulingana wala hatuwezi kuwa wapinzani,, umeona wapi habari za kimataifa zikasomwa pamoja na za kata. Kukubali ukweli ni busara pia
  19. Ze Pro-Money

    Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    POLE YAKO BWANA KILAZA!! Maana ulimejishtukia mwenyewe!
Back
Top Bottom