Search results

  1. J

    UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Ulipokuwa ukiwatenda wenzio vibaya, haukujua madhara yake? Tumeumia vibaya sana na wengine mliwapoteza! Je, Uko tayari kuwarudisha?
  2. J

    Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

    IGP Sirro ameapa kuwauwa kwa risasi na wenyewe wameapa kuwa hawamtaki kiongozi wa ccm! Sasa KIUMANE Ukishakuwa na urafiki na Rwanda au Burundi lazima uuwe watu wako kwa risasi!
  3. J

    Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

    Wewe nu muongo na umetumia nguvu nyingi kuwadanganya watu! Ngoja tukueleze ukweli: Wakati msafara wa Lissu ulipofika Kisorya saa 3.00 asubuhi kivuko kilikuwa Ukerewe na DC Magembe alikizuia kuja Kisorya "Eti ni Kibovu" na ilipofika saa 5.20 asb wapenda UHURU wakajitolewa kuwavusha kwa Mtumbwi wa...
  4. J

    Msekwa: Membe siyo mtu maalumu, afuate tu taratibu

    Kama asingekuwa mtu maalum ccm isingemhofia hivyo! Amefukuzwa juzi, zilipopita siku mbili Katibu Mkuu wa ccm akamkaribisha tena arejee. Kama asingekuwa chochote ccm wasingekuwa wanamzungumzia. By now he is a strong subject of discussion
  5. J

    Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

    Kwanini usijiulize kwanini watu wengi wanampongeza Pro. Assad au kwanini watu wengi waamini yasemwayo na Zitto Kabwe zaidi ya Magufuli? Kwanini usijiulize eeh? Zitto hana serikali na hawezi kuwateua kwenye nyadhifa zozote lakini wanamkubali; WHY? Can't you ask yourself man?
  6. J

    Hali ni tete Igunga suala la maji safi na salama

    Kumbe Igunga nako mnaisoma NAMBA, tajiri Rostam Azziz alikuwaga mbunge wa jimbo gani? Acheni kupiga kura kama hamna maji na huduma nyingine...
  7. J

    DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Nani ataisimamia halmashauri ya wilaya ya Magu na kuwatiisha watumishi? Madiwani wako hoi na mbunge yuko busy na biashara ya kuuza mafuta! Magu ni wilaya kongwe iliyovurugwa na wenyeji, kwahivyo watumishi wanatumia nafasi zao kujipigia watakavyo.
  8. J

    Naibu Waziri Kilimo, Bashe: Kama sio Mkulima asiongoze chama cha Ushirika

    Waziri mdogo wa kilimo amelishikia bango hoja ya kutaka vyama vya ushirika viongozwe na wakulima tu na sio vinginevyo! Nataka kumkumbusha Bashe kuwa kuna ushirika wa wavuvi, wafugaji, mafundi, saccos nk . Unamaanisha kuwa hao wavuvi wawatafute wakulima ndio wawaongoze? na wafugaji je? Umekuja...
  9. J

    Naibu Waziri Kilimo, Bashe: Kama sio Mkulima asiongoze chama cha Ushirika

    Hii kauli naona inajirudia kila siku, inaonekana huyo waziri anataka KIKI..! Swali la kujiuliza ni kweli Ushirika ni wa wakulima tu? Hivi hakuna ushirika wa wavuvi? Hakuna ushirika wa wafugaji? Hakuna ushirika wa mafundi? Saccos nazo si Ushirika? Nao waongozwe na wakulima? Binafsi simuelewi Bashe
  10. J

    Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

    Uzuri ni kwamba UJUMBE UMEFIKA na umekugusa na kukusugua ipasavyo! Unawashwa eeeh, jikune ukaoge...
  11. J

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Kuanzia leo OilCom ni adui yangu namba moja!
  12. J

    Huyu raia Godwin Gondwe amepata wapi ujasiri wa kuvaa sare za JWTZ?

    Acheni TUTAWALIWE jamani, tuliyataka wenyewe! Tulichagua udikteta badala ya demokrasia.. na miaka mitano ijayo ndio itakuwa "kulima kwa meno"
  13. J

    NYARAKA: Hukumu ya Mahakama ya Rufaa kuruhusu Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi Mkuu

    We feel the pitch the same way! Maumivu ni yale yale kwa wote; kilichobaki ni kila mtu kuangalia atakachokula leo na kesho. Siasa zimekwisha umebaki ubabe. Na hata hao walio madarakani wanatukanwa kila siku "MPUMBAVU". Heri wewe mkulima kijijini hakuna mtu amewahi kukutukana hivyo.....
  14. J

    Uchaguzi ndani ya Chama: CHADEMA walimwa barua na Msajili wa Vyama vya Siasa. Watakiwa kufuata sheria za nchi

    CHADEMA watafanyaje chaguzi wakati vikao na mikutano yao inazuiliwa na polisi? Huyo Msajili sidhani kama ana akili timamu! Viongopzi wote wa CHADEMA wanashindia mahakamani na kila wakitaka kufanya vikao vinazuiliwa sasa hizo chaguzi zitafanyikia hewani? This is bullshit!
  15. J

    Job opportunity – accountant

    JOB OPPORTUNITY – Accountant Isamilo International School, Mwanza seeks an experienced Accountant who will be responsible for managing all school accounts. He/she will maintain accounting controls, preparing and recommending policies and procedures and report to the Operations Manager and Head...
  16. J

    Business Operations Manager

    JOB OPPORTUNITY - Business Operations Manager Isamilo International School, Mwanza seeks an experienced Business Operations Manager who will be responsible for managing all administrative aspects of school. He/she will maintain excellent stakeholder, vendor, and government relationships and...
Back
Top Bottom