Search results

  1. P

    ITV vs Rais Magufuli na CCM

    Chanel 10 na ITV ndio peke yao hawako biased. Star TV na TBC wako kishabiki zaidi, zimekaa ki Ccm, Ccm
  2. P

    Polisi watawanya waombolezaji kwa Baba mzazi wa Alphonce Mawazo, familia yalaani kitendo hicho

    Haya mapolisi ni viumbe wa ajabu sana. Yaani jitu zima linasema eti kipindux2! KipinduX2 kitawapata waombolezaji tu? Hao mapolisi hawawezi ambukizwa? Mxxxiiiiew
  3. P

    Hiki ndicho kinakera

    Kama hujambi we ni mgonjwa, kujamba ni afya
  4. P

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Nyie Uloi na Masonjo kuongea sana sio kuwa na Akili! In fact ukiona majitu yanayoongea sana ujue kichwani hamna kitu
  5. P

    Lowassa, Mbowe kupewa tuzo ya Amani Afrika

    Ccm wana midomo michafu sana safari kwa vile wanajua mwisho wao umewadia. Wanaochochea machafuko ni team ya kampeni ya magufuli kwa maneno yao ya kejeli na matusi, ukiwasikiliza hasira napanda sana hasa pale dola na tume ya uchaguzi inapoyanyamazia.
  6. P

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Na Ccm wameshika adabu Arusha, hawakuthubutu kutoa kejeli au matusi kwa Edo!
  7. P

    Elections 2015 Magufuli atashinda lakini mabadiliko hayaepukiki

    Wewe ni wale wale wenye hangover ya chama kimoja. Wanavyosema wazungu, bad habits die hard! Mapenzi yako kwa mgombea wa CCM ni dhahiri na nisingeshangaa ungeandika hivyo hivyo kwa mgombea mwingine yeyote wa CCM mbali na huyo 'I am a politians'! Wewe unajua fika kilchoendelea Dodoma wakati...
  8. P

    ITV mbona mnaruka kusoma vichwa vya habari

    Ndio maana ya kuandika hapa ni pesa tu. Point yangu hapa ni tangazo lenyewe, magufuli akiwa India Rais ndio atawaruhusu mama ntilie wafanye biashara kokote bila kuzingatia sheria?
  9. P

    ITV mbona mnaruka kusoma vichwa vya habari

    Jana baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku, liliwekwa tangazo limoja la mgambo kuwashughulikia mama ntilie, tangazo hilo lilimalizika kwa dada mmoja kusema 'ngojeeni Magufuli akija!' CCM wameshai contaminate ITV, hapa ni pesa tu!
  10. P

    Nikaione hali ya Godbless Lema Arusha

    Pesa nyingi zimemwagwa Arusha na CCM za kuhonga ili madiwani na mbunge washinde Arusha. Bendera zao kwenye kila mtaa wa jiji ni wanajaribu kuonyesha kwamba CCM bado iko hai. Kusema la ukweli watu hapa A-City wameichoka CCM, hata waweke bendera zao mpaka mlima Kilimanjaro wanajisumbua tu. Lema...
  11. P

    Bendera za CCM zaiteka Arusha

    Zisambazwe mpaka Karatu, Bendera hazipigi kura!
  12. P

    Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

    Huyo Mange ana stress za ndoa yake, mme wake kawa m*e***
  13. P

    Rangi Nyekundu kwenye bendera ya CHADEMA ina maana gani?

    Ni rangi ya damu, bila damu huwezi ishi!
Back
Top Bottom