Search results

  1. theHAVARD_product

    Sector ya nyumba za kupanga imekumbwa na mtikisiko mkubwa sana, hali mbaya

    Sekta ya Biashara ya nyumba na ujenzi zimeathirika sanaaa !!! Ukitaka kufahamu ili jaribu kuuza nyumba yako utapita picha kamili. Sio vitu vya kufurahia kabisa .
  2. theHAVARD_product

    Rwandan player says Kenya is above Tz

    HAHAHAHA lini mara ya mwisho timu ya Kenya kufika nusu fainali za ligi ya mabingwa Afrika?? Hata robo fainali hazigusi.
  3. theHAVARD_product

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

    Mabalozi wanajua kazi zao kweli? Maana list imejaa Makada tupu.
  4. theHAVARD_product

    Rushwa Fixed Account: Msajili na Gavana wanatuona watanzania hatuelewi chochote

    Usipoteze nguvu kumuelewesha huyo jamaa. Hafichi chuki zake kwa Magufuli hata kwa vitu visivyotaka ubishi. MPUUZE TU.
  5. theHAVARD_product

    Simba, Yanga ni taasisi zenye nguvu kuliko CCM, Ukawa

    Hongeraa sana kwa article maridhawa. Kila kitu umeeleza vyema.
  6. theHAVARD_product

    Wivu wa Diamond ni zaidi ya "Mke mwenza"

    Acha roho ya husda wewe, unajua Davido kaimba Collabo na wasanii wangapi wa Afrika mashariki? Mbona hawajatusua kama Diamond Platnumz!!?
  7. theHAVARD_product

    Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

    Kwa mtu kama mimi niliye na uzoefu wa miaka 5+ nikiwa na YouTube channels zaidi ya Sita, wanavyodai mtu ananunua views 8M+ huwa nacheka sana. Njia pekee ya kununua views YouTube ni through YouTube promotions kama wanavyofanya Coke Studio, Tigo, Vodacom Nk, Na ni gharama sanaa.
  8. theHAVARD_product

    Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

    Magufuli mpaka 2050! Kama hulijui.
  9. theHAVARD_product

    Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

    Sijaona watu walalamishi kama hawa mashabiki wa Kiba wakiongozwa management yake na yeye. Afanye kazi aache kutafuta huruma kila siku. It's so boring.
  10. theHAVARD_product

    Cheki Masanja anavyohaha, kweli kutunza mke si mchezo!

    We amepost kama jokes huko Twitter, hujui hata jokes
  11. theHAVARD_product

    Live Updates: Simba vs Kagera Sugar - Oktoba 15, 2016

    Umbo lake halina tofauti na Sterling, Chicharito nk Anahitaji wakala mzuri na fitness ya kutenga.
  12. theHAVARD_product

    Offer ya domain za. Com

    Ahaha, wadau mnampa za uso sana. Acheni kijana ajiajiri bana .
  13. theHAVARD_product

    Masikini Yanga yangu

    Anadai Bilioni 11?? Kweli Manji amewaweza Yanga na mwisho ataichukua timu buree.
  14. theHAVARD_product

    UDOM Kimejengeka kweli...Ni Kijiji cha elimu

    Acha kashfa zako. Unajua Kikwete ameachia nchi hii deni kiasi gani? Ameacha deni la taifa halielezeki na mifuko ya jamii taabani. **Msifu bila kuponda wengine.
  15. theHAVARD_product

    Pamoja na VAT, Tanzania yaongoza kwa bookings za Utalii Afrika na Duniani!

    Kichwa cha habari chako kinasemaje? Au mwenzetu MEMKWA!
  16. theHAVARD_product

    Pamoja na VAT, Tanzania yaongoza kwa bookings za Utalii Afrika na Duniani!

    We Tanzania haiwezi kuizidi kwa utalii Jiji la Paris tu.
  17. theHAVARD_product

    Happy Birthday Fid Q! Mfalme wa hiphop East & Central Africa

    Mfalme wa HIP HOP East Africa? What a joke.. labda Mwanza. Mtaalamu wa kucopy fasihi za vitabu.
  18. theHAVARD_product

    Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

    Acha kudanganya watu, Liki Abdallah ni mchumi kitaaluma na ana Phd , siyo aliitwa Dr kwa ajili ya mpira. Nishamuona sana katika makongamano ya uchumi.
Back
Top Bottom