Search results

  1. N

    Yuko wapi dr. Asha rose migiro?

    Nimeipenda "Anakaimu nafasi ya pinda''
  2. N

    WanaCCM wataka Nape afukuzwe

    Afukuzwe ili akakonde?manake Kanenepa kama mkapa.
  3. N

    Mgimwa punguza matumizi ya dola za marekani

    Threand nzuri mkuu.wazo zuri. LIKE
  4. N

    CCM....Kamata Muongo Meeeeeen!

    Sijakuelewa meeen..' usharobaro hata kwene serious issue?
  5. N

    Wizi huu TiGO Pesa haukubaliki hata kidogo

    Siyo TiGO tu, hata m-pesa uu ushenzi upo sana. Tizama je hamna mtu anajua password zako?
  6. N

    cjaomba kaz kwao wananiita nkafanye kaz.

    Uko sawa kabisa mkuu'
  7. N

    cjaomba kaz kwao wananiita nkafanye kaz.

    Wajinga hao.hawa jamaa walishawai kunipigia simu nikawafata pale sinza morry opp na socer city bar. Kufika wakaleta umbea mara wametajirika,mara wameenda kuzunguka ulaya,firnaly wakadai 2toe laki moja na ishiri kama kiingilio. Ukiuliza swali wanakuchenga.DESI NYINGINE IYO MKUU''
  8. N

    Rostam azidi kuthibitisha alivyoweka nchi mfukoni mwake

    Mkuu:JK,EL,Na rost tamu c ndo wakubwa? Wataguswaje
  9. N

    JK aapisha Baraza la Mawaziri

    R.i.p tido mhando.tbc1 ishakufa. Umo umo radio umoumo tv.
  10. N

    Yanga kufungwa 5-0 na Simba je wana Yanga wamejiunza nini?

    Msimu ujao ukianza uliza ilo swali.
  11. N

    Mwakyembe kuwa waziri pigo kwa Lowassa

    Lowasa anahasirika vp? Fafanua
  12. N

    Mh. DC wa Mbozi aliyejiuzulu amjibu RC Mbeya!

    Eleweka kwanza' hao tbccm ukuona leo subtitle yao badala ya raia wameandika raisi wa ghana akamatwa na unga dar?
  13. N

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi atangaza kujiuzulu!

    Historia itamwukumu' na kumjengea heshma
  14. N

    Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

    Andika usomeke' tuta LIKE vp cc wa cm za tochi?
  15. N

    Uteuzi wangu ni heshima kubwa kwa NCCR - Mbatia

    Mweu uyu mbahatiya' anaweza kudhibitisha vyama vinavyo mwaga damu? Kupewa kula hata ajashiba kashaanza kutapika?
  16. N

    Tunasubiri hatua ya pili

    Mahabusu labda aanze kakayao jk wa richmonduli. Ujackia watawajibishwa kisiasa?
Back
Top Bottom