Search results

  1. M

    Aliye karibu na Mange Kimambi anisaidie kunifikishia Kwake huu ujumbe maridhawa

    Hakusema watu wabebe mapanga alisema wabebe Biblia na Misahafu.Kwa hapo namtetea.
  2. M

    Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

    Mchawi sio lazima ashike tunguli,hii uliyo onyesha ni dalili ya uchawi baada ya kuona lengo lako halikutimia.
  3. M

    "SO SADi" Soma hapa ujifunze!

    Jamani Mashoto!kama aliamua kumuingilia mara kadhaa ina maana alimpenda.Kama kubaka ingekuwa mara 1.Kwann asimhudumie mtoto wake!Anyway tuyaache cha muhimu ni misaada iwafikie kweli walengwa.
  4. M

    Itv issue

    Kama wameridhika tuwaache,ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe.
  5. M

    Merry chrismas JF members

    Pamoja na ww
  6. M

    Airtel na kifo cha Sharo Milionea

    Mi sidhani kama kuna tatizo kwenye kuonyesha,ila kwa Kanumba alicheza tangazo la startimes baada ya kifo sijaliona tena au mkataba uliisha?
  7. M

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Duh!! RIP Sharo
  8. M

    ukikutana na rais kikwete ombi lako moja ni lipi?

    Amiachie huru mtoto wa mfalme
  9. M

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    Itabidi wahusika wawahishe salary ya Dec ili tujiandae vizuri.
  10. M

    Mohammed Said: Waislam hawakuchoma makanisa. waliochoma ni wahuni

    Kwanini wanataka kuandamana kuwatoa wahuni?????
  11. M

    Binti wa kinigeria aliyefanya mapenzi na nyani afariki

    Maskini mtoto wa watu Cynthia.Sasa sijui wakati ana suck hakuona tofauti?mmmh RIP
  12. M

    He! Kumbe nimezaliwa leo?

    Happy birthday
  13. M

    Kama mtumiaji wa LUKU soma hapa tafadhali

    Mmmh!Basi kasheshe,tunashukuru kwa taarifa.Ngoja tujiwahi.
  14. M

    Nimekula NYAMA YA MBWA

    Du hongera sana kwa kubadili kitoweo.Hakuna haramu vyote vilihalalishwa na mwana wa Adam. Siku moja moja unaendelea kushtua tena kama kawa.
  15. M

    Naomba ushauri

    Asante kwa ushauri,kiukweli nimechanganyikiwa.
  16. M

    tutaishije jamani?

    umeona eeh,nilidhani ni kwangu tu
Back
Top Bottom