Search results

  1. Peter Msigwa

    Waraka mahususi kwa viongozi wa dini wa Tanzania: Kuweni macho na wanasiasa wenzangu, Msigwa

    TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI Salaam za X-Mas na Mwaka Mpya za Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema) Waraka mahususi kwaviongozi wa dini wa Tanzania: Kuweni macho nawanasiasa wenzangu Ndugu Wanahabari, Kwa nafasi yangu kamaraia, Mbunge ninayewakilisha wananchi wa...
  2. Peter Msigwa

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Kwa kuwa nimetambua kuwa wewe umejiweka kwenye sehemu ya kushauli ila wewe hutaki kushauriwa, kukosoa ila hutaki kukosolewa.na kwa mtazamo wako naona unaona kwa kuwa mimi ni kiongozi basi mimi siruhusiwi kushauri au kutetea yale ninayoamini. Mimi sio mwumini wa siasa nyepesi nyepesi, nivizuri...
  3. Peter Msigwa

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Nashukuru kwa maoni yako,ambayo nayapokea kwa mikono miwili, asante sana kukosoa na kukosalewa ni sehemu ya maisha ya mtu mstarabu INGAWA SIJUI NI WAPI NIMEONYESHA JAZBA, HOJA YANGU HUJAIJIBU. KUHUSU MTAZAMO HUO WA BOTHA,KWAMBA HUKUANZA NAO WEWE HILO TU! SIONI SABABU YA KUINGIZA SWALA LA DR SLAA...
  4. Peter Msigwa

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Ni hivi juzi umenikandia sana kuwa mimi sifai kuwa mbunge na ukajaribu kutoa sababu zako,ambayo kimsingi ni haki yako, kinacho nishangaza leo kwa nini hutaki kuwa mkweli na muwazi kwani HOJA YA KABURU BOTHA NIMEANZISHA MIMI KATIKA KONGAMANO LA MWL NYERERE PALE RUCO IRINGA MJINI, NILICHANGIA NA...
  5. Peter Msigwa

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Tulikuwa na wakati mzuri na wa mafanikio makubwa katika maandamano ya mbeya
  6. Peter Msigwa

    Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

    habari za wakati huu polisi mbeya wamelegea waruhusu maandamano:
  7. Peter Msigwa

    CHADEMA Shadow Cabinet: Jokers & Comedians!

    Just a small observation on the comment given on CHADEMA shadow cabinet, I can assure you that, the shadow cabinet was properly picked,considering experience and even academic qualifications. Don't expect that we can have a shadow foreign affairs minister who is a half academically baked, I...
  8. Peter Msigwa

    How to use JamiiForums effectively

    Can some one tell me the vision of this country? l feel as a country we have lost the sense of purpose . we don't have common vision as a nation
Back
Top Bottom