Mara nyingi sio shida Bali ni namna mwili unavyokuamsha pale unapokuwa umelala vibaya, vilevile hata ulaji nao unachangia...wataalamu wa afya ya mwili wanaweza ongezea sana hapo...ukiangalia kwa upande wa Imani yako ni kukupa ujasiri.
Hivi hawa watoa huduma mbona haeliwi nini maana ya speed ya Internet?
Tigo mmenikatisha tamaa kwa kweli nipo katika harakati za kuhama huduma zenu for Good.
Kwa Mujibu wa Sheria zetu...Mke wa Raisi anpata nusu ya Mshahara wa mumewe. Na hii nikutokana na kazi kubwa ya kulinda afya ya Raisi wetu. Kumbuka kuwa ndio mtu pekee anayeweza kuwa faraga na Raisi kwa muda mrefu zaidi. Na mambo mengine mengi tu. Wajuzi wa mambo watakupa uelewa.
Ndugu hawa jamaa ni wajuzi sana......tumia akili ndogo tu ya kwanini wewe umewaza hivi? Bila shaka ni western movie zimekueleka
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.