Tunapambana sana na sababu za nje kuliko za ndani. Pili, katika kutafutana hakuna tena ile kanuni ya kupimana kwanza ndio makubaliano. Tatu, maisha ya ndoa ni kama "biashara" sina maana watu wazingatie faida tu au kununua na kuuza, la hasha! Maana yake hapa ni kwamba usipojifunza njia mbali...
Anayekosolewa hahitaji kulalamika kwa kuwa anajua anachokifanya kina mantiki gani. Cha msingi ni kukaa kimya maana kusema sana ni kuonekana busara finyu. Aliyemlaumu mwalimu chanzo ni mwalimu kumfundisha sana.
What i think is personal effort as the only way to become financially fat.However,i advice those who think that the country will do something worthwhile for anyone or politicians will make it,should stop from dreaming and start living.This country needs people who will sucrifice their life and...
sha na huo ulionao,wala huhitaji kulipia pango ya jengo au kuwa na jengo lako,huhitaji kuwa na uzoefu wa kibiashara na mingine mengi lakini unapata kipato kisicho na kikomo na cha kurithisha hata kama hautokuwepo hapa duniani.Unaonaje huu ushauri?kama unahitaji maelezo zaidi juu ya hii...
Safi!lakin umefanya utafiti kabla mtu mzima?
Mimi ushauri wangu,kwa nini usifanye biashara ambayo ni nzuri zaidi kwani haikuhitaji kuwa na ofisi,kulipia kodi ya mapato,kuajiri mtu au watu,mtaji ni mdogo ukilingani
Sucessful people,in every walk of life,think and talk about what they want most of the time.They think and talk about the future and how they can make it a reality.They are continually thinking and talking about where they are going and how to get there the very fastest way possible.
As a...
Set your own hours,call your own shots,run your own business and see what freedom feel like. I can help.
Call me: +255762395110 or +255657117377.
Email address:21century.bussiness@gmail.com
Website: www.cretiveminds.or.tz
nimevutiwa na hizi hoja hapa ila natoa angalizo,mwenzetu anaomba ushauri kwa tatizo alilonalo na sio kupondana.
mimi nakushauri mazoezi hayapunguzi unene bali hupunguza uzito na sometime inakuwa hivyo kulingana na aina za vyakula.
kunatabia ya kudharau sna mambo ya msingi kuliko yasiyo,nimeona...
kwa hali ilivyo sasa inaonesha baada ya miaka kumi mbele watanzania tutakuwa kama wanaijeria,matapeli kwa sababu ya kutojishughulisha.
mfumo wetu wa maisha ni mzuri sana kiasi kwamba kama unajishughulisha kweli na unanidhamu na shughuli unazozifanya basi kwa muda mchache tu unakuwa katika...
Wanajamii habari za leo! Nina tatizo kuhusu hawa jamaa wanaojiita "A&A computers" wanahusika na uuzaji wa computer na utengenezaji wa vifaa mbalimbali kama photocopier,computer na vingine vingi.Hawa jamaa nilipeleka laptop yangu mpya wanibadilishie program lakini hawa jamaa wakaifungua na...
Hi
As you start the new thinking, you might as well be opening your mind for new ideas.
One of the fastest growing new idea in the world of business today in the NETWORK MARKETING BUSINESS.
This might be an alternative business for you or for your friends and relatives...
"IF A STUDENT IS READY THE TEACHER WILL SHOW UP"
Inavyoonekana uamini yatendekayo kwamba vipofu wanaona,viziwi wanasikia na viwete wanatembea.foleverliving products hawauzi dawa aliyekwambia kakudanganya.zile ni bidhaa ambazo zinaongeza virutubisho mwilini kwa maana ya vitamini,madini na amino...
Pole dada sana.Unatatizo la fungus na sio kitu kingine.hata kama u msafi kiasi gani haliwezi kisha mapema kama ujagundua njia mbadala ya kuondokana na hilo tatizo na kwa vile wewe ni wa kike basi nahisi utakuwa unajisikia vibaya sana.Kuna dawa za asili z kupambana na bacteria kama hao moja kwa...
Katika karne hii kuna biashara mtu waweza fanya na ukatengeneza faida kubwa kuliko matarajio ila tu hii biashara wengi hatuifahamu jinsi ya kuifanya na wala haiitaji kupata eneo mahali ili uifanye,ua kulipa koi kwa wingi bila hata ya kuona faida kwanza na mtaji wa biashara hii ni mdogo kiasi...
some time we need to change our mind and our perception of what we see,because the economic model we used to have is broken is no longer working that is why many youth who are still looking for job(security)are suffering.What aim trying to say is,"21century will be known as the age of...
Kuna mawili hapo kama wasemavyo wengi yawezekana ni pepo au kuna tatizo lingine katika mfumo wa damu hili tatizo huwa linawapata watu wengi sana siku hizi hasa wakike na kama halitachukuliwa kwa umakini basi mtu anaweza kupata ukichaa.Mara nyingi huwa damu haifiki kichwani(blood circulation in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.