Search results

  1. NYAMALAWA

    Natafuta chumba Iringa mjini

    Kiwe self contained,maeneo ya kihesa kilolo,ngome au tumaini,maji na umeme n lazima
  2. NYAMALAWA

    Nafashi za Kazi ya Sales

    Wanahitajika wasichana wawili tu, umri kuanzia miaka 18-25 wenye uzoefu na mambo ya kutembeza na kuuza bidhaa maeneo mbalimbali hapa Dar. Malipo ni kwa kamisheni,yaani utakavyouza sana ndo utapata sana. Kwa maelezo zaidi PM
  3. NYAMALAWA

    Kuhusu kamera ya galaxy s2

    Anaeweza kunisaidia .kamera ya simu yangu galaxy s2 haionekani vzuri ipo kama na ukungu.yaani haina mng'ao ule wa kawaida.
  4. NYAMALAWA

    Msaada wa mpango wa biashara

    Wakuu habari zenu wanajf. Naomba mwenye format ya business plan ilioandikwa kwa kiswahili anisaidie tafadhali
  5. NYAMALAWA

    Nauza galaxy pocket

    Nauza simu tajwa hapo juu imetumika miez 8 tu,110,000/=
  6. NYAMALAWA

    Natafuta noah hapa Dar

    Kwa mwenye gari tajwa hapo juu anauza,iwe kwenye hali nzuri,tuwasiliane budget yangu ni 5m
  7. NYAMALAWA

    Nauza HTC desire A8181

    Nauza simu tajwa hapo juu,ipo katika hali Nzuri na imetumika miez 5 tu
  8. NYAMALAWA

    Waliooa na kinachoitwa mtindi wa maziwa

    Katika uchunguzi wangu nimegundua asilimia kubwa ya wanaume waliooa hupendelea kunywa mtindi wa maziwa ,na mara nyingi hua ni baada ya chakula cha jioni. Sasa naomba nifahamishwe kazi ya ule MTINDI kwasabu na mimi nitaingia huko ndoani mapema sana mwaka huu
  9. NYAMALAWA

    Mwenye certificate au diploma ya marketing

    Tunahitaji mtu mwenye sifa tajwa hapo juu kwajili ya kazi, Awe muaminifu Mchapakazi Mwenye kufanya kazi bila kusimamiwa Umri kuanzia miaka 18-24 Awe mkazi wa dar es salaam Anaekidhi vigezo hvyo atume cv yake hapa dmgaya1@gmail.com
  10. NYAMALAWA

    Sabuni ,sabuni, sabuni

    Tunasambaza sabuni za maji kwa ajili ya kufanyia usafi kama: ~kuoshea vyombo ~kufulia ~kudekia pia tunauza afro shampoo kwa wenye saloon za kike na kiume na kwa mtu mmojammoja pia, weka oda yako uletewe hadi ulipo zipo ktk vifungashio vya lita 1 na lita5 na bei zetu ni nafuu sana...
  11. NYAMALAWA

    Kwa wanaojua,naomba msaada

    Wakuu habari zenu.naomba kuuliza, hivi ktk ofisi kama kuna mtu kaenda likizo halafu yale majukumu yake akapewa mtu mwinginewe ambaye nae ana majukumu yake,then hua kunakua na posho yyte ktokana na kufanya majukum ya mtu mwingine?
  12. NYAMALAWA

    New flat screens 4 sale

    Ni brand ya bruhm from germany, eled tv fhd nch 32 tu ina king'amuz ndani ina hdmi port ina usb pot 2year warranty fixed price 615,000/= serious buyers contact me 0714918816
  13. NYAMALAWA

    Msaada tafadhali kuhusu wif networks

    Kuna kipindi hapa ofisini nilikua naunganisha wireless network ya kampuni kwenye ka android kangu asa wakagundua kama natumia sijui walifanyeje manake sikuiz nikiunganisha inagoma inaandka disconected then scanning baada ya hapo hamna Kitu.tafadhali anaejua kvip naezafaudu hii intanet anipe maujanja
  14. NYAMALAWA

    Natafuta chumba-Tabata kisiwani/Mwananchi

    Kiwe kikubwa,maji yawepo,umeme,ulinzi wa kutosha.mwenye taarifa ani pm
  15. NYAMALAWA

    Htc desire for sale

    Imetumika kdogo sana. Android version Kwa maelezo pga 0762091812
  16. NYAMALAWA

    Pikipiki za india zilizotumika

    Habari zenu wakuu,natafuta pikipiki zile zisizokua na gia(used from india) ambayo ipo kwenye hali nzuri 0762 091812
  17. NYAMALAWA

    Mwenye kituo cha mafuta au nafasi ya wazi dar

    HABARI ZENYU WANA JF.Mwenye kituo cha Mafuta ambacho hakina CAR WASH kwa hapa dar naomba tuwasiliane 0714918816/0762091812.Natanguliza shukrani
  18. NYAMALAWA

    Till namba ya m-pesa inauzwa!!!!/ line ya kufanyia kazi ya mpesa

    Anayehitaji tuwasiliane hapa 0714 918816/0762 091812
  19. NYAMALAWA

    Natafuta ofisi ya kuvolunteer!!

    Wadau naombeni msaada wa kupata sehem ya kujitolea(nna degree ya accounts).iwe hapa Dar es salaam.Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom