Search results

  1. M

    Siamini u-prof wa prof assey kwa hoja dhaifu aliyotoa.

    kwa kweli kama kuwa prof kwa tanzania ndo hivi hatutafika,nimemsikiliza prof assey akisema tume ya rasimu ya katiba ilichukua maoni ya watu ambao umri wao ni chini ya miaaka 17 na hivyo mawazo yao siyo halali kwani bado ni watoto.mimi nafikiri tume ilipemwa standing orders iliyowaguide kukusanya...
  2. M

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    i dont have to waste my time talking with poor ccms,stupid
  3. M

    Diwani CHADEMA kufikiswa mahakamani

    ww abakorakamo huna akili kama chama chako cha chukua chako mapema,-------- mkubwa.
  4. M

    Ujumbe wa picha kwa ajili ya sitta na jk kutoka kwa wananchi wa mwanza

    jk ni dhaifu na ni mzigo mkubwa sana kwa watanzania.
  5. M

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Ni mara kadhaa nimejaribu kutafakari hoja anazotoa ndg Lema,anahoja zenye msingi na maslahi kwa taifa na watanzania kwa ujumla.Miaaka kadhaa nyuma nakumbuka kikwete aliitwa chaguo la mungu,kumbe haikuwa sahii hata kidogo na nina wasiwasi mkubwa kwamba hata mungu anaweza kumlaani aliyemwanzishia...
  6. M

    Diwani wa CHADEMA Nanyaro azipiga ngumi kwenye baraza la madiwani-jiji la Arusha

    na wewe zile ulizokula na mke wako je,huyu jamaa vp? kila comment anayotoa huwa haina miguu wala kichwa,ningekuwa karibu na wewe ungenitambua wewe.
  7. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    patick qoroo wa karatu je?
  8. M

    Yuko wapi Salome Daudi Mwambu

    Hivi jamani naomba mnisaidie,watu wa iramba mashariki wanauliza mbona hawamskii na wala hawaoni mchango wa mbunge wao mama mwambu zaidi ya kumwona akisinzia bungeni kupitia televisions. Wanasema kwakweli people are tired of here na wanasubiri 2015 wamtendee haki kijana wao mwenye uwezo mzuri na...
  9. M

    Operesheni tokomeza CCM bado inaendelea Hanang

    Ngugi wa thiongo once said "the strongest man is the one who stands in his own feet" and this is what is happening to chadema-i love you my only party. :tinfoil3:
  10. M

    Dr. Slaa Apokewa Kifalme Nchini Marekani !

    Ni ukweli usiopingika kwa wapenda maendeleo kwamba chadema ni chama pekee chenye kuwanyima usingizi magamba kwani magamba hawana uzoefu wa kupatiwa upinzani mkali kama inavofanya chadema.Massm wanafanya kila wanaloweza kuhakikisha kwamba wanaichafua chadema kupitia gaidi namba moja tz,lakini...
  11. M

    Hali ya elimu katika jimbo la Iramba Magharibi

    Ni kwaeli WANYIRAMBA ni watani wetu sisi wambulu ila Mwigulu Lameck Nchemba (mb) na Salome Daudi Mwambu (mb) [iramba magharibi na mashariki] hawana hadhi ya kuwa watani wetu kwani wananuka damu na si wanadamu wa kawaida kwani ni washirikina wa ajabu sana,nawasihi watani zangu wasirudie makosa...
  12. M

    Jangwani: Lissu amenisikitisha!

    kakojoe ulale,huna jipya zaidi ya majungu kama mwanamke wa lini polisi.
  13. M

    Ushauri: Hotuba za Mbowe, Lissu, Nape na Mtatiro kwenye Majukwaa mbalimbali hasa ya kisiasa

    kachukue chako lumumba,si ndo mnavofanya?mnatumia kodi zetu vibaya once you write against opposition then you hava 10000 hapo lumumba kwaherini magamba.
  14. M

    Maandamano ya Kesho tarehe 21/09/2013 yako palepale

    Mwema is nothing,what kind of intelligence is he talking about,madawa ya kulevya kila cku wizi kila cku,wahamiaji haramu-ameshindwa but people offering civil "intelligence" shame upon you hivi anastaafu lini huyu jamaa?
  15. M

    Salamu kwa Juma Nkamia: Uchaguzi wa Serikali ya Kijiji CCM yapigwa mweleka na CHADEMA

    nkamia.tengire kai,utavuta sana SM au hata ukavute embassy warangi sasa tumebadilika.
  16. M

    Vijana wa Monduli wapanga kwenda kumuomba mh Izaack Kadogoo awe mrithi wa Lowassa

    KWELI jf ni mtandao mzuri sana, leo nimegundua kwa mara ya kwanza kuwa ndugu yangu kanusu ni mccm, pole sana ndugu yangu kanusu, lakini mbona hujaniambia? nitakuwa nakuogopa kama ukoma sasa.
  17. M

    Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

    ahsante bro,aluta continua maccm eg machemba na mannape sijui wataishi kwenye jamii gani Chadema tukichukua ikulu OH?// GOD:help: US.
  18. M

    Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

    ahsante sana mwalimu mtela mwapamba,duce ulikuwa mshamba sana ila baada ya kukutana nchemba ukawa mshamba zaidi wa siasa za ccm
  19. M

    Mbunge na diwani waingia matatani

    sawa,umenena
Back
Top Bottom