Search results

  1. M

    Nauza cm Blackberry Z10

    Habari za jion wandugu nauza cm blackberry Z 10 ipo ktk hali nzuri bei 250000
  2. M

    nauza king'amuzi cha dstv bei poa

    Habari,kwa anayehitaji king'amuzi cha Dstv kipo poa nimekitumia miezi 2 tu bei 80000 nipo dar 0756386179
  3. M

    Nauza simu blackberry z10

    Nauza simu blackberry z10 kama kuna mtu anahitaji ipo katka hali nzuri sana bei 300,000 punguzo lipo kwa anayetaka. Tuwasiliane kwa 0756386179 picha Whatsapp nitamtumia.napatikana mbezi beach makonde
  4. M

    Nauza king'amuzi cha DSTV bei poa

    Ok nipo dar mbezi beach
  5. M

    Nauza king'amuzi cha DSTV bei poa

    Ndio kinarekodi ndugu na bei haipungui kabisa
  6. M

    Nauza king'amuzi cha DSTV bei poa

    Kwa anayehitaji king'amuzi cha dstv bado kipya nimekitumia kama mwezi1 bei 80000
  7. M

    Microwave inauzwa

    Weka picha na namba ya cm
  8. M

    Natafuta flat screen 18

    Kaka nimeteleza kidogo kwenye ku type ni tv flat screen
  9. M

    Natafuta flat screen 18

    Habari natafuta flat scree ndogo mwenye nayo anicheki kwa 0756386179
  10. M

    Nahitaji pikipiki kubwa!

    Mkuu mi ninayo XLR 250 siitumiagi ni na muda sasa kama utahitaji tunaweza kuongea ila lazima itahitaji matengenezo kiasi mm nipo Dar ila kwa sasa nipo nje ya nchi mpaka mwezi ujao nitakuwa Tz kama utakuwa hujaipata tuwasiliane kwa no 0756386179 bei tutaelewana tu
  11. M

    India nchi yenye miji michafu kuliko yote duniani

    pamoja na baadhi ya naeneo ni machafu lakin huwezi linganisha na hapo kwetu TZ india wapo juu hata pesa yao inathamani kuliko yetu pia hata barabara zao nyingi ni Flyover wametuzidi vitu vingi tu bwana mm nipo chennai kwa sasa ni pakawaida tu ila huwezi linganisha na hapo kwetu dar
  12. M

    Kwa aliyesikiliza bajeti:

    Habari wana jamii naomba msaada kwa aliyesikiliza bajeti je? Roadlicence za magari zimefutwa? Samahani nipo nje ya nchi sikuweza kufuatilia msaada plz kwa anayefaham
  13. M

    Wizara ya Afya: Taarifa kwa umma kuhusu ugonjwa wa homa ya Dengue

    Fungua Google andika Papaya leaf soma hayo majani yanatibu magonjwa mengi pia huo ugonjwa yanatibu pamoja na caancer
  14. M

    Wizara ya Afya: Taarifa kwa umma kuhusu ugonjwa wa homa ya Dengue

    Fungua Google andika Papaya leaf soma utapata maelezo hayo majani yanatibu magonjwa mengi ukiwemo huo ungonjwa hata mtu mwenye cancer unatibu pia
  15. M

    King'amuzi

    Asante mkuu kwa ushauri nitafanya hivyo thanks
  16. M

    King'amuzi

    habari wana jamii samahani naomba kuuliza kwa anayefahamu kuwa king'amizi gani ni kizuri kati ya ZUKU na DSTV nahitaji ninunue au kama kuna vingine ambavyo vi vizuri plz naombeni msaada wenu
  17. M

    King'amuzi

    Habari wana jamii nina hitaji kununua king'amuzi sasa naomba ushauri wenu ni king'amuzi gani ni kizuri kati ya ZUKU na DSTV plz kwa anayefahamu aniasidie
  18. M

    Msaada pleas

    Habari wanajamii nina tatizo kwenye uume wangu kunakuwa na maumivu kwa mbali hasa karibia na tundu la kutolea mkojo je?inaweza kuwa tatizo gan kwa anayefahamu anisaidie plz tatizo limeaanza jana
  19. M

    Average penis size inayopendwa zaid hii hapa

    Sawa kabisa asante kwa kutufahamisha
  20. M

    Kifo ni nooooma!!!!!!

    Kweli jamani kifo si mchezo angalia
Back
Top Bottom