Search results

  1. Nairobifly

    Waziri Ndumbaro: Wamasai waishio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa Ngorongoro

    Makabila ya asili kabisa Tanzania ni chache kwa mujibu wa historia, kauli kama za Ndumbaro na zingine zenye mrengo wa ukabila za kukemewa kwa nguvu zote, siyo njema kabisa kwa ustawi wa Taifa Letu pendwa.
  2. Nairobifly

    Mgogoro Hifadhi ya Ngorongoro kuna siri nzito. Nani wapo nyuma ya Wamasai?

    Ni kweli ndugu ila kueneza propaganda siyo njia sahihi ya kutatua changamoto.
  3. Nairobifly

    Mgogoro Hifadhi ya Ngorongoro kuna siri nzito. Nani wapo nyuma ya Wamasai?

    Umaarufu wa eneo hilo ni kuwa Hifadhi pekee yenye matumizi mseto (jamii na wanyamapori). Sifa hii imeifanya kuwa moja ya majabu ya Dunia. Hali hii imechagizwa na tamaduni, Mila na desturi ya kabila la kimasai ambao enzi na enzi wamekuwa rafiki na wanyamapori, sote ni mashahidi. Hoja ya...
  4. Nairobifly

    Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Jenga tabia ya kujifunza mambo, otherwise utabeba zigo kubwa la dhambi na laana.
  5. Nairobifly

    Ngorongoro hatarini kupoteza uhai na umaarufu wake kutokana na kukithiri kwa shughuli za binadamu

    Umefikiria sana, nchi hii tukipata watu wachache kama wewe tutasonga mbele. Kwa hii umebarikiwa.
  6. Nairobifly

    Hatari ya kupotea hifadhi ya Ngorongoro

    Idadi ya wamasai na mifugo ni hoja kwenu. Mbona hamsemi loji na hoteli za kifahari walizojaza wahifadhi ukingo wa crater na hata kwenye mapito ya wanyamapori kwa maslahi yao? Hamsemi matumizi makubwa ya maji mpaka baadhi ya Misitu imekauka kukosa maji kisa mahoteli, hamsemi kuhusu idadi kubwa ya...
  7. Nairobifly

    Hatari ya kupotea hifadhi ya Ngorongoro

    Leta matokeo ya tafiti hapa kuonyesha Ardhi ya Ngorongoro umezidiwa na idadi ya watu na mifugo (carrying capacity), tuache kuwa bias watanzania kama tunataka kutatua matatizo yetu. Mbona husemi idadi ya wanyamapori kuongezeka? Uongozi wa Hifadhi walipaswa kuona mbali kuhusu ongezoko la mifugo...
  8. Nairobifly

    Hatari ya kupotea hifadhi ya Ngorongoro

    Umaarifu wa Hifadhi hiyo ni kwa sababu ya mfumo wa maisha Jumuishi (Wanyamapori na Jamii). Ukiondoa jamii pale, maana yake umeiondolea sifa Hifadhi yake ya multiple Land na umaarufu. Haitakuwa tofauti na Hifadhi ya Manyara na Tarangire. Haitakuwa tena moja ya maajabu ya Dunia. Niliwahi kuona...
  9. Nairobifly

    Ngorongoro hatarini kupoteza uhai na umaarufu wake kutokana na kukithiri kwa shughuli za binadamu

    Umaarifu wa Hifadhi hiyo ni kwa sababu ya mfumo wa maisha Jumuishi (Wanyamapori na Jamii). Ukiondoa jamii pale, maana yake umeiondolea sifa Hifadhi yake ya multiple Land na umaarufu. Haitakuwa tofauti na Hifadhi ya Manyara na Tarangire. Haitakuwa tena moja ya maajabu ya Dunia. Niliwahi kuona...
  10. Nairobifly

    Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Umaarifu wa Hifadhi hiyo ni kwa sababu ya mfumo wa maisha Jumuishi (Wanyamapori na Jamii). Ukiondoa jamii pale, maana yake umeiondolea sifa Hifadhi yake ya multiple Land na umaarufu. Haitakuwa tofauti na Hifadhi ya Manyara na Tarangire. Haitakuwa tena moja ya maajabu ya Dunia. Niliwahi kuona...
  11. Nairobifly

    Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Kwa Katiba na tume ya uchaguzi wa namna hii hata siku moja tusitegemee uchaguzi huru na wa haki. Na tatizo vyama vyetu vya upinzani hawana hata mbinu moja dhabiti ya kukabiliana na madhila haya. Tutabaki kulialia sana na ccm itaendelea kuongoza kwa mabavu.
  12. Nairobifly

    Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

    Hongera sana, ufafanuzi mzuri na ukweli ndiyo huo 100%, unafahamu zaidi haya uliyoyaandika, shida tu watanzania km vile tumelogwa, upole, njaa na uoga uliopitiliza. Unajua tatizo liko wapi unabaki kulalamika bila kuchukua hatua. Anyway pengine kuna siku malaika atawashukia, mtajitambua. Anyway...
  13. Nairobifly

    Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

    Sawa mtz halisi, mwambie basi baba yako aachie mitandao ya kijamii, si ameshashinda 100% au anaogopa nini tena
  14. Nairobifly

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Siyo malofa tuu, hawajitambui na njaa ya kujipendekeza imewaathiri hadi ubongo
  15. Nairobifly

    Uchaguzi ni upotevu tu wa muda na pesa usio na msingi

    Hoja ya msingi sana, shida vyama vyetu vyingi vya upinzani waganga njaa, nilifikiri wangegomea uchaguzi hadi katiba mpya na tume huru ya uchaguzi zipatikane. Tunapotezewa muda na rasilimali.
  16. Nairobifly

    Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Hii ya kuzima mitandao ya kijamii ni aibu kubwa kwa taifa letu.
  17. Nairobifly

    Dkt. Bashiru: Ole wake Mwana-CCM atakayetumia upumbavu wa wapumbavu unaoendelea hivi sasa ili atafute ‘kick’, tutapambana naye

    Ingenoga na kupendaza kama ungetuwekea video au sauti, tuendelee kukusanya kuni.
Back
Top Bottom