Search results

  1. N

    Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

    Mimi nafikiri kuwepo na changes za kiungozi katika chama cha CHADEMA ili kiweze kuimarika na kwenda mbele. Nafikiri kungekuwepo na switching ya Katibu na Mwenyekiti, mimi naona Dr. Slaa akiwa mwenyekiti na Mbowe akachukua ukatibu, mambo yatasonga, maana kumeishakuwa na dalili ya matumizi mabaya...
  2. N

    Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

    Binafsi, ninafikiri Mpendazoe amefanya jambo la maana ambalo ni vigumu kuufikia uamuzi wa namna hiyo kulingana na kwamba unapoteza mafao yako, na cheo chako kwa kukataa kushirikiana na watafunaji nchi. Sidhani kama anakwenda kuwa nyuma kimaisha eti kwasababu kaacha ubunge, ni mtu ambaye...
  3. N

    CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

    Nilifikiria tu kwamba tujadili yale yalijadiliwa na hiyo NEC hapo Ikulu kuliko kupoteza muda wa kujadili kwamba CCM imefanya makosa kufanyia hicho kikao hapo Ikulu. Jamani sikilizeni; Kuna protocol za raisi na ofcourse za chama tawala. Na hasa kwa nchi yetu ambapo CCM mwenyekit wake ndio raisi...
  4. N

    Tume ya Mkandara yawachanganya mawaziri!

    Kwanza mtu mwenyewe anayefanya kazi hiyo ya uchunguzi wa mawaziri tena wa siri eti ni"mkandara" wote tunajua mkandara ni mshikaji wa kikwete, vile vile mkandara ana ushikaji fulani na mawaziri wengi. Hivyo sidhani kama report atakayotoa either ya kumlinda au kumlima waziri fulani hata kama ina...
  5. N

    BoT Saga Unfolding: Ballali ni Kafara

    Wan JF. Msipoamini habari nilizoandika kuhusu poision aliopewa huyu bwana balali hiyo ni shauri yenu. Lakini ukweli uko pale pale na ndio hicho kilichotokea.Aliyenipa hizi habari ni mwanafamilia wa Balali na unajua tena hawezi wenda indeep more that that maana naye hajui kama mimi nilikuwa...
  6. N

    BoT Saga Unfolding: Ballali ni Kafara

    Habari za weekend wana JF. Habari za kuaminika kutokana na mtu ambaye yuko karibu na balali na anaishi hapa US zinasema kuwa mzee huyo alipewa sumu huko Tanzania. Pmoja na utata uliopo juu ya ugonjwa wake ambayo ni kweli anaweza kuwa amukwa ugonjwa mkuu, lakini kwa hali hasa iliyomleta hosptali...
  7. N

    BoT Saga Unfolding: Ballali ni Kafara

    Habari za weekend wana JF. Habari za kuaminika kutokana na mtu ambaye yuko karibu na balali na anaishi hapa US zinasema kuwa mzee huyo alipewa sumu huko Tanzania. Pmoja na utata uliopo juu ya ugonjwa wake ambayo ni kweli anaweza kuwa amukwa ugonjwa mkuu, lakini kwa hali hasa iliyomleta hosptali...
  8. N

    Zitto Vs Spika

    Ndugu Bubu~ Nafikiri una data nyingi lakini naomba ziambatane na topic zinazozungumzwa. Mra nyingi ninakuwa na imani na infor zako, maana nyingi zina fact. Lakini hii ya kumtetea Zitto kila kukicha nafikiri tupunguzer speed. Zitto naye ni mtu kama wewe hivyo kuna mahali atateleza na kuna mahali...
  9. N

    Zitto Vs Spika

    Vitu vingine mnarudishsa mijadala nyuma. Ebu liachceni hili suala lijadiliwe huko bungeni tusikie mwisho wake. Zitto wote tunampenda lakini hatuwezi kuwa "yes" people kwa kila atakachofanya. Hii ni kumpa big head huyu kijana. Kuna mazuri mengi anayafanya lakini yasitupe kiburi sana, ebu tusikie...
  10. N

    US Election Coverage 2008

    Mchuano ulikuwa mzito. kwa upande wangu bado Obama ni tishio kwa Clinton. Lets next...... Edward kwa nini anaharibu nguvu zake!!!!angeishia tu hapa au akaungana na Obama kwenye campaign bus. Lakini Clinton wacha ashinde maana jana chozi lilimtoka kwa hiyo nafikiri wazawa wamelifikiria hilo.
  11. N

    Marais wastaafu wa Africa watua Kenya - Mkapa yumo

    Lakini hata kama Mkapa amelitia taifa hasara lakini bado alimaintain status ya amani. Kwa hilo ni bora tumuache na tumheshimu aliendeleze Kenya. Ufisadi kwa vurugu za kenya unasamehewa kidogo. Jamaa BM alikabishi nchi ikiwa na amani na wacha atoe some kwa majirani as long as asitoe some la ufisadi;
  12. N

    Marais wastaafu wa Africa watua Kenya - Mkapa yumo

    Hiyo speech ya Mzee Bn Mkapa sijaiona,......Mmtu wa pwani kama unaweza ukaipost hapa nitafurahi sana.
  13. N

    Kibaki ataja makamu wake na baraza la mawaziri.

    ni kweli mkuu, nafikiri huwa siendi mara kwa mara kwenye thread ya wakenya..lakini kwa kupitia ushauri wako ni kweli nimeikuta huko.
  14. N

    Kibaki ataja makamu wake na baraza la mawaziri.

    Huyu Mzee Kibaki...mbona kila kitu anakwenda kasi kasi!!!!!!!!? Naona Odinga sasa atapata njia safi ya kumkandamiza....kwa sababu yeye keshaanza kuunda bara la mawaziri wakati wataalamu wa mabo ya siasa wamemshauri asubiri mpaka suluhu ipatikane. Jamani Mkikuyu mbishi......huenda mambo yakawa...
  15. N

    Marais wastaafu wa Africa watua Kenya - Mkapa yumo

    Je hii itasaidia kuleta amani na kuwakutanisha hawa madumu wawili? Naona Kibaki anakuja kasi na anakwenda kinyume na ushauri unaotolewa na wanadiplomasia....sasa ebu tuone hawa maex-pres kama watasaidia kumshsuri mzee wa kikuyu kutuliza ball.
  16. N

    Kibaki ataja makamu wake na baraza la mawaziri.

    Kalonzo VP in Kibaki’s new Cabinet Published on January 9, 2008, 12:00 am By Peter Murigi ODM-Kenya leader Mr Stephen Kalonzo Musyoka is the Vice-President, in a new-look coalition government announced by President Kibaki. But violence broke out in Kisumu and some parts of Nairobi...
  17. N

    Marais wastaafu wa Africa watua Kenya - Mkapa yumo

    Ex-presidents visit victims Published on January 9, 2008, 12:00 am By Stephen Makabila Four former African Presidents visited displaced victims of post-election violence in Eldoret, on Tuesday, and appealed to Kenyans to stop fighting and unite to save the country from collapse. The...
  18. N

    Mauaji ya Kenya JK na CCM wanaweza kutoa tamko kwa Kibaki?

    Ndugu wana JF. Upande mwingine tuache tu kumsakama Kikwete kuhusu yanayoendelea sasa hivi kwa kutumia tu rungu tu la siasa zetu za ndani. Mkae mkijua kuwa kuna sheria za kimataifa na taifa baina ya nchi na nchi. Sisi tulipokuwa na tatizo la Zanzibar katika uchaguzi mlimsikia Kibaki au Mseveni...
  19. N

    Walioongopea Kamati Watakiona - Dr. Mwakyembe

    Mimi sioni hata haja kuwahoji mara ya pili wale watumishi wa serikali, maana hapo ni kuwapa chance ya ku-edit story zao. Akina Mwakyembe wangekaa na hizo taarifa za uongo walizopewa na watumishi, wakaendelea kusaka ukweli hali, ili pindi wanamalizia research yao, hawa watumishi wanabambwa vizuri...
  20. N

    JK kutohudhuria mkutano wa EU!

    Wanasema :Tunashehekea uhuru wa chi yetu" au "Tunashekea uhuru wa Tanzania au "Tanzania independent day" Hakuna sababu ya kulitumia jina la la zamani (tanganyika) eti kwasababu tulilpota uhuru tulikuwa bado hatujaungana
Back
Top Bottom