Mama yangu ni O-negative and she had us just fine.
Sana sana alikuwa na check up nyingi kuliko wamama wengine lakini mbali na hapo, alikuwa na uzazi wa kawaida kabisa. Wala usiwe na wasiwasi.
Uamuzi wa kwenda India umekuja baada ya mgonjwa kuhangaika kutoka hospitali moja hadi nyingine bila mafanikio. Pia ''specialists'' ambao amekuwa referred kwao mpaka sasa hawajatoa concrete diagnosis ya tatizo jambo ambalo linatia wasiwasi to say the least.
Kuhusu vipimo, ni kama nilivyoelezea...
Quick update: Kwa sasa mgonjwa anaendelea vizuri na hasikii maumivu yoyote. Yuko kwenye dozi ya vidonge vitakavyomsaidia kurudisha damu mwilini ili hata ikibidi kufanyiwa surgery wakati wowote, awe eligible.
Nitawasiliana na sokwe kupata maelezo zaidi na pia naendelea kuwasiliana na watu wa...
Nimeongea na mgonjwa na ameniambia kuwa amekuwa tested for h-pylori on three different occasions and each time given a heligo kit. Nimemwambia itabidi tuanze kufuatilia zaidi kujua kama tatizo alilonalo sasa hivi ni recurrence ya h-pylori na ataongea na daktari wake kujua zaidi. In the mean...
Asante sana kwa maelezo. Sidhani kama aliwahi kuchekiwa for bacterial infection (which now that you have mentioned, seems like a no brainer). Ngoja nimuulize daktari wake kuhusu hili halafu nitakutafuta.
Kwa kweli hata mgonjwa wangu, spicy foods have always been a big no no.
Kidonda kinachomsumbua zaidi kiko right below the cardiac sphincter muscle na hiki ndio kinachobleed from time to time. Hii pia inamsababishia acid reflux na kumpa shida kila anapokula.
Kati ya vipimo vyote, kwa kweli...
Nashukuru sana kwa maelezo yako ya kina. Katika moja ya tovuti za Apollo, wameonyesha kuwa pia wanatoa e-consultations kwa wagonjwa walioko mbali, nadhani hii itakuwa mwanzo mzuri katika maandalizi ya awali kabla ya safari ili mgonjwa atakapofika, hatasumbuliwa tena on background info...
Asante mkuu ila kuna kipindi alishauriwa amwone daktari mmoja (I'm spacing out on her name) ambaye aliambiwa anatibu kwa dawa za kienyeji na kwa kweli sikufurahishwa na outcome. Mgonjwa alitakiwa anywe gallons za hiyo dawa na badala ya kupata nafuu, kila anapomaliza vikombe viwili vitatu...
Napata tatizo kidogo kutokana na tovuti yao kutotoa maelezo zaidi kuhusu in patient facilities zao. Nadhani kwa mgonjwa ambaye kuna uwezekano mkubwa akafanyiwa operation, information kuhusu facilities ni muhimu sana. Ninaendelea kuperuzi lakini, I figured you would appreciate some feedback.
Nimegundua wana matawi mbalimbali ya Apollo na so far ni hili la Indraprastha ndio linaspecialize kwenye gastroenterology (there could be others, not sure yet). Nashukuru sana kwa suggestion, kidogo nimepata mahali pa kuanzia.
Naendelea kuomba suggestions zenu.
Background: Nina mgonjwa ambaye amekuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu. Katika kipindi chote hicho, aliweza kumanage vidonda hivyo kwa lishe bora na mazoezi ya kujenga mwili. Recently, vidonda vimeibuka na vinamsumbua sana. Alifanyiwa barium x-rays na baada ya kulocate problem...
Afadhali something slightly believable.
Maana kuna mtu hapo juu kasema tumbo likitanuka tu, mstari unakuja. Ina maana hata tumbo likiwa a little distended baada ya mlo kuna uwezekano wa hii kitu? Imebidi niache kazi ghafla nipige walau a couple crunches.
Na kwa logic hiyohiyo inamaana wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.