Search results

  1. M

    Sijui kama siku hizi zipo hizi

    Kulala mchana Kugeuza tshirt eti ndo usela
  2. M

    Wanaume BANA

    Madame usiulize anapata faida gani!! kama ukitaka jua anapata faida siku akija shem akitaka kukushika hapo mkataze uone utata!!
  3. M

    Kuna Tofauti Gani Katika Hizi Picha Japokua Wote Wanaonekana Wanajenga

    [QUOTE=Unajenga huku umevaa suti na suti yenyewe ya kupewa,kaziii kweli kweli Tofauti kubwa kati ya picha hizi ni kwamba, hiyo picha ya chini ilipigwa ENZI ZILE AMBAZO VIONGOZI WOTE WALIKUWA WANAITWA NDUGU na hiyo picha ya juu imepigwa kipindi hiki ambacho kila kiongozi hadi wa Mbio za Mwenge...
  4. M

    Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    Mbona Mwal.Mtegetwa anawafundisha hawa jamaa mapindi ya Geoeraphy almost daily!!
  5. M

    Picha - Kikwete anapopunguza uchovu Mkutano CCM Dodoma

    Huyo ndo rais wa vijana so swagger za kizee weka pembeni!!
  6. M

    mozila in phone

    sim gani ya mkononi inaweza kusaport mozilla fire fox?????
  7. M

    Eti nyie wandugu humu JF ndo....

    eti jamani wandugu hapa ndo mahali pa kujitambulisha au nimekosea uchochoro???
Back
Top Bottom