Search results

  1. kiraia

    Kuna Uhusiano kati ya Nape Nnauye na Proffesor Mark Mwandosya?

    Kwa kweli nilivyotazama hii picha nikadhani Nape kazeeka ghafla ila nilivyoitazama kwa makini nikagundua ni profeesor. Nataka kujua kama hawa wana uhusiano wowote?
  2. kiraia

    Kl

  3. kiraia

    Tangazo la TiGo 4G Linadhalilisha

    Kuna tangazo la Tigo liko hewani kwa takribani week tatu sasa likitambulisha kasi ya huduma yao ya 4g. Hili tangazo kwa kweli linadhalilisha wenzetu wenye tatizo la kuongea sijui kitaalamu hili tatizo linaitwaje japo wengine wanaita kigugumizi Watu mlioko Marketing Tigo mmekosea sana kuna...
  4. kiraia

    TBC Acheni Hujuma

    Kwa wale mnaoangalia Bunge jioni hii Lema akichangia picha na sauti zina scratch kiasi kwamba humwelewi Ila alivyosimama Aden Rage mambo shwari kabisa. Hii ni aibu hata asiyeelewa ataona mnafanya hujuma kabisa.
  5. kiraia

    Kioo cha Jeep Grand Cherokee kinahitajika Haraka

    Hellow wana JF, Kuna Ndugu yangu anahitaji Kioo cha Mbele cha Jeep Grand Cherokee ya 2003, Chasis No 1J8G848S54Y109848. kama unajua sehemu kinaweza patikana please wasiliana nami
  6. kiraia

    Utaipata Kwa Laki Moja

    Utaipata kwa Laki... John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua...
  7. kiraia

    Kikwete kutinga Mahakamani?

    Raisi Jakaya Kikwete ametajwa kuwa mmoja wa mashahidi muhimu sana wa professa Costa Mahalu na ameitwa mahakami kwa ajili ya kutoa Ushahidi. Source mwanahalisi ya leo 4/05/2011
  8. kiraia

    Kauli ya Zitto kuhusu yaliyotokea Arusha

    Ndugu wana JF, Tangu Raia wema wa Arusha waanze kudai haki yao jana asubuhi na kupelekea viongozi kadhaa wa juu wa chama hicho kuswekwa ndani sijamsikia Zitto Kabwe akiongea chochote, je yuko nchini au bado anasheherekea sikuku za christmass na Mwaka mpya? ============== UPDATES: baada ya...
  9. kiraia

    Sijafungwa Kifungo cha Maisha

    Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi” Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya kwanza? “Sawa Honey ni jambo rahisi sana” akajibu bwana harusi. Sasa ni hivi…hizo sehemu zako za siri...
  10. kiraia

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    Wadau nimepokea email na nawasilisha kwenu kama nilivyopokea. Wapendwa, Salamu kwenu nyote na nashukuru kwa jinsi Jukwaa hili linavyojumuisha watu wakabadilishana mawazo juu ya mambo tofauti ya maisha. Napenda kuchukua nafasi hii, kwa niaba ya Vox Media kuwatangazia kwamba Jumamosi hii...
  11. kiraia

    Familia ya raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania

    Ndugu wana JF Kwa wale ambao wameshuhudia chaguzi za nchi mabalimbali, tumekuwa tukioneshwa familia za viongozi wa nchi husika ikiwemo watoto na pia wake zao kama yuko zaidi ya mmoja mfano Zuma wa S. Africa, barack Obama USA na wengineo. Je Familia ya Raisi wa JMT ina watoto wangapi? na pia...
  12. kiraia

    Elections 2010 Ni Matokeo ya Uchaguzi au Ni Mengi?

    Ndugu wana JF, kuhamishwa kwa Mkuu wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Godfrey Nzowa, kwenda ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Charles Mkumbo kwenda makao makuu na pia kuhamishwa kwa makamanda wa Shinyanga, Arusha, Morogoro na Kinondoni...
  13. kiraia

    Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

    Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la Mwanahalisi la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya kampeni huko Singida kuwa "Ni bora Dr Slaa kuwa raisi kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge" hii hofu ya...
  14. kiraia

    Elections 2010 Channel ten wamepigwa stop?

    CHanel ten walikuwa wanatuletea matokeom ya moja kwa moja toka pande zote za Tanzania, lakini naona ghafla wameacha na kuanza kutuonesha mambo ya ujenzi wa barabara kulikoni? au chichiem wameshawapiga stop?
  15. kiraia

    Elections 2010 Tunaomba tanesco wawe wazalendo tarehe 31/10/2010

    Kwa kipindi cha Nyuma kumekuwa na tetesi za Shirika la umeme Tanzania kukata umeme siku za uchaguzi hasa kipindi cha jioni wakati kura zikihesabiwa na kuwapa nafasi wale wasio na huruma na nchi yetu kutekeleza azma zao. Hivyo basi tunaomba uongozi wa TANESCO kuwa wazalendo mwaka huu na kuacha...
  16. kiraia

    Elections 2010 Ccm wamechakachua bendera ya taifa

    Ukiangalia jukwaa liloandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu JK Nyerere pale kigoma utaona mbele wametumia rangi ya Kijani na njano na nyuma ya Jukwaa wametumia zilisosalia hii Jamani si kuwahadaa wanachi?
  17. kiraia

    Naombeni msaada kuhusu risiti kwenye vituo vya polisi

    Ndugu zangu wanaJF nimewahi kushikwa mara mbili na Polisi wa usalama barabarani mara ya kwanza kwenye mataa ya Maktaba na mara ya pili katika kituo cha karume, Niliposhikwa mara ya Kwanza nilipelekwa kituo cha Sarrender Bridge nikalipishwa faini ya 20,000 nilipouliza risiti nikapewa kopy ya...
  18. kiraia

    Quality Plaza yaungua?

    Kuna habari zimetangazwa na Redio one kuwa Jengo la Quality Plaza (nyerere Road) linaungua, kwa wale waloko eneo la tukio tunaomba mtuhabarishe. Mod Naomba uihamishe hii baada ya 2 hours
Back
Top Bottom