Re post from Stephen Munga:
Majibu mazuri. Nilitaka kuandika juu ya jambo rahisi kwa lugha rahisi. Nadhani wanasiasa wanapenda sana kupata "to win public opinion". Sababu kubwa hasa ni kwa sababu hao ndio wapiga kura. Hupiga kura kulingana na uelewa wa mambo ulivyo.
Mambo yanayotokea...
1.0. Libya ni moja kati ya nchi wafadhili wa Tanzania ambapo, kama ilivyo wafadhili wengineimekuwa ikiipa nchi yetu misaada na mikopo yenye masharti nafuu. Serikali yetu imekuwa ikifanya taratibu mbalimbali kulipa madeni ya nchi wafadhili kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa...
Nimekisoma kitabu chake, mwandishi amefuata kanuni zote, ameitambua jamiiforums na Habibu Anga kama Reference au marejeo yake. Hizi zingine ni potojo za wivu tu.
BIOGRAPHY FOR YERICKO NYERERE
Yericko Yohanesy Nyerere was born on 04 April 1983 in the village of Maduma, Mufindi district, Iringa-Tanzania. Nyerere is the author of the ground breaking books "Strategy: The Road to Power" and “State and Economic Competitive Intelligence”. He is also a famed...
Jana 23/5/2018 kesi namba 188/2017 inayomkabili mfanyabiashara na kada wa Chadema Yericko Nyerere iliendelea kusikilizwa mbele ya Hakimu Mwambapa, upande wa Jamhuri ulileta mashahidi wawili ambao ni Inspekta Hamza na Assistant inspector Mboka.
Baada ya karani wa mahakama kuisoma kesi hiyo...
Katika ukurasa wa Yericko amelipoti kwamba:
"Leo nimekutana na kaka mkubwa kamanda wa Anga, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa Upinzani Bunge Mh Freeman Mbowe.
Tumezungumza mengi kwa mapana yake, lakini kubwa yakigusa mambo ya kiusalama, siasa na mengineyo... Mh Mwenyekiti ameunga...
Leo asubuhi kulikuwa na kipindi cha Tuongee asubuhi ambapo awali tulitangaziwa kuwa wageni watakuwa ni Yericko Nyerere kutoka Chadema na makada wa CCM ambao ni Patrobas Katambi, David Kafulila na Heri James...
Mpaka kipindi kinamalizika uwanja ulikuwa ni wa Yericko Nyerere tu kwanzi makada wa...
Kuna tofauti kati ya kukua kwa uchumi (Economic Growth) na Maendeleo ya kiuchumi (Economic Development).
Ukuaji Wa UCHUMI (Quantitative part) unamaanisha ukuaji na upanukaji Wa uzalishaji Wa bidhaa na au huduma za jamii ama kwa sababu ya kuongezeka kwa ubora Wa rasilimali (Elimu), wingi Wa...
______________________________________
"Historia ya siasa duniani haitengani na historia ya dini. Vitu hivi vimekuwa sambamba na vyenye mafaa kwa jamii yoyote ile duniani, lakini vikileta matatizo makubwa sana katika baadhi ya nchi duniani, matharani ubaguzi wa kiimani umeleta machafuko na...
Unaonyesha una chuki binafsi na mleta mada, uliyoaongea ni out of logic kabisa, unasema upo ughaibuni lakini unaongea kwa wivu kama upo manzese na buguruni...
Jenga hoja kulingana na hoja iliyopo.
TAMKO KWA WANAHABARI UVCCM MKOA WA GEITA.
23/01/2015
Ndugu wanahabari, kwa masikitiko makubwa tumetoa taarifa hii kutokana na hali ya mambo ndani ya chama chetu, Tunatumia fursa hii ili tuweze kuzungumzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.