Search results

  1. K

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Kama hayo ni kweli basi huyo jamaa no kiazi kweli kweli. Hii nchi ina vyama vingi na vyama vina haki ya kufanya shughuli zao za kisiasa. Hii ni dalili ya uwoga na kutokujiamini kwa hawa viongozi wa serikali hii. Huyo Majaliwa hana mamlaka ya kuzuia kazi za vyama vya siasa. Hana mamlaka hayo...
  2. K

    Mteule Umeya wa Jiji la Dar es salaam ni Diwani wa Vijimbweni

    Hahahaa huyu ndo Mwanaisha alopata div 4 form 4 peke take shule nzima!!?? Hahahaaa kila la kheri kaka na safari yako na kuelekea familia ya kiswahili.
  3. K

    Mteule Umeya wa Jiji la Dar es salaam ni Diwani wa Vijimbweni

    Hii selfie ya avator yako ndo imeniacha hoi kabisa
  4. K

    Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Mi nilishasema huyu mtumbua majibu na hii style yake lazima mwishoni ajitumbue na yeye. Kuna sehemu kadhaa alizopita alivurunda kwa maamuzi yake mwenyewe sasa sijui pakifikiwa huko atajitumbua au skip option itatumika. Nina uhakika 100% na nilichokiongea
  5. K

    Dr. Francis Michael, Dr. Tulia Ackson: Mmeonesha picha gani? Mmechafuka

    Tena aliukosa Uspika kamili kidogo sana. Otherwise ndiyo angekuwa spika leo yule dada. Nchi hii akiendelea kufukua bila shaka hata yeye mtumbua majipu ataishia kujitumbua, vinginevyo nauona mwisho wa aibu katika hizi sarakasi.
  6. K

    Abiria wa mabus ya Hajees na Mtei wakamatwa

    Siku hizi maandishi yako yapo kibwana mdogo na kishabikishabiki sana. Nimeanza kukudharau hata lile gazeti nilikuwa naliheshimu nimeacha kulinunua.
  7. K

    Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

    Mi nadhani hata wabunge na madiwani hatuwahitaji tena. Tumejaliwa rahis anayeweza kupanga na kupitisha bajeti yeye peke yake, sasa wengine hawa wa kazi gani tena kama siyo kuongeza tu gharama za mikopo ya magari na posho za kukaa. Kwanza rahis wetu haitaji kikao na mtu ili wagawane posho kwa...
  8. K

    Nani mwenye haki ya kudai fidia baina ya Baba Mdogo wa Mawazo na CHADEMA?

    We kimbwa cha kijani watu tupo kwenye msiba na majonzi ya kumpoteza mpendwa wetu Mawazo. Huu upopoma wako wa kuanzisha ka Uzi kwa maelekezo ya wauwaji SISIEM ili tu utuhamishe kutoka kwenye kuomboleza tuje kubishania huu uzuzu wako wa Lumumba umepotea. Damu ya Mawazo itadumu kudai haki...
  9. K

    Ukweli: Hela zilizookolewa ni "Hela Hewa"

    Sasa na wewe ndo umeandika nini hiki?? Mambo ya wahasibu tuachie wahasibu, Ulichoandika ni utoto tu wa kukariri misamiati ya kihasibu. Rais wenu hakuna alichookoa kwa sababu azina haina kitu basi.
  10. K

    Magufuli kama ni hivi, okoa mda tu

    Upo sawa kabisa Yani afanye kama alivyofanyaga TANROADS.
  11. K

    Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    We kimbwa cha kijani so ukampe huo ushahidi wako Mzee wa push up ili huyo unayemuita fisadi atiwe hatiani na mahakama ya MAFISADI. Huu upuuzi unaongea hapa hauna maana yoyote.
  12. K

    Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    Ndiyo maana nasema CCM in MAZUZU. Kwa hiyo adhabu ya fisadi in kujizuru uongozi eti???
  13. K

    Mgogoro Zanzibar na watuhumiwa wa makosa ya mtandaoni kuikosesha Tanzania Tril.1.2 za MCC

    Kwa hiyo habari ikiandikwa na gazeti LA UHURU na mwandishi awe Juma Nkamia ndo utaiamini eti????
  14. K

    Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    CCM uzuzu ni kipaji chenu namba moja siku hizi. Ya Chacha kama unaushahidi serikali yenu mbona haikamati MTU!!?? Ufisadi wa Lowassa mbona mnauimba tu hamumfikishi mahakamani!!?? Siku so nyingi mazuzu mtaanza kuilaumu CHADEMA kwa mgawo wa UMEME.
  15. K

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Vipi kadi ulirudisha ndugu. Mi kadi ilipoteaga ila bado ni UKAWA mwanzo mwisho. Huyu Lowassa sisi wengine sijui aliturogaje yani tumejikuta tunamkubaliiii.
  16. K

    Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    Kama ulihusika kumuua lazima ikukele. Ila hii hata mke wa AC Mawaza amefurahia.
  17. K

    Jackton Manyerere unadhalilisha tasnia ya habari

    Na sifa hizo siku hizi unazo so unaweza tu kubishana nao.
  18. K

    Baada ya CHADEMA Kuzuiwa na Polisi kuuaga mwili wa Mawazo Mwanza,Mkuu wa wilaya awazuia tena Geita

    Hizo mila ni pamoja na ibada ya mazishi. Ilitakiwa ifanyike Mwanza jana MBWA za kijani na POLICCM mkatanda jiji zima la mwaza kizuia ibada isifanyike. Wakaamua basi ibada ikafanyiwe huko Geita, cha ajabu nako MBWA ya kijani ya wilaya eti inazuia watu wasifanye ibada ya kumuaga mpendwa wao...
Back
Top Bottom