Search results

  1. Man Ngosha

    Ushauri wa kisheria kwa huyu rafiki yangu

    Habari ya kazi wana Jf, naombeni ushauri kuhusu suala ambalo linamkabili jamaa yangu, iko hivi; jamaa yangu ni mfanyakazi wa bank private, pale kazini kwao palitokea tatizo ambapo kuna mteja alikuja kulalamika kuwa account yake imetoa pesa kwa simbanking bila yeye kujua, walifuatilia ikabainika...
  2. Man Ngosha

    Ushauri kuhusu kurudia elimu ya sekondari

    Habari zenu wadau, Nina mdogo wangu ambaye alihitimu kidato cha nne mwaka 2011 na hakupata matokeo mazuri,alishauriwa kurudia masomo yake lakini haikuwezekana kutokana na sababu mbalimbali.Napenda kujua/kupata ushauri wa mambo yafuatayo:- 1. Kwa sasa,anaweza kuruhusiwa kurudia kidato...
  3. Man Ngosha

    Value Renention Fees ni wizi wa dhahiri wa Bodi ya Mikopo

    Habari ya asubuhi wadau, Kwa wale walionufaika na mikopo ya elimu ya juu, kuna wito umetolewa wa wanufaika kujitokeza ili kuanza kulipa mikopo yako. Kuna suala la Value retention fee ya 6% kwa mwaka tangu mwaka mkopo ulipotolewa hadi sasa na kuendelea hadi marejesho yatakapokamilika. Naomba...
  4. Man Ngosha

    Nimekata tamaa ya kumpata mwezi wa Maisha yangu

    Hellow wanajukwaa!! Mwenzenu naelekea kukata tamaa, kwani nimekuwa ktk harakati za kutafuta mwenza wa maisha kwa muda kiasi sasa. Niliweka malengo mwaka huu usipite bila kufanikisha jambo hili, lakini hadi sasa sioni mwelekeo. Nimekuwa...
  5. Man Ngosha

    Naomba kujua kuhusu Mkoa wa Kilimanjaro

    Habari wana JF !!! Nahitaji kujua kuhusu mkoa wa Kilimanjaro hasa Wilaya ya Moshi kwa sababu ninatarajia kuhamia huko kikazi!! Nahitaji kujua hali ya maisha ya pale, fursa za kujiendeleza kiuchumi kupitia ujasiriamali, Tabia za wenyeji wa eneo husika...
  6. Man Ngosha

    Kwanini mimi sipati wangu...!

    Habari zenu Wana JF , Mimi ni kijana wa kiume, kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta rafiki wa kike ambaye hapo baadae atakuwa mwenza wangu! Ninachoumia ni kwamba sifanikiwi pamoja na kumshirikisha Mungu pia, najiuliza Maswali mengi! Kama Mungu amenijaalia elimu, kazi na afya njema kwanini...
  7. Man Ngosha

    Natafuta mchumba mwalimu!

    Habari wana Jf, Mimi ni kijana wa kiume, Nina miaka 28, naishi Dodoma! kabila langu ni msukuma, nina elimu ya chuo Kikuu na pia nimeajiriwa! Natafuta mpenzi/ mchumba mwenye sifa zifuatazo; umri 21 - 25, awe MWALIMU ), awe anaishi au anatarajia kuishi Dodoma, awe mkiristo na mwenye hofu ya...
  8. Man Ngosha

    Nahitaji mchumba!!!!!!!

    Habari zenu wadau. Mimi ni kijana wa kiume,miaka 28 ninaishi Dodoma!Elimu yangu ni Degree,,dini yangu mkristo.kabila langu msukuma!Natafuta mchumba mwenye miaka 22 hadi 24.awe anaishi Dodoma pia.Mwenye nia ya dhati anitafute kwa namba 0689328536.
  9. Man Ngosha

    Naomba kujua jinsi ya kuomba nafasi za vyuo vya Ualimu

    Habari wadau, Naomba kwa anayefahamu namna ya kuapply nafasi za ualimu grade iii A, Natanguliza shukrani
  10. Man Ngosha

    Nahitaji rafiki mwalimu!!!

    Habari zenu wadau, Nahitaji kuwa na urafiki na mwalimu wa kike,itapendeza kama atakuwa Dodoma!Mi ni graduate,naishi hapa Dodoma!kwa aliye tayari anipm
  11. Man Ngosha

    Nampenda huyu dada,lakini ananikatisha tamaa!nifanyaje mie??

    Habari zenu wanaJF, Mie nimekuwa katika kutafuta mwenzi wa maisha muda mrefu,na kuna wakati nilikata tamaa baada ya kuwa kila ninayempa proposal yangu anadai yuko na mtu wake. Sasa,wiki mbili zilizopita nimekutana na mdada ambaye kiukweli ninampenda sana kwani ana sifa zote nitakazo...
  12. Man Ngosha

    Kila ninayempenda,ana mtu wake!!!

    Habari wana Jf, Mimi nimekuwa katika mchakato wa kutafuta mwenzi wa maisha wa maisha kwa muda mrefu na nikaweka malengo ya kwamba kabla ya kumalizika mwaka 2012 niwe nimeshampata mtarajiwa wangu,tatizo ninalokumbana nalo ni kuwa kila msichana ninayemwona na kuvutiwa naye,nikitoa...
  13. Man Ngosha

    Nahitaji mwenzi wa maisha!!!

    Habari wana Jf, Mi ni kijana wa kiume miaka 27,mkiristu,mrefu,naishi Dodoma!Nahitaji msichana ambaye atakuwa mpenz wangu wa moyo na baadae tutaishi wote na kujenga familia yenye furaha na amani.Umri wake uwe miaka 20 -23,mkiristu, mrefu wastani,asiwe mnene sana wala mwembamba sana,awe na...
  14. Man Ngosha

    Kila nimpendae yuko kwenye relationship!!!!!

    Habari wadau!!! Ama kweli wakati unahitaji kitu hakipatikani na wakati huitaji ndo kinapatikana kwa wingi!!!Mi nimekuwa single kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa,nimeamua niingie tena kwenye mahusiano mapya baada ya kutengana na girlfriend wangu wa awali,kuna binti nilitokea kumpenda...
  15. Man Ngosha

    Moyo unatafuta mwenzi!!!

    Habari zenu!! Naitwa John nipo Dodoma,natafuta mpenzi, 22 - 24yrs aliye serious na mahusiano na mwenye focus ya maisha ya baadae!!Elimu kuanzia diploma,awe mKristu,mrefu wastani!!Mimi nina miaka 26,mrefu,mkristu,elimu yangu degree!! Itakuwa vyema kama atakuwa Dodoma!!! Kwa aliye...
  16. Man Ngosha

    Ganzi ya kung'oa jino!!

    Habari wana Jf!! Nadhan mnakumbuka niliomba ushauri kuhusu tiba ya jino bila kung'oa,nawashukuru wote mlionipatia ushauri mwingi ikiwemo Root canal treatment na dawa nyinginezo!!niliamua kwenda kwa hospital kumuona doctor wa meno,mwanzoni nilipigwa xray ili kubaini kiini cha tatizo na...
  17. Man Ngosha

    Mjadala: Ni ipi dawa ya kutibu maumivu ya jino bila kung'oa?

    Habari zenu wana JF, Mimi ninasumbuliwa na maumivu ya jino kwa muda mrefu sasa,nimevulia kwa muda mrefu tatizo hili japo wengi wananishauri niende kwa doctor nikang'oe jino! Je, kuna dawa yeyote ya kutibu jino bila kung'oa?Saidia mimi,nateseka sana hasa wakati huu wa baridi...
  18. Man Ngosha

    PWC Assessment Test!!

    Habari wana jf, Jana nimepata email toka pwc inayohusu assessment test ambayo inatakiwa iwe completed on friday,nimepewa username na password!!So,nataka kujua hiyo assessment test inafanyika vipi na ikoje?kwa wale wazoefu tafadhari saidia Man Ngosha!!!!! Naomba...
  19. Man Ngosha

    Access bank interview

    Habari wadau wa Jf!! Nimetumiwa sms juu ya uwepo wa interview ya Accessbank itakayofanyika Msimbazi Centre Ijumaa saa 1:30 PM je ni kuna mwingine aliyepata ujumbe huu?nataka kuhakiki manake isije ikawa mchezo wa mtu manake ilishanitokea hapo awali!! Naomba kuwasilisha wadau!!
  20. Man Ngosha

    Natafuta mchumba!!

    Mimi naitwa Amos,nina miaka 26,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati na mwenye hofu ya Mungu,ambaye tutakuwa wapenzi na Baadae tutaingia katika ndoa!!awe mrefu wa kati,umri 22 - 24,elimu kuanzia diploma!elimu yangu ni degree!!Ningependa awe Dodoma kwa sababu mimi pia nipo Dom kwa sasa!!kwa...
Back
Top Bottom