Search results

  1. H

    Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

    kweli we domo zege tena zege haswa! acha utimbulo wewe demu mwnyw hapo kashakuzarau anakuona boya kuja kumtangazia huku unamvimbisha kichwa bure. ----- mtozeni huyo.....
  2. H

    Matokeo ya sensa: Tanzania ina watu 44,929,002!

    watanzania mnapenda ngono kweli yaani mnazaliana kama kuku wakati maisha magumu... ndo maana mi naamin zaidi ya asilimia 90 ya watz hamna akili ya maisha, akili yenu ipo kitandani tu kwenye ngono.
  3. H

    Mabingwa wa hesabu Chit-Chat nisaidieni hii

    Kuna umuhmu wa kufungua jukwaa la hisabati.
  4. H

    Naombeni mnisaidie jamani kwa hili.....

    Nilikua nauliza hivi, afisa upelelezi wa makosa ya jinai katika jeshi la polisi jina lake la cheo hiko kwa kifupi anaitwaje? ikiwezekana na kirefu chake hiko kwa kingereza. naomben mnisaidie
  5. H

    Jamani mapenzi yatanimaliza nisaidieni pls

    kabla cjakushauri hebu nambie ukweli huyo demu ni mzuri au baya?? Usiniambie ni wa kawaida.
  6. H

    Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

    duh! Ya leo kali.
  7. H

    i love u so much please understand me

    uckute izo picha ulizokuwa unam2mia kakuona we mbaya i mean una sura baya... Hebu kuwa muwazi sister muonekano wako ni mzuri au ni wa hovyo hovyo ili nkusaidie...
  8. H

    HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

    km anakwambia we mroho wa k mwambie akupe tigo lbd atakuelewa.
  9. H

    Kisa cha Mchungaji John Nelson Canning na ajuza wawili…!

    nimeshaisoma na kuimalza yote mkuu hiyo kesi ni full utata. Sasa cjui kesi zako ulizoandika nyuma ntazipata wapi coz mi nimejiunga na JF mwezi wa tano 2012 hlf napenda sana kufuatilia kesi km hizi za kwako.
  10. H

    Kisa cha Mchungaji John Nelson Canning na ajuza wawili…!

    asante mkuu na nlikuwa naomba untajie title ya kesi ya kisa cha mwanamke ziwani ili nayo niisearch coz iyo ckuisoma.
  11. H

    Kisa cha Mchungaji John Nelson Canning na ajuza wawili…!

    Keep it up braza kisa kinasisimua sana. Sasa kaka vp ile kesi ya 'Vicent na hukumu ya kunyongwa' aliyeuwa familia yake mwenyewe uliifuatilia mwisho wake km jamaa alinyongwa au la? Ktk kesi zako zote ile ndio niliyoipenda zaidi na ndio nliamini wamarekani wana akili ya upelelezi maana hadi...
  12. H

    Nimempa ujauzito mwanamke nisiyempenda!

    _________________________
  13. H

    Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

    we unaempenda charminglady una sura nzuri ww? Ucje ukawa unamsumbua dada wa watu waukwel hlf we mwenyewe ni kimeo....
  14. H

    Nimempa ujauzito mwanamke nisiyempenda!

    mi cha kukushauri ni kwamba ukome uzinzi cku nyngne ukiwa na hamu kapige nyeto co kuharbu maisha ya watoto wa wenzako pumbavu. Ushamtia mimba hlf unataka kumtelekeza hapo chukua mama na mtoto wake ukae nao uwalelee wote uclete ujinga wako. Jitu zima akili za kuazima hovyoo mi umeniboa kweli...
  15. H

    Nampenda sana, ila tabia inanishinda... Nisaidieni

    kumbe hiyo nayo ni bahati,nlkua cjajua ivyo.
  16. H

    Nampenda sana, ila tabia inanishinda... Nisaidieni

    thawa ntajitahidi kumuongelesha kiupendo ila navyomjua atahisi namsimanga hlf anaweza akanuna hapo hapo.... Duh! Huu km ni mtihani bac ni wa NECTA.
  17. H

    Nampenda sana, ila tabia inanishinda... Nisaidieni

    duh! Kwa iyo mi nridhike tu na hiyo tabia coz amezaliwa nayo au?
Back
Top Bottom