Search results

  1. B

    Viongozi wa Chadema walijuwa Mauaji ya Nyololo mapema

    ..upuuzi mwingine bwana,nyie ndo mlimdanganya mwandishi akajilipua,tokea lini bomu la machozi likasambaratisha mtu vile bwana,hiyo ni akili ya tope ya wafuasi wa chadomo
  2. B

    Zitto Naibu katibu Mkuu hata vikao vya chama anaadimika?

    ...zito yuko nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa,acha upuuzi wewe zitto yuko makini kukuzidi asilimia zote na chadema ni kiungo kiasi kwanba hawa unaowaona wanamuogopa mbaya
  3. B

    Are you intellingent? jibu swali hili!

    Mfanyakazi wa bank anapopiga picha pesa zetu
  4. B

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    ... Slaa kama underson cooper
  5. B

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    alipigwa na wahuni huyo sio serikali,ingekuwa sirikali hii ninayifahamu mimi tusingemuona huyu mtu
  6. B

    Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

    ...jack unachekesha sana,propaganda za siasa zinakuchanganya tulia na famila yako ili mradi unapata mlo wa mchana na usiku
  7. B

    Changia chochote kuokoa maisha ya doctor ulimboka

    ...let him die,yeye ameshindwa kutoa mchango wa huduma kwa wagonjwa mpaka wanakufa, wewe unatuwekea ujinga,wale waliompa kipondo wangeomba mchango wa kummalizia inshallah tungewachangia fasta..doctor hawazi fanya kazi bila nesi au driver wa kumpeleka job mbona hawawatetei wanajipendelea wao..let...
  8. B

    Matibabu ya maana na ya haraka ni kwa madkatari wenyewe tu!

    ...they are more than cockroach my friend
  9. B

    Tundu Lissu hukumtendea haki Pinda kumtaka ajiuzulu

    Bangi inawasumbua hawa wapinzani kama lissu wapuuzieni hawana maana
  10. B

    Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

    ....asikutishe bwana,hawa madakitari wanaojifanya wajanja ni wajinga sana wanajifikilia wao tu,waulize kama wanaweza fanya kazi bila nesi au mtu wa usingizi au driver wa kuwapeleka kazini,waache ubinafsi,wapo wengine ni majina tu kila akiingia theatre anatoka na maetrnal death,wengine wana vyeti...
  11. B

    Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015

    ....pumba zingine bwana utamlinganishaje lema na slaa wewe,lema hafai kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi
  12. B

    Flag Bearer wa urais CHADEMA 2015 ni Dr. Slaa!

    ..sio majeruhi ni marehemu mtarajiwa yule
  13. B

    Chadema kidedea uchaguzi UDSM

    ....acheni mambo ya kipuuzi mmepelekwa na wazazi shule kusoma sio siasa...wanafunzi wengine ni ******* sana
  14. B

    Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

    ...tutabaki na tanganyika yetu pendwa,achana na zanzinzibar ni kisiwa,mbona re-union bado wanaongozwa na ufaransa,tuwateme tu
  15. B

    Ungependa kitu gani kiwemo kwenye katiba mpya?

    ....kwa upande wangu ningependa kiwepo kipengele kinchohusu hawa NSSF wawe wanawakopesha wateja wao fedha zinazokatwa kila mwisho wa mwezi,hawafanyi hivyo kwa walala hoi wanawakopesha wabunge tu na watu maarufu, kipengere cha tume huru
  16. B

    Gazeti RAI lailipua CCM kuhusu njama dhidi ya CHADEMA.

    ....Tumeisha waambia acheni kupokea hao watu hawasikii wanaendelea kujivunia vua gamba vaa gwanda,hata yule mallya wa arusha mtamjua baadae kuwa ni mamluki...
  17. B

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Hongera ila msiwe mnawatukana majaji wanafuata sheria siku zote isonekane mnaposhinda ndo jaji katenda haki
  18. B

    Kwa haya CHADEMA mnakosea

    ..kizazi kipya, kuna watu wenye fikra potofu humu watakuita gamba,wakati unaelezea kitu kinachoonekana kwa wengi
  19. B

    Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni

    ...Kinachosemwa ni ukweli hii picha ni ya juzi tu wakati mbowe anaenda clouds,sasa namshangaa anayesema eti picha ni ya lini,watu wengine wanashabikia vyama bila kukiri na hii ndo itaua hivi vyama pamaoja na chadema kujipatia wanachama wengi lakini watapoteza kula kwa huu udanganyifu,tatizo lao...
  20. B

    Madiwani wa CHADEMA kata ya Kitangiri na Igoma wanyang'anywa kadi za uanachama

    ...chadema ni chama kibaya kuliko chochote maana anayesema ukweli kakosea,mbona mbowe aliuzia chama magari chakavu? zitto alipooji mkataka kumfukuza mkaona itakula kula kwenu,mfukuzeni zitto au chibuda muone chama chenu cha wachaga kitakaposambaratika
Back
Top Bottom