Search results

  1. chardams

    Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Mwambie hata DSTV Iko hoi bin taaban. Ilikuwa kidogo tu ifungwe
  2. chardams

    Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

    Kwani anashundwa Nini kuanza kutafuna hayo majumba aliyojenga? Kwa mtazami wangu huyo Mzee kastaaafu Hana kitu na pension kahonga. Full stop
  3. chardams

    Wenye uzoefu tusaidieni jinsi ya kukata tiketi ya ndege kwa bei nafuu

    Na wakati anatafuta tiketi mtandaoni asisachi Sachi mara nyingi maana hiyo nayo inapandisha
  4. chardams

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamaa anajivinia nuke[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. chardams

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Huwa niliona hizi picha machizi na huzuni vinautawala moyo wangu
  6. chardams

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Mbuzi hana changa, to kumfuga maana wenyewe hata wakati wa kiangazi wanna survive Sana. Mimi nina mpango wa kuanza ufugaji. Kama kuna chimbo la Bei nzuri nipe mtonyo
  7. chardams

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Vipi Bei iko je huko mashambani kwa sasa na upatikanaji wake?
  8. chardams

    Sababu za kutokupata ujauzito

    Si jsjya una umri gani ila kwa kifupi hiyo inaweza kuwa fibroids. Hili ni tatizo kubwa Sana kwa wanawake wengi na hakuna tiba ya hospitali inayoponya huu ugonjwa. Njia ya kumaliza hili tatizo kama utakuwa nalo ni operation ambayo inawezakukusababishia ugumba. Chanzo kikubwa cha fibroids ni...
  9. chardams

    #COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

    Yeye alisema kilichomkuta binamu yake. Wewe mbona kiazi hivyo. Unaeleweshwa unakuwa mbishi
  10. chardams

    #COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

    Hivi juzi tu UK wamesema mtu yeyote alie chanjwa Africa ana chulukiwa kama hajachanjwa akifika huko. [emoji23][emoji23]
  11. chardams

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Mwaga CV nikupe pa kuomba kazi
  12. chardams

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    We jamaa hivi Uko Arusha ama umesharudi Zenji?
  13. chardams

    Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

    Vipi ulifanikiwa kwenda Comoro? Mimi naelekea huko hivi karibuni
  14. chardams

    Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Udibidhe wewe uliza wanawake wakioko jirani t'yaki utapata majibu mwenyewe
  15. chardams

    Hivi katika umri gani mwanaume anakuwa hana aibu tena?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  16. chardams

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Imetengenezwa wiki ya ngapi, Mwaka gani?
  17. chardams

    Rais Samia umiza akili kuunda serikali yako mpya kabisa achana na hayo magenge

    Tayari kaisha wangusha we zunguka vijijini ndio utajua
Back
Top Bottom