Search results

  1. C

    January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

    Hicho kiburi anakipata wapi? Tatizo letu wa TZ huwa tunasahau shida mapema ndiyo maana mbali na mateso tunayopa ya kunyimwa huduma za msingi angali tukuwaona wachache wakivuna na kuneemeka na rasilimali za nchi hii, bado tumekuwa tunajisahau na kuridhika kirahisi ya vipande vya kanga, nusu mche...
  2. C

  3. C

    CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

    Ndugu ya Tanaganyikajeki, ZANZIBAR ni sehemu ndogo sana ambayo haiwezi kuwa na ugumu wa kuwabadilisha nawazo ikaiunga mkono CHADEMA. Mathalani wanatambua sana uwezo walionao CHADEMA na ndiyo maana kama utakumbuka uchaguzi mdogo wa ubunge mapema mwaka huu, CHADEMA walishika nafasi ya pili tena...
  4. C

    Chadema njooni mchukue kadi yenu

    Wewe hautakuwa mzima katika kufikiri. Kadi ya CHADEMA uluchukua mwenyewe hivyo unavyoita ije kuchukuliwa ni nani aje kuchukua? CHADEMA ni nani hata umwitie kadi? Nakusikitikia kama umo miongoni mwa wanaoendelea kuitakasa CCM na maovu yao. Kijana wa leo unaeendelea kupuuza harakati za kulikomboa...
  5. C

    Chupi yako unaanika wapi.................?

    Mie sianikicoz natumia disposable
  6. C

    Ruangwa

    Hivi Mr selerine upo kweli? Mbona tangu pale magereza resort sikusikii tena?
  7. C

    Ruangwa

    Nafasi zilishatoka kitambo na watu walishaitwa kazini. Kati ya watu 5 watano walioiwa, ni mmoja tu ameripoti kwan watu wanakasumba kuwa kusini hakufai kuishi.
  8. C

    Kuitwa Kazini NSSF

    Hi all? nimekuja kufanya mabadiliko kwenye hili. Nimebanwa sana na kazi za hapa na pale kutafuta kipato cha kuniwezesha kujikimu kwa kuwa ajira kwa vijna hapa Tz ni nipe nikupe. Wanao heri wale wenye wajomba, mashangazi, baba wakubwa na wadogo na hali kadhalika wazazi au kaka na dada...
Back
Top Bottom