Search results

  1. T

    Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

    Hii uliyotoa ni jibu muafaka kwa wasiotutakia mema.Ni ajabu katika kipindi hiki vita ya kupigania katiba mpya,ambayo itarejesha mustakhabali wa nchi kwa Watanzania wenyewe na Viongozi waliojitolea mda wao na maisha yao na hawajaonyesha uoga wowote katika suala hilo nyeti. Mtu anajitokeza...
  2. T

    Huyu ndo mtoto aliyeolewa akiwa na miaka nane tu: Rasimu ya Katiba imebainisha umri wa mtoto?

    Nashukuru sana Mkuu Joyce kwa kazi unayoifanya kwa ajili ya jamii ya kitanzania, huu ni mda mwafaka kuishirikisha jamii nzima ya Kitanzania kuja na definition ya mtoto awe na umri gani.Inasikitisha kuona bado tatizo la ukosefu wa elimu Tanzania kuna baadhi ya wenzetu hawajafanikiwa...
  3. T

    Siasa za Kugawa Mikoa na Wilaya Tanzania!

    Hizo huduma unazosema zinaweza kuwepo sehemu husika kwa kufuata vigezo vya kiuchumi na urahisi wa kuwafikia walengwa. Vilevile ukumbuke kuna mawasiliano ya kisasa ya kutumia Email, scanner n.k vyote hivi ukijumlisha unaweza kupunguza gharama za kuendesha serikali kuliko mtindo huu wa kuongeza...
  4. T

    Arusha haikulengwa dini...

    Ndugu wanabodi hawa ni mapandikizi wa al -qaeda na hii is a new version of politic islam ambayo imeanzia Saudi-arabia kwa kusaidiwa na CIA wakati wa kupiga vita comminism ya soviet union. Sect hii inaitwa Wahab na wao itikadi yake ni ubepari wa kizamani Feudalism. Kwa sasa hivi sect hii...
  5. T

    CCM mchezo mnaoufanya ni hatari

    Nashauri sektretarieti mpya ya CCM imemshawishi Professor Boaz anafundisha Wahington University agombee nafasi ya Urais. Hawa waliojitokeza mapema kuutaka Urais wameonekana hawafai machoni pa Watanzania walio wengi na hii ndiyo njia pekee ya kukabiliana na upinzani mkali unaoonyeshwa na CHADEMA.
  6. T

    Maskini CHADEMA, Hiyo Ndiyo Siasa

    Hizo ndoto ndiyo zimesababisha kuingia kwa Muslim Brotherhood Egypt na Syria.Tawala za kijeshi za nchi hizi zilikandamiza Muslim Brotherhood kwa mda mrefu, wale jamaa wakaingia underground.Waarabu walipogundua kuwa adui wao mkubwa ni uoga wakaamua kuushinda uoga na sasa hivi munaona matokeo...
  7. T

    Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

    Hiyo tafasiri yako wale hawaongozi kidini kama unavyofikiri jina hilo la Muslim Brotherhood lisikusumbue.
  8. T

    Kuelekea 2015: Changamoto Kuu za CHADEMA ni nini?

    Ni vizuri CDM ikaandaa mfumo mzuri wa utendaji serikalini.Matumizi ya kiutawala yaangaliwe upya kwa kuzingatia rasilimali zilizopo na vipaumbele vya Taifa.Nina imani kabisa wakijipambanua kwenye eneo hili la gharama za uendeshaji wa Serikali na kuonyesha dira yao ya Uongozi itakayoongeza Tija ya...
  9. T

    Hakuna Ugumu wa kurudi Misri...

    Hujamwelewa mtoa mada ametumia lugha ya falsafa,msome vizuri.
  10. T

    Amani, Utulivu CCM, Vurugu, Machafuko, Chadema?

    Nakubaliana na bandiko la 9 kuhusu kutufanyia kazi tatizo la kimsingi la tija ndogo katika uzalishaji mali kukidhi mahitaji ya kiuchumi ya nchi.Utawala wa Mwalimu uliweka Azimio la Arusha kama hatua ya awali kukidhi mahitaji ya kiuchumi na kijamii.Hali hii ilisaidia kuwapa matumaini Wananchi juu...
  11. T

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Hali hii inasikitisha sana,uhai wa mtu ni kitu chenye thamani.Nasikitikia sana wategemezi wake kwa kumkosa kiongozi wa familia.Nafikiri ni kipindi hiki sisi watz tufanye tathimini ya mambo haya yanazidi kushamiri.Nafikiri mapungufu ya kikatiba nayo yanachangia sana mauaji ya holela ni kipindi...
  12. T

    The New Libya...

    Naitafuta thread ya the rise and fall of Gaddafi siipati
  13. T

    Kampuni ya uwekezaji NICOL ipo hai??

    Hii kampuni ilianzishwa kwa nia nzuri kabisa, tatizo uendeshaji wake ulikuwa na matatizo.Kampuni hii ilikuwa njia murua kabisa kushiriki kuendesha uchumi wa nchi kwa njia ya kununua hisa kwenye miradi mikubwa inayoendeshwa na wageni kama uchimbaji wa madini,mabenki,ujenzi wa vitega uchumi kwa...
  14. T

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    Utakumbukwa daima kwa msimamo wako dhidi ya udhalimu umekufa umesimama hujawahi kumpigia goti dhalimu yeyote. RIP mpiganaji David
  15. T

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    Mkuu umelenga penyewe,siasa ina mbinu nyingi sana hasa katika nchi zenye demokrasia changa.Ikumbukwe kuwa nchi yetu ndiyo imeingia kwenye siasa za ushindani,hivyo vitu vingi vinafanywa kwa majaribio.Katika hali kama hii,kuna wanasiasa wengine wanatumia mbinu za kificho na hila kuharibu wapinzani...
  16. T

    Toka Singida: Dr. Kitila Mkumbo apandishwa mahakamani rasmi...

    Ninachokiona hapa mtu yeyote makini kama Dr Kitila atatiwa matatizoni ili kumdhalilisha,lakini njia hii haisaidii makaburu walifanya hivi kwa viongozi wa kizalendo wakaaminiwa zaidi kwa wananchi.Hiki ni kipindi ambacho watawala wanajidanganya kumdhalilisha mpigania haki na kumwekea jinai...
  17. T

    TANZIA Bob Makani afariki dunia

    RIP Bob Makani Hakika huyu mtu alikuwa mzalendo wa nchi hii hakuruhusu kuisuta dhamira yake,alisimamia alichokiamini.Nakumbuka alikuja mwaka 1993 kutangaza chama Iringa akiongozana na waasisi wenzake Mzee Mtei,Marehemu Brown Ngwilelupi na Marehemu Mary kabigi.Alizungumzia sana kuhusu katiba...
  18. T

    Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

    Hapa jeshi la polisi limefanya kazi yake iliyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi.Nitafurahi zaidi wakifuatilia wale waliowanyonga wale vijana wanne.Wakipatikana wauaji hao tutazuia mauji ya kipuuzi kwenye jamii yetu na kuongeza confidence na uchumi wetu.
  19. T

    Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

    Ninachokiona mimi ni natokeo ya kushindwa kutoa muongozo wa namna ya kutengeneza fursa ya kufungua milango ya wananchi kufaidi juhudi zao za kuzalisha mali.Wananchi wa Zanzibar hawajapewa fursa yao ya fikra huru ya kujiendesha kwenye nyanja za siasa,uchumi na kijamii katika kuendesha maisha...
Back
Top Bottom