Search results

  1. G

    Natafuta walimu wenye vipaji vya ufundishaji morogoro

    Natafuta watu wenye uwezo mzuri wa kufundisha o level hasa masomo ya HISTORY ENGLISH KISWAHILI GEOGRAPHY CIVICS LITERATURE IN ENGLISH NA BIBLE KNOWLEDGE HATA KAMA NI FORM SIX LEAVER LAKINI UNA KIPAJI KARIBU. NAMBA ZANGU NI 0755555066.
  2. G

    Matumizi ya Nguvu kubwa ya Polisi na ukimya wa waandishi.

    Baada ya ripoti kutolewa kuhusiana na mauaji ya mwandishi Mwangosi yaliyofanywa na Jeshi la Polisi huko Iringa Watanzania tumejifunza nini ? Pamoja na hayo kwakuwa Mwangosi alikuwa mwandishi wa habari kifo chake kilipelekea wanaharakati wengi kupiga kelele na hatimaye tume kuundwa na ukweli...
Back
Top Bottom