Search results

  1. Mwazange

    Msaada tatizo la IPv6 kwenye Windows 7

    Za saa hizi wakuu. Yaani leo nimetoboa usiku kucha kutaka kujaribu kutatua tatizo la desktop yangu DELL inrun win7 home X32, lakini imeshindikana. Ishu ni kama ifuatavyo; Ghafla bin vuu, computer haishiki internet, ila inapatikana kwenye home-network. Nayapata makabrasha yote niliyo-share kwenye...
  2. Mwazange

    Kila Pahala ni Ulaji.

    KWAMBA kila mtu `hula' mahala pake pa kazi, hilo halikuwa geni, hususan ofisini kwetu. Tangu `mnene' wa kwanza, mpaka `kapuku' wa mwisho, kila mmoja huketi mkao wa kula kwenye `wigo' unaomkinga asionekana na `vishingo' wasiokawia kuweka `mikingamo' ya kujaza michanga kitumbua cha mtu. Ukitilia...
  3. Mwazange

    Kozi za UDSM

    Wakuu nimeiona hii kwa michuzi kwa wenyeji wa chuo hiki, vipi chuo kimeshawahi kufanya hivi vitu? Nimetuma email kuulizia maelekezo zaidi haijajibiwa bado. Naombeni ushauri.
  4. Mwazange

    PDF Editor

    Wakuu natafuta PDF Editor software chapchap, nimejaribu kuzungukazunguka, naonana na nitroPDF pekee, kama kuna mwenye nayo nyingine naomba msaada, au hata kama kuna mahali humuhumu ndani ipo, naomba mnielekeze ilipo then hii nyuzi inaweza kufungwa. Nipo pembeni hapa nasubiria..... Aksanteni....
  5. Mwazange

    PC Backup Software Needed

    Wakuu ninatafuta pc 'user friendly' backup software ambayo itakuwa inafanya regular PC backup kusave kwenye server kwenye small office ambayo itakuwa na kama computer 10 hivi. Kama nimemisi kitu nakaribisha maoni.....sio lazima ya bure.....hata za kulipia pia..... Nakaribisha ushauri...
  6. Mwazange

    New 7/7 Bombing Photo Contradicts Official Story

    Wakuu nimeiona hii hivyo nimeonelea niwaletee ili muone kama yasemwayo hapa ni ya kweli ama ni blah blah tu..... A new photo released on the fourth anniversary of the 7/7 attacks in London appears to contradict the government’s official story that Muslims with backpack bombs were responsible...
  7. Mwazange

    Second HD Installation Problem.....

    Wakulu kuna kitu hii imenikuta......Ninajaribu kuongeza HD kwenye mashine na kila nikiiboot napata error ifuatayo..."Drive 1 not found: serial ATA, SATA-1 strike F1 to continue, , F2 to rn the setup utility" Nimejaribu kila njia lakini naona inanizidi maarifa.....Msaaada tafadhali.... Aksanteni!!
  8. Mwazange

    Msaada wa tatizo la WinXP Error

    Wandugu nimekumbwa na hili tatizo leo. Kuna kitu nimefanya which I'm not certain sure ni nini, lakini kwa sasa napata error ifuatayo wakati wa ku-boot computer". A problem is preventing Windows from accurately checking the license for this computer. Error Code: 0x80004005" Nimejaribu kila...
  9. Mwazange

    Management Lessons!

    LESSON # 1 A man is getting into the shower just as his wife is finishing up her shower, when the doorbell rings. The wife quickly wraps herself in a towel and runs downstairs. When she opens the door, there stands Bob, the next-door neighbor. Before she says a word, Bob says, 'I'll...
  10. Mwazange

    Installing a Husband

    Dear Tech Support, Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and noticed a distinct slow down in overall system performance, particularly in the flower and jewelry applications, which operated flawlessly under Boyfriend 5.0 In addition, Husband 1.0 uninstalled many other...
  11. Mwazange

    Natafuta WebDesign Software

    Wazee nimerambazarambaza sana nikitafuta webdesign software lakini naona kizungumkuti tu, hujui ipi ni ipi. Naombeni ushauri ipi bomba iliyopo kwenye market today ....Nataka ambayo itakuwa na vikorombwezo vya kila aina. haya napokea ushauri.....moja...mbili.....tatu....anza.
  12. Mwazange

    Hivi Hizi Picha ni za Kweli...?

    Katika pita pita zangu mitaa ya kati nimekutana na picha hizi. Nimeambiwa kuwa iko kusini mwa bara la Africa, nikaonelea ni vyema nizilete hapa ili niweze kuelimishwa......Hivi ni kweli mti/miti hii ipo kweli au ni kiini macho??
  13. Mwazange

    Ni lazima mawaziri kuwa wabunge?

    Kuna hiki kitu kinanisumbua sana akilini mwangu hususan ukizingatia ya kuwa tunajitahidi sana kuikosoa, kuirekebisha na kuishauri serikali yetu, serikali ifanyayo mambo kana kwamba haiwajibiki kwa mtu, ila kila baada ya miaka mitano hurudi kwa wananchi wake na kuwaahidi mambo lukuki. Na wananchi...
  14. Mwazange

    Ijue Ndege Aina Ya C-5 Galaxy

    Leo tutazungumzia ndege nyingine iitwayo C-5 Galaxy. C-5 Galaxy ni ndege iliyoko katika hazina ya zana za kijeshi la jeshi la marekani. Ndege hii ilitengenezwa kwa ajili ya kusaidia kusafirisha vifaa vikubwa na vizito vya kijeshi kwa umbali mkubwa. Ndege hii imekuwa ikifanya kazi katika jeshi...
  15. Mwazange

    Ijue Ndege Aina Ya B-2 Bomber

    B2-Bomber ni mojawapo ya ndege zenye majukumu makubwa muhimu katika sekta ya ulinzi ya Jeshi la Marekani. Ndege hii ina uwezo wa kubeba mizinga ya kawaida na hata ile ya kinyuklia kama ikihitajika. Ndege inayopatikana katika jeshi la anga la marekani pekee. Kuundwa kwake ilikuwa ni mojawapo ya...
  16. Mwazange

    Are We Going to get here?

    California's Supreme Court quashed a ban on gay marriage in a historic ruling here Thursday, effectively leaving same-sex couples in America's most populous state free to tie the knot. In an opinion that analysts say could have nationwide implications for the issue, the seven-member panel...
  17. Mwazange

    Naombeni Unix Os

    Wandugu....nina ombi moja; Katika karne hii ya saa la hansi na teke linalokujia inabidi tuendane na wakati, najaribu kuichungulia kuona kama UNIX OS ni mwake, lakini ninapata shida moja, hazipatikani kihivyoo, kuna mwenye nayo humu jamvini? Kama kuna mtu anayo naomba, au niende wapi kuipata...
  18. Mwazange

    Mwenge wa Olympic Tanzania

    Wandugu kama tuonavyo jinsi mwenge wa Olympic unavyoleta zengwe duniani kote. Kasheshe la London, Paris, leo huko San Fransisco, Je na sisi tumejiandaa vipi na mapokezi yake? au FFU ndo watakaoukimbiza mwenge, maana wajamaa wale wana kale katabia ka kukong'ota kwanza maswali baadae. Haya kwa...
Back
Top Bottom