Search results

  1. Mwazange

    Uchaguzi 2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

    Kazi gani Bill Gates anayofanya ya kutafuta pesa hivi sasa?
  2. Mwazange

    Mahakama Kuu yatengua hukumu dhidi ya Joseph Mbilinyi (Mb)

    Lugha ya kitaalamu wanaita, "By proxy..."
  3. Mwazange

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu: Mimi ni namba 2 Tanzania, sina cha kunishawishi kuwania namba 3

    Kwani anachaguliwa na wananchi au anateuliwa na NEC?
  4. Mwazange

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Kauli yako is half-truth.... Nakubaliana na wewe kuwa, Kampeni ya Gwajima ni binafsi.... his ego is bruised. Hali ilipofikia ni kuwa kila mkuu atakalofanya kuhusu Makonda, lazima Gwajima a-claim credit kuwa yeye kasababisha. Hivyo inabidi akomae nae tu. Sikubaliani nawe kuwa Mkuu hawezi...
  5. Mwazange

    Magufuli ni extremist sio strong leader kuna tofauti

    "Huyu ni statesman ambaye anaendeshwa kwa principles sio mihemko ya kundi dogo la watu ambalo linataka kumpelekesha...." Anaendesha nchi kwa mihemko ya kwake mwenyewe kama sio ya kundi dogo, hilo pia ni tatizo.
  6. Mwazange

    Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Tuangalie huku na kule, lakini kauli za muheshimiwa sasa, zinatishia maendeleo ya jamii.
  7. Mwazange

    GWAJIMA: Mimi ndio chanzo cha Nape kuondolewa uwaziri

    Kuna vitu vingi tu hapa umeviunganisha pamoja. "Na pia elewa Gwajima ni mtumishi wa Mungu ambaye ana waumini nyuma yake" Gwajima pia ni mkazi wa Dar-es-salaam. Hivyo kama alikumbwa na fagio la kuitwa kuhojiwa, sidhani kama mungu anafundisha visasi vya namna anavofanya yeye. Wako watumishi...
  8. Mwazange

    GWAJIMA: Mimi ndio chanzo cha Nape kuondolewa uwaziri

    Lakini yeye ndio anaitia imani kwenye mgogoro. Kwa nini atumie madhabahu kuongelea siasa? Akakodi Jangwani basi.
  9. Mwazange

    GWAJIMA: Mimi ndio chanzo cha Nape kuondolewa uwaziri

    Ingawa sitetei yaliyofanywa na Makonda, lakini Gwajima naye anatafuta kiki za ajabu sasa.
  10. Mwazange

    Are there any Microsoft SCCM enthusiasts here?

    Hello, are you SCCM junkie? Let me know. I've been looking for somebody who has that interest.
  11. Mwazange

    Magufuli hakupunguza ukubwa wa Serikali, ameongeza

    Tofauti niliyoiona mimi ni kuchagua watumishi wengi na kapunguza wanasiasa. Ila ile kauli mbiu kupunguza ukubwa wa serikali, kiini macho tu.
  12. Mwazange

    Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Dah mbona na mimi nimehudhuria basic training nyingi tu, na sithubutu kujiita cheo sawia na udaktari?
  13. Mwazange

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Kitu ninachohofia mimi ni tabia tuliyonao sisi raia. Ashakum si matusi ni kuwa tuna nguvu ya soda. Sasa hivi kelele nyingi, lakini baada ya muda ishu itapoa watu wataangalia jingine. Kuna skendo ngapi tayari ambazo sisi raia tunazijua, na zimeishia wapi? Walaji si wameshazitumbua na sasa hivi...
  14. Mwazange

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Hayo ndio maneno; kumbe ipo hoja nyingine ambayo Zitto anatakiwa kui-address sio? Kama huwajui wanasiasa bana, atabisha tu.....Hebu tuwekee hako kaushahidi ili tuliendeleze vuvuzela basi.
  15. Mwazange

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Key word... "ana". Hajasema kama anayomiliki kisheria au vipi.
  16. Mwazange

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Kwani wewe hela za kukodisha pango unazipata wapi? Na ukihesabu miaka yote utakayokodisha, si utaweza kujenga. Hoja haina mshiko. Namna gani ya mtu anatumia fedha zake sio ishu.
  17. Mwazange

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Mzee Mkono kathibitisha kama ana magari mawili ambayo at some point yalikuwa kwenye miliki yake (Physically), ila sasa hivi yapo kwa Zitto Kabwe. Terms za jinsi yalivyohama, hiyo ni episode nyingine ya (RealHouseMembers of Jamhuri ya Muungano wa Tanzania). Wakati huo huo upande mwengine nao...
Back
Top Bottom