Search results

  1. O

    Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Ishu ni kumtoa macho mwenzie that is never acceptable hata kama yeye scorpion ndo mhusika ujue pia serikali haitamtoboa macho atafungwa kwa mujibu wa sheria bila kudhulimiwa uhai au viungo vyake
  2. O

    Kakataa kuolewa na mimi sababu sijatahiriwa

    Tukushauri nini na uchafu wako
  3. O

    Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Lusinde must now start appreciating the roll of education. Kama mtu hujaenda shule basi usiongee hovyo. Ujue kulinda ulimi wake kungemstili maana watu wasinge jua uwezo wake mdogo wa kufikiri
  4. O

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    YOU THINK YOU KNOW BETTER THAN EVERY ONE HERE? Ok, define social security and from the very definition state if any reason to let us receive our pension at such late age when we know for sure that only a few will survive at the said age.
  5. O

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Hivi sijajua will it take in consirderation the time value for money? Mimi nina mil. 5 nssf nimeacha kazi recently na nina miaka 30 so nitapata baada ya miaka 25. My major concerns are, 1. Since i was working with a very small enterprise will the firm exist by that time? 2.Will the signatory be...
  6. O

    Jakaya Kikwete arusha dongo la kizamani huko Mbeya... soma ucheke!

    SIJAPENDA MATUSI YAKO MAGAMBA MKUBWA WE! Kaanzisheni uzi wenu na nape huko ndo mtumie lugha za matusi. JF ni jukwaa la watu wenye fikra pevu.
  7. O

    Mabere Marando:Jambo hili ni zito,Werema sharti asikurupuke

    Werema you are good to be not a judge.
  8. O

    Chadema isijarabu kuingia mikoa ya pwani- wananchi

    I doubt the one who brought this thread must either be coming from Bagamoyo or neighbour of brother(Dhaifu).So guys don't wory of hime
  9. O

    Mahathir Muhammad wa Malaysia alivyomjibu Mkapa baada ya kuombwa ushauri

    Kwani we Riz 1? Au Hussein Mwinyi? we vp? Hz kazi zinawenyewe. Sisi kazi zetu ndo hicho kilimn kisicho tija.
  10. O

    Nape, Mawaziri kufunika Kigoma

    Tupia kapicha basi mkuu. Maana leo jumapili hata wanafunzi hawapo lazma muaibike. Mtakoma mwaka huu. Wazee kama kuna jembe yeyote atujuze mafuso yako mangapi huko?
  11. O

    Wabunge wawe at least graduates kwenye katiba mpya ya Tanzania

    Mkuu naunga mkono hoja kwa 100% Na iwapo kuna mtu anapinga umuhimu wa elimu ktk uongozi then such person does not appreciate the role of education as large. Juzi TASAF wametangaza nafasi za kazi na position za kawaida kabisa lakini zote zinahitaji Masters degree. Sasa ukajiulize iwapo mtu wa 1st...
  12. O

    Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

    My 1st most message goes to Mr. Kusaga the employer of Kibonde, that please Joseph you must do either of the following against him, either issue him a verbal warning or let him go to joing CCM POLITICS. Please Kusaga do it for the future of our lovely radio station. If at all clouds is the...
  13. O

    Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

    Hivi bimkubwa kaolewa? Du! Yaani kwake ubaya ubaya tu bora mradi maslahi ya chama yamelindwa. Du mwanamke kauzuuuu! Au si mzazi huyu? Maana wale wanaoangamia ni watoto wa wanawake wenzie.
  14. O

    Nape atoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ziara zake za mikoani

    Bro, yaani kwa ubabe wa chama sasa hata kuandika una-violate rules za uandishi? Wapi paragraph? By the way I did not like your single. If you ask me why? I don't know. Perhaps because I hate CCM and of course its members. We are going to show you guys on 2015 and that will be the lesson for you...
  15. O

    CHADEMA waweweseka na mkutano wa CCM JANGWANI, na sasa Rukwa na Katavi

    HIVI NAPE UNATUTAFUTIA NINI KUTUTUMIA WATU WATUCHEFUE? By ze way hizo kero mlilizotatua papo hapo nani aliyesababisha kama sio utawala dhaifu wa kimagamba? Pia ikumbukwe kuwa hata huko mmfika kwa presha ya cdm. Nepi Nepi sijui utaficha wapi sura yako white kama mchina mwaka 2015?
  16. O

    Pendekezo: Ianzishwe Dr. Ulimboka Foundation

    Yeah, nimeipenda idea yako ni constructive. Ila ningependekeza location ya foundation hiyo kwa maana ya hedi kota iwe mambwe pande kwa kumbukumbu zaidi.
  17. O

    Re:rev mtikila kuishukia serikali hotel travertne saa nne na nusu

    Kwa wakati tulionao mtu yeyote anae unga mkono jitihada za ukombozi wa taifa hili kutoka kwenye makucha ya hawa mafisadi ni lazima tumkubali. Kwa hy hata mtikila kama atakuwa nasi basi tumuunge mkono. Maana hapa suala ni kupigana na ccm kwa namna yoyote ilimradi ukombozi wa taifa hili upatikane.
  18. O

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Kweli ila mi najiuliza hawa vitambi tutaendelea kuwaacha mpaka lini? Kama vp tulianzishe basi... Au?
  19. O

    maandamano kwa jobless

    We unaumwa kweli, mbona we huachi ajira yako ukajiajiri kama unadhani mazingira yanaruhusu. We unadhani kama tuna mitaji tungetaka kuajiriwa? Unaonekana kama mizee ya ccm inayozeekea madarakani huku ikihimiza ajira binafsi wakati yenyewe haendi huko.
  20. O

    CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

    Since your name is green then you are ccm naturally and your brain must be green in colour, then that's why you are thinking green and talk and talk the greenish. Thdnk u mr. Green. Sasa ujumbe umefika now go to the green chama for ur commission
Back
Top Bottom