Search results

  1. W

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Katiba inayokusudiwa kutungwa ni kwa manufaa ya wananchi wote wa Tanzania - sio ya kikundi hiki wala kile. Hivyo hoja yangu ni kwamba busara itumike ili Wajumbe wote waliopewa jukumu la kututayarishia katiba mpya washiriki kikamilifu katika zoezi hili gumu. Wakati huo huo nawaomba Wajumbe wa...
  2. W

    Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    Hiyo Radio One watengeneze mitambo yao kwani sisi tunaosikiliza kupitia njia ya mtandao (Tunein) tunapata shida sana - haisikiki kabisa!
  3. W

    Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    Kama kweli tunayo nia na dhamira ya kupata katiba mpya itakayosukuma mbele Taifa letu inabidi tuache ubinafsi na tuweke pembeni tofauti zetu. Maslahi ya Taifa hayawezi kamwe kutekelezwa au kulindwa na watu au viongozi wanaojali zaidi maslahi yao binafsi. Hao wanaojali maslahi yao badala ya...
  4. W

    Umewahi kuibiwa nini ukaumia sana rohoni? Mi niliibiwa hivi

    Mimi nami nilitoka ofisini kama dakika 5 tu kabla ya kumaliza siku - nakumbuka kabisa ilikuwa ni siku ya Ijumaa mwaka 1987. Niliporejea ofisini ili nichukue mikoba yangu nielekee nyumbani ndipo nikagundua kuwa mtu ameiba camera yangu aina ya Fujica ST 705! Kusema kweli niliumia mno.
  5. W

    Mgomo wa madaktari unachochewa na chama Pinzani-Gazeti RAIA MWEMA

    Visingizio vingi vitatolewa na lawama nyingi zitaelekezwa kila upande ili mradi kupoteza issue yenyewe inayohitaji majibu ya haraka. Kwa maoni yangu mimi, nchi yetu sasa imegeuka kuwa "Animal Farm" kwa wale waliobahatika kitabu hicho wataelewa nina maana gani! Awali ya yote naomba nieleweke kuwa...
  6. W

    Nina cholestro nitumie dawa gani za vyakula?

    Ushauri wangu no kuwa kwanza ubadili mwenendo wa maisha yako na uanze kuishi maisha bora! Acha kula red meat na kama ni lazima ule, basi iwe ya kuchemsha tu bila kuwekwa viungo. Kila mara tumia mafuta ya corn oil au vegetable oil na chakula chako kisiwekwe mafuta mengi; tumia maziwa ya low fat...
  7. W

    Ni wapi wanakopokea rushwa?

    Nimebahatika kuingia katika ofisi mbalimbali za serikali na hata baadhi ya mahakama zetu jijini Dar es salaam na nilishangaa kuona matangazo mbalimbali katika kuta za ndani za baadhi ya ofisi hizo yakisema kwa maandishi makubwa "HATUPOKEI RUSHWA". Jambo la kushangaza ni kuwa hata wakuu wa...
  8. W

    Wizara ya Afya inafanya nini kuhusu maradhi haya?

    Leo naomba nitoe dukuduku langu kuhusu Wizara ya Afya. Ninaamini kuwa tulio wengi tumeshafiwa na ndugu na jamaa kutokana na maradhi ya Kisukari na/au Shinikizo la damu (Blood pressure), na watu wengi wanaendelea kupoteza maisha. Ndio maana nimeona niulize kama wizara husika inafahamu tatizo hili...
  9. W

    mapendekezo ya katiba mpya

    Hivi punde tu Mheshimiwa Rais amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri na idadi ya mawaziri pamoja na manaibu wao imeongezeka kufikia 55. Swali la kujiuliza ni kwamba ni kigezo gani alichotumia hadi akaongeza mawaziri kutoka 50 hadi 55. Kutokana na haya, ningependa katiba yetu iwe na...
  10. W

    On Visas and Bilateral Relations

    Due to the necessity to transit through the US to and from Bongoland, I have to get a US visa which will allow me and my family a safe and hussle free passage through the US. However, it is disappointing to find out that while nationals of other countries will pay the same amount of visa fees as...
  11. W

    Nini maana ya usemi huu?

    Marehemu Issa Matona katika wimbo wake mmoja alinena kama hivi: "Sighilibiwi na rangi, tamu ya chai sukari." Je, alikuwa na maana gani?
Back
Top Bottom