Search results

  1. Zux de

    Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

    Uzuri wake hautakuwa na tija kama hataweza kujenga hoja.
  2. Zux de

    Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

    kwa fikra za wapumbavu wachache wenye kufanya mambo kwa maslahi ya wachache tena wasio na uchungu na nchi yetu na jamaaa zetu ndio wenye kukutia roho ya udini isiyo na manufaa kwako wala kwa jamaaa zako. watanzania tulio wengi na tulio watanzania kweli kooo zetu zimechanganyika ndani yaa koo...
  3. Zux de

    Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    kijana acha kuongea kitu usichokuwa na uelewa nacho. hakuna kwanza comb dhaifu uelewe hich kwanza. tatizo ni uelewa dhaifu kama uliyokuwanao wewe.jaribu kufikiri kidogo. maaana usije ukaniambia tena hata ule wimbo nzuuuu nzuuuu nzuuuu eeeeh mama nyukilia eeeh haujakusaidia.
  4. Zux de

    Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

    kila mtu anahaki ya kichinja. ikiona hakifa alichochinja mwenzio kachinje chako. shwaaani uneyevutia kwako.
  5. Zux de

    Udom kama Barcelona

    acha ushindani wa kitoto.class yenyewe unasusua.unajifafanya kubwabwa ujinga hapa.
  6. Zux de

    Rufaa ya Lema Arusha: Kesi yaahirishwa hadi Oktoba 2, 2012

    tupeni kilichojiri wadau? maana wegine hatuko arusha
  7. Zux de

    Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

    safi sanaa sugu piga kazi tuko pamoja mkuu.
  8. Zux de

    Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

    wapi na lini na kitengo gani ndani ya serikali hii ya tanzania kwa mwanafunzi fresh frm school anaazia na mshahara wa 1.8m. kama kupata kazi umepata lakini huo mshahara kawadanganye wengine sio humu jamvini.
  9. Zux de

    Sheikh Ponda na wenzake wasisitiza waislam kugomea sensa!

    Afadhali wagome kabisa maana uwepo wao hauna maana.
  10. Zux de

    Sheikh Ponda na wenzake wasisitiza waislam kugomea sensa!

    mmeshafungulia najua sasa kitimoto kitakuwa hakikamatiki maana mnavyopenda kula.
  11. Zux de

    Nauliza kwa nini Agakhan Foundation wanapewa misamaha ya kodi

    hivi na wewe kumbe uelewa wako bado ni mdogo. Unaweza ukalinganisha gharama ya huduma zitolewazo na bungano na zile za aghakhan.
  12. Zux de

    Sitaki kupenda tena..

    Bb+bikira= 00%
  13. Zux de

    Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa...

    Bora na huu mwili wangu kama wa bruce. Mijinyama yote ya nini. Isitoshe wengi wanadunga sindano kutanua misuli yao.
  14. Zux de

    Dah!!Huyu dingi dah!!!!!

    Nahawa wazee tabia ya kupenda watoto zao ndio madhara yake. Hiki kibinti nacho ni hovyo. Mi naona kijana amwambie ukweli tu baba yake. Ili huyo mzee aamue kusuka au kunyoa. Maana kijana hana kosa hata. Swala kumjulisha mzazi mpenzio ni uamuzi wake yamkini alikuwa kwenye mikakati hiyo.
  15. Zux de

    NJIA SAHIHI ZA KUTOA TAARIFA ZA UDHALILISHAJI KWA KIONGOZI MKUBWA KWA KISASA PLs USHAURI.

    Uki yawezekana fika huyo dogo anatabia hiyo chafu. Maana kwa fikra rahisi za mwanadamu wa kawaida mwenye elimu ya masters hawezi kukubali jambo kama hilo. Na hata kama hakuelewa nia ya huyo kigogo kuitwa chumbani na kuletewa kinywaji. Bado inanipa walakini tena akamwambie asimwambie mtu halafu...
  16. Zux de

    jamani.....!!!! jamani.....!!!!

    sasa kumbe ulishachukua maamuzi.
  17. Zux de

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Vipi ulizama chumvini?
  18. Zux de

    Website ya Wizara ya Mambo ya Ndani yachakachuliwa (HACKED)

    waache upumbavu kabisa. kuna mambo mengine hayataki mzaa hata kidogo. :whoo:
  19. Zux de

    Samwel Sitta: Tanzania iko tayari kupambana na aina yoyote ya uchokozi kutoka Malawi!

    Nasubiri kauli ya amri jeshi mkuu kwa hamu.
  20. Zux de

    Msaada wa dau

    Mwenyekujua jinsi ya usaili wa mtihani unavyokuwa wa tume ya ajira.
Back
Top Bottom